Bei ya suti za Sheria Ngowi

Safi,acha si tuwauzie hii unayoiita midosho lakini mkivaa kwenye harusi au sherehe yoyote mnakuwa sawa mana na Suti inaangalia na umbo la mhusika sasa kama upo utafikiri pembetatu kupendeza ni ngumu
Sio kweli. Wanaojua suti wakiona quality wanajua.
 
Afadhali umenisaidia kumuelewesha huyu.
Suit alizokua akivaa JK toka kwa huyo sheria Ngowi nyingi hazikufit vizuri muundo wa mwili unakuta zinalepweta baadhi ya maeneo na mabegani kuja chini makwapani ni kituko tupu...

Zile zinawafaa kama akina diamond ambao muda wote wanajiweka ki mapozi mapozi lkn kwa mtu unayejiheshimu na unayehitaji kuwa huru mbele ya watu si suti za kuvaa...

Binafsi Bongo kwenye kada ya suti sijaona bado halafu eti ndo laki sita kwenda juu ptuuu!
 
Safi,acha si tuwauzie hii unayoiita midosho lakini mkivaa kwenye harusi au sherehe yoyote mnakuwa sawa mana na Suti inaangalia na umbo la mhusika sasa kama upo utafikiri pembetatu kupendeza ni ngumu
Umewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!

Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
 
Daah suti za next ni shidaaa... ninavaa mpaka viatu vyao... kuanzia shirts... suits mpaka viatu...

Nina kiatu chao mwaka wa 7 huu hakijalika soli hataaaaa ngozi ndo usiseme kama kipya tuuu!!!
Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.
 
Umewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!

Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
 
Unawaambia tu kiuno 34, inakuja suruali na koti utafikiri walikupima!
 
Bei ndio inanipa wasiwasi....70,000?! Koti na suruali Italian suit.
 
Wewe ushawahi kuvaa/kuona suti ya Next/BURTON/MOSS Bro ? Kama umewahi utajua nazungumzia nini. Usiku mwema.
Mkuu wengi hao ni wale wa kibaba so life kwao bado ipo kwenye kuhemea kula hivyo vitu vya burton na next ni msamiati kwao!!!
 
Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
Hizo suti ni za china huko mnadanganywa za italy... suti ya italy uuze kwa elf 70? You cant be serious!!!
 
Unawaambia tu kiuno 34, inakuja suruali na koti utafikiri walikupima!
Sana aisee.... yaani wewe ni size tuuu kwisha kazi...

Mi huwa nawashauri watu kuliko kununua uchafu kwa bei kubwa heri waagize tu ulaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom