"Behind every successful man there is a woman": HIVI NI KWELI ???

Vaisi vesa iz tru! Ha ha ha!

Kama msemo ungekuwa Nyuma ya mwanamme aliyefanikiwa na asiyafanikiwa kuna mwanamke, ningekubali bila masharti. Lakini hii siiamini kwasababu hakunna jamii, kabila au aina ya watu ambao wao wote ni wazuri tu au wabaya tu. Kama kuna wanaume wenye akili sana, basi kuna wanawake wenye akili sana pia na kama kuna wanaume mabwege sana hali kadhalika kuna wanawake mabwege kwa kiwango kilekile cha wanaume.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, every successful man lazima alikua anachapa kaz sana na hakukata tamaa. Kwani mafanikio ya Bill Gates yaliletwa na Melinda? Hiyo misemo na mengine mingi ilibuniwa ili kuleta usawa wa kijinsia (gender equality) kwenye nchi za mabepari huko.
 
Hakuna kitu kama hicho,mara nyingi wanawake wanawapenda kuchase wanaume walio na mkwanja na mwanamme akimpata mwanamke wa haina hiyo asipokua makini anaweza akabaki na bukta tuu,

"Behind a succesfully men there are a bunches of golddiggers"
 
Hakuna kitu kama
hicho,mara nyingi wanawake wanawapenda kuchase wanaume walio na mkwanja
na mwanamme akimpata mwanamke wa haina hiyo asipokua makini anaweza
akabaki na bukta tuu,

"Behind a succesfully men there are a bunches of golddiggers"

Kaaazi kweli kweli. Bukta tuuu.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, every successful man lazima alikua anachapa kaz sana na hakukata tamaa. Kwani mafanikio ya Bill Gates yaliletwa na Melinda? Hiyo misemo na mengine mingi ilibuniwa ili kuleta usawa wa kijinsia (gender equality) kwenye nchi za mabepari huko.

Ni kweli mama wa chang'ombe
 
Hakuna kitu kama hicho,mara nyingi wanawake wanawapenda kuchase wanaume walio na mkwanja na mwanamme akimpata mwanamke wa haina hiyo asipokua makini anaweza akabaki na bukta tuu,

"Behind a succesfully men there are a bunches of golddiggers"
bolded: i love this!
 
Kwa kauli hii basi na wale wanaume wenye wake wengi tutegemee wawe na mafanikio, right?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom