Beat ipi kati ya hizi P-Funk majani alichemka?

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Mkali na legendary Paul mi namkubali sana, wasanii wengi wa zamani walisikika kisa yeye,

Katika ngoma hizi ni ipi ambayo hakuinyonga vema maana tunajua beat zilizonyingi kafanya vema, hebu chagua beat aliyochemka

1. Akwelina - Somebody ft nature
2. Ntoke Vipi- misosi
3. Nako 2 nako - hawatuwezi (hii beat ya p funk naitambalia kama staki) hatari sanaa
4. Nikusaidieje - Prof Jay
5. Mzee wa Busara - Nature
6. Msanii- Afande sele
7. Nampenda yeye- Majaniii Temba hapa

8. Kipi sijasikia - Prof Jay ft Diamond

9. Man dojo na domo kaya- Nikupe nini

10. Ya leo kali- wachuja nafaka,

11. Maralia- Fid A
12. Vunja kabati- chid benz

13. Bongo rose ft asteria mvungi - wape
14 . Nipe tano - Daz Baba
15. Mb doggy- si ulinambia
16. Mtoto wa jakaya- ngwair ft nature
17. Starehe - Ferooz
18. Tatu bila- TMK
19. Sitaki demu- juma nature
20. Nature- Kisa demu
21. Nature - ubinadamu kazi
22. Ngwair - napokea simu/ mapromota prof jay
23. Zari la mentali- prof Jay
24. Niamini- prof Jay
25. Hakuna noma - Inspeta haroun ft Jay
26. Mtazamo- Jay ,sele na Solo thang
27. Jirushe - ferooz
28. Mikasi- Ferooz
29. August 13 - Fid q
30. Gheto langu- ngwair
31. Hakuna kulala- Juma nature
32. Inaniuma sana- Juma nature
33. Hatuna kitu- nature
34. Kamua- TMK
35. Sonia- Juma nature
36. Professional - Fid q
37. Speed 120- ngwair
38. Umbo namba 8- daz baba
39. Dully sykes- Bijuor
40. Mgambo- NATURE
41. Kila siku za week- NATURE ft chameleon
42. Ugali - Nature
43. Kura yangu- Sugu nature na balozi

44. Ndio Mzee akiwa na Lady Jay Dee na MC Babu Ayubu

45 Jina Langu prof Jay
46.Bongo Dar es Salaam - Jay akiwa na Lady Jay Dee
47 Jay- Nawakilisha-

48. Jay - Piga Makofi

49. Jonitha- Pingu na deso

50. Jinsi kijana- Nature

51. Hili game - Nature

52. Ladhia number one- rich one na.Nature

53. Mike tee ft NATURE- Nakupenda
54. Mambo ya pwani -'Solo Thang Nature
55. Bang - nako 2 nako
56. Mtoto idd - Nature

AY-2.jpg
427790_481845651855662_224647463_n.jpg
552438_481830985190462_1095255936_n.jpg
394154_481840738522820_354827679_n.jpg
59478_481842935189267_328774813_n.jpg
 
Mkali na legendary Paul mi namkubali sana, wasanii wengi wa zamani walisikika kisa yeye,

Katika ngoma hizi ni ipi ambayo hakuinyonga vema maana tunajua beat zilizonyingi kafanya vema, hebu chagua beat aliyochemka

1. Akwelina - Somebody ft nature
2. Ntoke Vipi- misosi
3. Nako 2 nako - hawatuwezi (hii beat ya p funk naitambalia kama staki) hatari sanaa
4. Nikusaidieje - Prof Jay
5. Mzee wa Busara - Nature
6. Amekoma - Temba
7. Nampenda yeye- Majaniii Temba hapa

8. Kipi sijasikia - Prof Jay ft Diamond

9. Man dojo na domo kaya- Nikupe nini

10. Ya leo kali- wachuja nafaka,

11. Maralia- Fid A
12. Vunja kabati- chid benz

13. Bongo rose ft asteria mvungi - wape
14 . Nipe tano - Daz Baba
15. Mb doggy- si ulinambia
16. Mtoto wa jakaya- ngwair ft nature
17. Starehe - Ferooz
18. Tatu bila- TMK
19. Sitaki demu- juma nature
20. Nature- Kisa demu
21. Nature - ubinadamu kazi
22. Ngwair - napokea simu/ mapromota prof jay
23. Zari la mentali- prof Jay
24. Niamini- prof Jay
25. Hakuna noma - Inspeta haroun ft Jay
26. Mtazamo- Jay ,sele na Solo thang
27. Jirushe - ferooz
28. Mikasi- Ferooz
29. August 13 - Fid q
30. Gheto langu- ngwair
31. Hakuna kulala- Juma nature
32. Inaniuma sana- Juma nature
33. Hatuna kitu- nature
34. Kamua- TMK
35. Sonia- Juma nature
36. Professional - Fid q
37. Speed 120- ngwair
38. Umbo namba 8- daz baba
39. Dully sykes- Bijuor
40. Mgambo- NATURE
41. Kila siku za week- NATURE ft chameleon
42. Taswira - man dojo na domo kaya
43. Twende tukaruke kwanja- chege na temba

44. Ndio Mzee akiwa na Lady Jay Dee na MC Babu Ayubu

45 Jina Langu prof Jay
46.Bongo Dar es Salaam - Jay akiwa na Lady Jay Dee
47 Jay- Nawakilisha-

48. Jay - Piga Makofi

49. Dingi - Man dojo na domo kaya

50. Jinsi kijana- Nature

51. Hili game - Nature

52. Ladhia number one- rich one na.Nature

53. Mike tee ft NATURE- Nakupenda
54. Mambo ya pwani -'Solo Thang Nature
55. Bang - nako 2 nako
56. Mtoto idd - Nature

View attachment 781467 View attachment 781468 View attachment 781469 View attachment 781470 View attachment 781471
Wew ni kilaza wa huu muziki ama ulikuwa mtoto ndio maana umecopy na kupaste tu nyimbo kama amekoma kafanya master jay ,twenzetu kafanya mika mwamba, taswira mika mwamba, dingi mika mwamba ndani ya mj lumbuka hapa alikuwa amerudi mika kidogo nchini
Kwa kuwa mtoto wa juzi untaka sifabasi umeyaleta tu
 
Haha
 
Mkuu, hivi ile ya stori 3 tofauti ya jaymoe aliigonga nani?
 
Wew ni kilaza wa huu muziki ama ulikuwa mtoto ndio maana umecopy na kupaste tu nyimbo kama amekoma kafanya master jay ,twenzetu kafanya mika mwamba, taswira mika mwamba, dingi mika mwamba ndani ya mj lumbuka hapa alikuwa amerudi mika kidogo nchini
Kwa kuwa mtoto wa juzi untaka sifabasi umeyaleta tu
Kweli mkuu kajichanganya. Hata hiyo hatuna kitu aliinyonga Bonny Luv na sio Majani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom