Bei ya suti za Sheria Ngowi

Hizo suti ni za china huko mnadanganywa za italy... suti ya italy uuze kwa elf 70? You cant be serious!!!
Na wewe usiyedanganyika huwa unaenda Italy kununua? Ndomana nikasema zipo za kuanzia 70 na kuendelea kwa jumla mana yake kuna za bei kubwa zaidi ya hapo sasa wewe umeshikilia hapo kwenye 70? Wewe hizo suti unazozisifia huwa unanunua kwa shilingi ngapi?
 
Mkuu hizo suti wachina wanacopy majina mnadanganyika ni Italy but si kweli jua hivyo.
 
Hivi suti anazovaa Mh mkuu wa mkoa wa Daresalam Mheshimiwa Paul Makonda ni za Sheria Ngowi
 
Mi kwa jinsi nilivyo mjotojoto na si mtu wa viyoyozi halafu niki lagika sichelewi kurusha makonzi suti zinikome tu ! Ni kitu hatari kwa usalama wa mwili wangu
 
Halafu wewe unayesema life la mwenzio bado lipo kwenye kuhemea kula hapo juu unajisifu una kiatu hakijachania soli mwaka wa 7 sasa na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye maisha bora au bora maisha?
Kwahiyo ulitaka nichome moto? Si hicho tu ninavyo vingine nilinunua hata hujazaliwa ninavyo hadi leo....

Kuwa na kiatu kwa miaka 7-haimaanishi ndicho hicho tu unachotumia....

Lengo ilikua kuonesha how wenzetu vitu vyao vinalingana hasa na bei unayotoa!!
 
Mkuu hizo suti wachina wanacopy majina mnadanganyika ni Italy but si kweli jua hivyo.
Kama tunanunua wanazokopi majina ndo useme we suti zako unanunua bei gani? Mana suti zina grade hata china kuna original na fake hivyo unanunua kutokana na uhitaji wa mteja na wateja waliwengi waweze kumudu mana kwenye biashara huwezi wauzi suti za bei kubwa watu 10 wakati kuna 100 wanataka za bei za kawaida na mzunguko ni mkubwa
 
Bei ya suti nnayovaa nikikutajia utaumia bure moyo....

Ila jua tu hizo suti za elf 70 ni china tuu na hazina quality kabisaaa.... but kwa wanaoanza maisha si mbaya!!
 
Kwahiyo ulitaka nichome moto? Si hicho tu ninavyo vingine nilinunua hata hujazaliwa ninavyo hadi leo....

Kuwa na kiatu kwa miaka 7-haimaanishi ndicho hicho tu unachotumia....

Lengo ilikua kuonesha how wenzetu vitu vyao vinalingana hasa na bei unayotoa!!
Yawezekana kabla hajazaliwa mwanao mana hatufahamiani..na hukupaswa ujisifie kwa kumsema mtu ilihali wewe unatunza masalia ambayo yatakusaidia kujenga Makumbusho kuwa ulivaa kiatu cha wazungu..na vilevile hataa hao wateja wengine wanavaa kulingana na bei zao wanazomudu
 
Bei ya suti nnayovaa nikikutajia utaumia bure moyo....

Ila jua tu hizo suti za elf 70 ni china tuu na hazina quality kabisaaa.... but kwa wanaoanza maisha si mbaya!!
Ndo madhara ya kusifia kitu usichokijua bei sa muuza suti niumie kisa bei si ntakuwa na wazimu
 
Yawezekana kabla hajazaliwa mwanao mana hatufahamiani..na hukupaswa ujisifie kwa kumsema mtu ilihali wewe unatunza masalia ambayo yatakusaidia kujenga Makumbusho kuwa ulivaa kiatu cha wazungu..na vilevile hataa hao wateja wengine wanavaa kulingana na bei zao wanazomudu
Kwa arguments unazotoa nakuzaa kabisa unaonekana u kijana mno....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom