Become a U.S citizen through military recruitment (MAVNI) program

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
U.S Military recruitment (MAVNI) program will help immigrants obtain citizenship by joining the military without even becoming a permanent resident first.

usa%20flag.jpg

Program recruitment expires on 12/31/09
Program recruiting immigrants in non-immigrant visa categories e.g. F, M and R, asylee ( no B1 visitors)
program will apply citizenship directly for qualified applicants. Will be a citizen within 6 months to a year
No age limits
Special language and cultural backgrounds required or health care professionals. one of the required languages is Swahili and Hausa,
Must commit to 3 years of active duty or six in selected service
N.B. - If you are out of status, you do not qualify.

Soma zaidi hapa chini
 
MILITARY ACCESSIONS VITAL TO NATIONAL INTEREST (MAVNI)
RECRUITMENT PILOT
The Secretary of Defense authorized the military services to recruit certain legal aliens whose skills are considered to be vital to the national interest. Those holding critical skills – physicians, nurses, and certain experts in language with associated cultural backgrounds – would be eligible. To determine its value in enhancing military readiness, the limited pilot program will recruit up to 1,000 people, and will continue for a period of up to 12 months.
ELIGIBILITY
1. The applicant must be in one of the following categories at time of enlistment a. asylee, refugee, Temporary Protected Status (TPS), or
b. nonimmigrant categories E, F, H, I, J, K, L, M, O, P, Q, R, S, T, TC, TD, TN, U, or V
2. The applicant must have been in valid status in one of those categories for at least two years immediately prior to the enlistment date, but it does not have to be the same category as the one held on the date of enlistment; and
3. An applicant who may be eligible on the basis of a nonimmigrant category at time of enlistment (see 1b above) must not have had any single absence from the United States of more than 90 days during the two year period immediately preceding the date of enlistment.
Health Care Professionals
• Applicants must fill medical specialties where the service has a shortfall
• Applicants must meet all qualification criteria required for their medical specialty, and the criteria for foreign-trained DoD medical personnel recruited under other authorities
• Applicants must demonstrate proficiency in English
• Applicants must commit to at least 3 years of active duty, or six years in the Selected Reserve Enlisted Individuals with Special Language and Culture Backgrounds
• Applicants must possess specific language and culture capabilities in a language critical to DoD
• Applicants must demonstrate a language proficiency
• Applicants must meet all existing enlistment eligibility criteria
• Applicants must enlist for at least 4 years of active duty
(Services may add additional requirements)
-MORELanguages
• Albanian
• Amharic
• Arabic
• Azerbaijani
• Bengali
• Burmese
• Cambodian-Khmer
• Chinese
• Czech
• Hausa
• Hindi
• Hungarian
• Igbo
• Indonesian
• Korean
• Kurdish
• Lao
• Malay
• Malayalam
• Moro
• Nepalese
• Persian [Dari &
Farsi]
• Polish
• Punjabi
• Pushtu (aka Pashto)
• Russian
• Sindhi
• Sinhalese
• Somali
• Swahili
• Tamil
• Turkish
• Turkmen
• Urdu
• Yoruba

BACKGROUND
Non-citizens have served in the military since the Revolutionary War. The Lodge Act of 1950 permitted non-citizen Eastern Europeans to enlist between 1950 and 1959. Additionally, the United States officially began recruiting Filipino nationals into the Navy in the late 1940s, when it signed the Military Bases Agreement of 1947 allowing U.S. military bases in the Philippines. In total, over 35,000 Filipinos enlisted in the Navy through the program between 1952 and 1991.

Today, about 29,000 non-citizens serve in uniform, and about 8,000 legal permanent resident aliens (green card holders) enlist each year. Law ensures that the sacrifice of non-citizens during a time of national need is met with an opportunity for early citizenship, to recognize their contribution and sacrifice.

In fact, today's service members are eligible for expedited citizenship under a July 2002 Executive Order, and the military services have worked closely with the U.S. Citizenship and Immigration Services (USCIS) to streamline citizenship processing for service members. Since Sept. 11, 2001, nearly 43,000 members of the Armed Forces have attained their citizenship while serving this nation.
 
