Osaka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 1,762
- 551
behind any frustlated man there is a woman!
Ndivyo unavyoamini?
behind any frustlated man there is a woman!
Ndivyo unavyoamini?
Vaisi vesa iz tru! Ha ha ha!Ni kweli mkuu, kila kwenye mafanikio kuna mwanamke!
Vaisi vesa iz tru! Ha ha ha!
Hakuna kitu kama
hicho,mara nyingi wanawake wanawapenda kuchase wanaume walio na mkwanja
na mwanamme akimpata mwanamke wa haina hiyo asipokua makini anaweza
akabaki na bukta tuu,
"Behind a succesfully men there are a bunches of golddiggers"
je Papa wa vatcan naye alipochaguliwa alipongezwa kwa kutumia usemi wako huo?
Hakuna kitu kama hicho mkuu, every successful man lazima alikua anachapa kaz sana na hakukata tamaa. Kwani mafanikio ya Bill Gates yaliletwa na Melinda? Hiyo misemo na mengine mingi ilibuniwa ili kuleta usawa wa kijinsia (gender equality) kwenye nchi za mabepari huko.
bolded: i love this!Hakuna kitu kama hicho,mara nyingi wanawake wanawapenda kuchase wanaume walio na mkwanja na mwanamme akimpata mwanamke wa haina hiyo asipokua makini anaweza akabaki na bukta tuu,
"Behind a succesfully men there are a bunches of golddiggers"