Behind any frustrated man there is a woman

Easymutant,
Suala la uaminifu lni la jinsia zote mbili. Wapo wanaume waloamini wake zao na wakaj kuwa disappointed hali kadhalika wanawake kuwa disappointed na waume zao.
Hivyo majuto huweza kumpata yeyeote mke au mume kwa kuvunjiwa uaminifu.
 
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi
 
pole pombe sio suluisho inakupiga ganzi ya mda shida inabaki palepale tulia kwanza kubali ushauri wa watu ila pombe sio suluisho
 
Tigger, hapa sidhani kama kumwambia apuuzie yalosemwa na rafiki ndo ushauri hapana. Kwa hayo hayo aloyasikia basi na yeye afanye uchunguzi au achukue hatua itakayomfanya kupata mwanga wa angalau huyo mkewe kamsaliti au hata kujua tu anmpango na huyo rafiki yake.

Huyu bwana kwa mfano angemuona mkewe anatoka gesti na huyo rafiki yake kwa kweli hapo hakuna la ziada, atajitetea nini?
Lakini kwa hili la kuambiwa kwa kweli jamaa na yeye afanye homework yake tu.
 
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi

gaijin acha maskhara bana, kama mwanamke anaweza kufeki ile wanaita kufika kileleni atashindwa kukudanganya kwenye ishu ya maslahi kama hii, kuna wadada waongo kuliko wabunge wa msumbiji.

BTW. sikuwahi kukupigia kura,na vituo vya kura vishafungwa, nitamtumia kura yangu invizibo thru PM.
 
mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu.

Rudieni kusoma hiki kipande. Kuna kitu jamaa alikisoma ktk lugha ya mwili ya mkewe pindi wakutanapo na huyo 'mwizi' mtuhumiwa. Kwa hiyo kusema hakuchanganya na za kwake si kumtendea haki.

Mwenzako utamjua tu kama anajisikia awkward ktk mazingira fulani. Jamaa hapo alitumia intuition na kuona kuna kitu si sawa.
 
Wakati mwingine mtu anajijengea picha kichwani halafu yanayotokea machoni anaona ndo yaleyale yaliyoko kichwani mwake.

Hivi intuition huwa iko perfect eeh?
 
100% trust...... Never trust anyone 100%.... hell No!!!! Hata mwenyewe usijiamini 100% too much trust is a recipe for disaster... my advice.... Take one day at a time... live for the day we dont know about tommorrow..... kama unampenda mtu sana just cherish the moment, the future will take care of itself.....

Kwahiyo Mkuu Just enjoy your life nobody is worth robbing your happiness...... Kama unapenda kirabu wewe sema sio unamsingizia huyo mwenza wako..... close the chapter and start afresh.... na ni kwamba kwa huyo rafiki hauna rafiki....... With Friends like him you dont need an enemy
 
gaijin acha maskhara bana, kama mwanamke anaweza kufeki ile wanaita kufika kileleni atashindwa kukudanganya kwenye ishu ya maslahi kama hii, kuna wadada waongo kuliko wabunge wa msumbiji.

.

Klorokwini mie majibu yako tu :teeth:

Issue ya maslahi ndio ngumu kudanganya manake atakuwa na tension pale asije kugundulika! lolz
 
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi

Sidhani. Mwanamke anaweza kukubali kamegwa ili akuumize tu huku ukweli wa mambo ni kuwa hajamegwa na vice versa.

Huwezi kujua kama anachokwambia ni kweli au la. Labda utumie lie detector test ingawa hiyo nayo inaweza isikupe majibu sahihi na ndio maana kwenye baadhi ya jurisdictions za wenzetu huwaga haziko admissible kwenye court.
 
Rudieni kusoma hiki kipande. Kuna kitu jamaa alikisoma ktk lugha ya mwili ya mkewe pindi wakutanapo na huyo 'mwizi' mtuhumiwa. Kwa hiyo kusema hakuchanganya na za kwake si kumtendea haki.

Mwenzako utamjua tu kama anajisikia awkward ktk mazingira fulani. Jamaa hapo alitumia intuition na kuona kuna kitu si sawa.

Hapo atajidanganya kila aina ya uongo.............na sie wengine tutasema 'aaah akili za mlevi'
 
Sidhani. Mwanamke anaweza kukubali kamegwa ili akuumize tu huku ukweli wa mambo ni kuwa hajamegwa na vice versa.

Huwezi kujua kama anachokwambia ni kweli au la. Labda utumie lie detector test ingawa hiyo nayo inaweza isikupe majibu sahihi na ndio maana kwenye baadhi ya jurisdictions za wenzetu huwaga haziko admissible kwenye court.

Sasa mwanamke atakaekudanganya kamegwa kwa ajili ya kuku hurt tu wa kazi gani kuishi nae?

(Kisha Tigger kaa nataka kukwambia kitu hivi .................lakini bora basi nikusamehe :p )
 
Sasa mwanamke atakaekudanganya kamegwa kwa ajili ya kuku hurt tu wa kazi gani kuishi nae?

(Kisha Tigger kaa nataka kukwambia kitu hivi .................lakini bora basi nikusamehe :p )

Uoh ooh Tigger kafanya nini tena? Hebu nambie kwa PM kaa huwezi kunambia hapa...
 
Hata bongo sijui mahakama gani itapokea huo ushahidi wa eti rafiki yangu aliniambia kamuona, na mke wangu ana behave awkwardly.
 
Kwanza kutoka guest ajabu? anajuaje alichokifanya huko? :teeth:

L
Angalau hapo unaweza kuwa na pa kuanzia.

Sasa anatoka gesti kufanya nini basi? Ana mgeni kaenda kumtafutia malazi? Na huyo mgeni ni wasiri mbona mumewe hajapewa taarifa?
 
Back
Top Bottom