Mtego huo...provided zat kunahitajika vikosi zaidi kukabiliana na Taliba huko Afghanistan, wanatafta watu wa kuwatoa kafara...kazi kwenu.
 
Interesting!....kuna upungufu wa wapiganaji?!....

Nafikiri hiyo ndio sababu kubwa....nafahamu baadhi ya Vijana wa Kikenya wameingia huko na hivi sasa wamewapeleka Iraq...Licha ya hao Wakenya pia kuna west Africans wengi wameingia huko kwa dhumuni hilo la kubadilisha Status zao.Kwa sababu West Africans wengi walioingia kama Wakimbizi haswa kutoka Sierra Leone wanatakiwa kurudi kwao (Sierra Leone) Serikali yao inadai hali ni nzuri nyumbani na wanawahitaji.
 
Nadhani sasa ndio nafasi kwa wale wenzetu wa Nyangoma Kogelo, Nyanza province,western Kenya kujiunga na "geshi"

Hii trick waliitumia pia wa British wakati wa "second world war (1939 -1945)". Blacks wengi walichukulwa na wengine walienda kufia Bama na by then familia nyingi ambazo wazee walichukuliwa kwenda kupigana na kulima mpira kule Bama watoto waliozaliwa baadae waliitwa "Bama"......au "O-Bama"....
 
Close but no cigar

Obama:
a Luo name (male) from Western Kenya (Nyanza Provice) which may derive from "obam," which conotes "bending" or "leaning".
Source(s):
http://my.barackobama.com/page/community
 
Mmmmmmmmmmmmmmmm! nenda wenye mawazo ya kutawaliwa na wamerakani..not me though!
 
Nafikiri hiyo ndio sababu kubwa....nafahamu baadhi ya Vijana wa Kikenya wameingia huko na hivi sasa wamewapeleka Iraq...Licha ya hao Wakenya pia kuna west Africans wengi wameingia huko kwa dhumuni hilo la kubadilisha Status zao.Kwa sababu West Africans wengi walioingia kama Wakimbizi haswa kutoka Sierra Leone wanatakiwa kurudi kwao (Sierra Leone) Serikali yao inadai hali ni nzuri nyumbani na wanawahitaji.

Mtu ukiingia jeshini Marekani miaka hii kwa sababu ya papers nitakuona mjinga wa mwisho.
 
Kumbe Mkuu unaogopa kufa enhee...?
Yaani umenichekesha sana.

Sio kuogopa kufa, inategemea unakufa kwa kitu gani.

Kama huogopi kufa jitupe mbele ya treni.

Akija mwizi anataka kunivamia nyumbani kwangu naweza ku put up a fight nikambalasa wala nisiogope kufa, lakini niende kupigana Iraq kwa kisa gani? Especially kama ikiwa sababu ni makaratasi kuna njia nyingi tu za kuyapata, nyingine mpaka za bahati nasibu na makaratee ya kuongea tu na watu?

We huoni kuwa uhai wako ni bei kubwa sana kulipa kwa uraia ambao unaweza usiufaidi?
 
Sasa hiyo si ndo njia ya mkato?
Wenzako bange zikishawapanda wanasema bora wangezaliwa mbwa Marekani kuliko kuzaliwa watu bongo...sasa fursa imekuja, usiwe mbwa wala mbuzi...uwe askari tu...mnaanza kunyeta...ehee..bahati haiji mara mbili...labda nchi iliyobakia kuvamiwa Iran na N.Korea na huko kuna nyuklia basi, kutaendeka?
 
USA ni taifa kubwa. Wewe huoni hata Gadafi kakubali kulala nje, ilimradi yupo Marekani,
Qadafi siyo Tumain..lol siwezi kwenda huko ng'o nendani wenye kufikiri kwamba ni taifa kubwa kama wewe..jiandikishe..na umwambie na mwanao lol! unawezaje kufanya kuua watu...kwasababu ya hela ..shetani wakubwa
 
Mtu ukiingia jeshini Marekani miaka hii kwa sababu ya papers nitakuona mjinga wa mwisho.

