The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 38,338
- 84,143
Kaka nitumie PM hapa nimeikosa mkuu.Hiyo hapo! View attachment 2076172
Kaka nitumie PM hapa nimeikosa mkuu.Hiyo hapo! View attachment 2076172
Kaka nimetumia chrome kuingia humu ili niidownload mkuu co hii naomba ile yenyewe kaka.Hiyo hapo! View attachment 2076172
Mkuu kuna ngoma ambayo ndiyo ina hzo verse ngoja niitafute nikurushie hyo uliyonipa co yenyewe kaka.Hii verse mbona ipo kwenye hiyo track niliyokutumia!
Na mkono wa tongwe upihusika piaHiyo Professional ya Fid hajafanya Majani . Alitengeneza Duke
OLD BONGO FLEVAKuna group lilianzishwa Telegram la nyimbo za Bongo Fleva Old Skul. Mwenye link anitumie au aniambie linaitwajee!
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Majani - Bongo RecordsCpwaa_ "six in the morning"
Hii alipiga nani wazee?
Sawa mkuuMajani - Bongo Records
Ukisikiliza verse ya kwanza cpwaa anaitaja kabisa bongo records ..Cpwaa_ "six in the morning"
Hii alipiga nani wazee?
Ukisikiliza verse ya kwanza cpwaa anaitaja kabisa bongo records ..
Nimekuwekea na ngoma hapo
Tuko pamoja
MajaniHivi "kimya kimya" ya Jay Moe na Ngwea kapiga nani
Yeahh! Intro anasema "Tongwe Record Forever Biyee" then mbeleni anasema "Duke akiwa kwenye mashine"Na mkono wa tongwe upihusika pia
Anguumapo zimwi, nimcheza Nan katkat ya msitu nimuokoe man, Ngoma mishatuliza gambanMkuu naomba version nzima ya hii nyimbo lyrics zake
"...ni dikteta idi amini nduli dada au adolf Hitler.."
Halfan Majani.Hivi "kimya kimya" ya Jay Moe na Ngwea kapiga nani
Halfan Majani pale Bongo records.Cpwaa_ "six in the morning"
Hii alipiga nani wazee?
Asante kwa kunijuza mkuuHalfan Majani.
Halfan Majani pale Bongo records.