Mkuu Blueray,

Umenikumbusha kijana mmoja kutoka Afrika Kusini ambae tunafahamiana sehemu yangu ya kazi.

Yeye alikuja UK kwa viza ya "working holiday maker" ambayo ni miaka miwili lakini akiwa na view ya kupata uraia wa UK kwa kutumia njia ya ancestry ambayo inahitaji mtu kama yeye awe ameishi na kufanya kazi UK kwa muda wa miaka mitano bila kupumzika.

Sasa juzijuzi tu akawa ananiambia kwamba anarudi Afrika Kusini ili aweze kuomba viza ingine (baada ya ile ya WHM kwisha) lakini hii ikiwa na kujiunga na jeshi la Uingereza kitengo cha makomandoo (Royal Marines) na baada ya miaka minne atakuwa amepata uraia kama "former member of HM forces" ambayo ianhitaji uwe umetumikia jeshi hilo kwa kipindi cha miaka minne.

Mimi nikaona kwamba mtazamo wa dogo ni finyu sana kwamba anashindwa kutambua tofauti ya kupata makaratasi akiwa anafanya kazi taratibu na kuja kuyapata kirahisi kuliko kwenda kwenye uwanja wa vita na kuyahatarisha maisha yake.
 
Mkuu Blueray,

Umenikumbusha kijana mmoja kutoka Afrika Kusini ambae tunafahamiana sehemu yangu ya kazi.

Yeye alikuja UK kwa viza ya kutembea lakini akiwa na view ya kupata uraia wa UK kwa kutumia njia ya ancestry ambayo inahitaji mtu kama yeye awe ameishi na kufanya kazi UK kwa muda wa miaka mitano bila kupumzika.

Sasa juzijuzi tu akawa ananiambia kwamba anarudi Afrika Kusini ili aweze kuomba viza ingine (baada ya ile ya kutembea kwisha) lakini hii ikiwa na kujiunga na jeshi la Uingereza kitengo cha makomandoo (Royal Marines) na baada ya miaka miwili atakuwa amepata uraia kama "former member of HM forces" ambayo ianhitaji uwe umetumikia jeshi hilo kwa kipindi cha miaka minne.

Mimi nikaona kwamba mtazamo wa dogo ni finyu sana kwamba anashindwa kutambua tofauti ya kupata makaratasi akiwa anafanya kazi taratibu na kuja kuyapata kirahisi kuliko kwenda kwenye uwanja wa vita na kuyahatarisha maisha yake.

Huyu kwanza limbukeni, Afrika Kusini watu wanatafuta passport yake pamoja na miprogram yote hiyo ya kuwapendelea wazawa (I am assuming ni mzawa, correct me if I am wrong) yeye bado anamind kwenda UK?
 
USA ni taifa kubwa. Wewe huoni hata Gadafi kakubali kulala nje, ilimradi yupo Marekani,

Hahaha duh mzee hapo umenichekesha!!

Kuna bongonians wawili nawajua wako US Army na mwingine yuko Marines, na wiki iliyopita kuna msela mmoja kaingia National Guard.
 
Qadafi siyo Tumain..lol siwezi kwenda huko ng'o nendani wenye kufikiri kwamba ni taifa kubwa kama wewe..jiandikishe..na umwambie na mwanao lol! unawezaje kufanya kuua watu...kwasababu ya hela ..shetani wakubwa

Wivu mbaya sana, lol.

Hivi unafikiri kati ya wewe na Rais wa Libya au Hugo Chave wa Venezuela ni nani wa maana hapa?

Vice wa Hugo alipo rudishwa JFK si waliilaani America, kama USA sio taifa kubwa niambie ni nchi gani ni TAIFA KUBWA?
 
Hahaha duh mzee hapo umenichekesha!!

Kuna bongonians wawili nawajua wako US Army na mwingine yuko Marines, na wiki iliyopita kuna msela mmoja kaingia National Guard.

Safi sana, waache watengeneze maisha yao na ya watoto wao. National Guard ni safi sana wala haisumbui. Unakwenda mara moja kwa mwezi, baada ya miaka miwili wamelamba Uraia. Safi sana.
 
Back
Top Bottom