BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Nimemsikia Nchimbi akithibitisha hilo...ameomba kibali kwa Raisi ili kuruhusu wataalamu kutoka nje (Majasusi) kushiriki pamoja na jeshi la polisi kuharakisha uchunguzi wa jambo hilo. Yaonekana jeshi letu halina mbinu madhubuti na za kisa sa za kuweza kupambana na uhalifu wa aina hii kwa kuwa bado linafanya kazi kizamani.
yaani usalama wa taifa suala lililo wazi kama hili limewashinda?

wahusika wanafahamika na vyombo vya uslama vinawaonea haya kuwakamata

kuwaleta wachunguzi wa nje ni serikali hii kutotaka kutimiza majukumu,kuogopa lawama
 
Mkuu hoja iliyopo mezani kwa sasa ni uchunguzi wa kifo cha padri!Au hutaki hoja hii ijadiliwe kwa sababu unazozijua mwenyewe?
Hakuna mtu anayekataa hoja hii kujadiliwa, utata unakuja pale kuna matukio nyuma yaliyotokea ambayo pia yamedhuru Watanzania au wengine kuuliwa(Dr.Ulimboka na Mwangosi) lakini serikali hadi leo imekaa kimya lakini ili la Padri inawaingiza FBI,CIA kuja kuchunguza. hapa tunapata shida kidogo na hapa tunaendelea kuongeza tabaka la udini inawezekana kabisa mauaji haya yakaratibiwa na waumini au muumini wa dhehebu lingine tofauti na waislam lakini hao tunaowaita FBI,CIA kwa sababu wao siku zote wapo katika kuupinga Uislam wataingiza ya kwao juu ya Uislam kwa hiyo tunatakiwa tuwe makini sana tunapoleta watu kuja kutufanyia uchunguzi kwa mambo yanayotuhusu sisi wenyewe. na pia tujiulize Mwangosi aliuliwa je Ubalozi wa Marekeni ulilaani tukio lile? kama sio inakuwaje leo walaani tukio hili la Padri kwa sababu yote ni matukio mabaya sana waliyofanyiwa Binadamu.
 
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo.

Concern
Hapa najua wanataka kuwatupia watu wa nje lawama nahakika wanajua nani anaendesha mauwaji lakini unafiki wa kukamatana ndo unawasumbua hawa serikali. Uchunguzi ukitoka utawasikis "kulingana na uchunguzi wa kijasusi toka nje umebaini.........." Ili wao waonekane sio walio watia hatiani watuhumiwa.

Jamani wauaji si wanajulikana?kama hawawezi kuwachukulia hatua sasa hivi hata baada ya uchunguzi hawatawachukulia anatuzuga tu huyo, ikumbukwe kwamba yeye ndiye namba moja aliyechochea udini kwa ajili ya madaraka 2010. Numba moja muuaji ni Shehe Ilunga Hassan, aliyewachochea waislamu kulipiza kisasi kuwaambia uwa kadirani, askofu, mchungaji/padri. KWANINI HAJAKAMATWA MPAKA LEO? WANASUBIRI NINI?

KIKWETE UMEACHIWA NCHI IKIWA SALAMA WEWE KWANINI UNATAKA KUIACHA IKIWA KWENYE UMWAGAJI WA DAMU?
NAKUHAKIKISHIA damu yote itakuwa juu ya kichwa chako na vizazi vyako vyote.
 
Hii ni danganya toto. Majasusi hawaji sababu ya kuuwawa kwa viongozi wa dini zanzibar. kwani bara hawafi?. Ukweli ni kwamba Tanzania inashutumiwa kushirikiana na Iran, vilevile inashutumiwa kwamba ni njia ya kupitisha ulenium kwenda iran.zanzibar itachunguzwa kutokana na mpango wake wa OIC kama kweli una usalama. Kumbuka Benard membe alishaomba tz isaidiwe uchunguzi wa meli na umoja wa mataifa so ndo wanakuja. Hii ya dini ni geresha sababu hata yeye Kikwete anajua kwanini wanakufa. Mia
 
serikali dhaifu huwa na usalama dhaifu ndio kinachotokea kwa sasa kwa nini haya mambo hayakutokea kipindi za awamu ya kwanza, pili na hata ya tatu? jk fikiria mbali zaidi nje ya hapo umeshapwaya sana kwenye uongozi
 
Waislam tanzania kiama chenu kimefika, wanaokuja ni wale wanaowauwa waislam kila siku dunian kwa kisingizio cha ugaidi lakin hata siku moja hawajaonyesha gaidi ni nani na anafanya nn kutimiza huo ugaidi, waislam wengi wameuwawa na lkn hatujasikia unafanywa uchunguzi kutoka hata kwa jeshi la polisi tu. Lkn leo kauwawa binadam wanaambiwa majasusi waingie nchin kumtafuta gaidi, nani alishawahi kusikia mkristo anaitwa gaidi? Waislam sasa yale ya afghanstan,libya,somalia na nchi zingine silizosimamisha uislam yanakuja tanzania tena kwa ruhusa maalum, hii inaweza kuwa ya ule msemo wa usimoige mtoto usiku, yaan waislam wako katika jitihada za kutaka haki zao wanakuja watu wanamuua padri halafu wanasema waislam wamemuua ili ipatikane fursa ya kuwaua na kuhakikisha waislam hawapati tena fursa ya kuendelea kudai yale ambayo wakristo hawayapendi. Jiandaeni
 
Hao wote ni Wakristo wanauwana kwa pesa za
Kanisa, lakini watu wanajitia hamnazo kwa kuwambakizia WAISLAMU sakata hili! Tukio hili halihusiani na muislamu yoyote na kama wangefanya Waislamu mungeiyona joto ya jiwe
pangechimbika!

Pesa za kanisa Zanzibar? Kweli akili kina mtu ana zake
 
Ilunga popote ulipo ufunikwe na damu ya yesu sio kosa lako ni sumu ulizopewa madrasa tangu mdogo
 
safi saana serikali tuleteeni mzee Jack Bauer hapa.......let any means to be used all we need is actual results....!
 
Waislam tanzania kiama chenu kimefika, wanaokuja ni wale wanaowauwa waislam kila siku dunian kwa kisingizio cha ugaidi lakin hata siku moja hawajaonyesha gaidi ni nani na anafanya nn kutimiza huo ugaidi, waislam wengi wameuwawa na lkn hatujasikia unafanywa uchunguzi kutoka hata kwa jeshi la polisi tu. Lkn leo kauwawa binadam wanaambiwa majasusi waingie nchin kumtafuta gaidi, nani alishawahi kusikia mkristo anaitwa gaidi? Waislam sasa yale ya afghanstan,libya,somalia na nchi zingine silizosimamisha uislam yanakuja tanzania tena kwa ruhusa maalum, hii inaweza kuwa ya ule msemo wa usimoige mtoto usiku, yaan waislam wako katika jitihada za kutaka haki zao wanakuja watu wanamuua padri halafu wanasema waislam wamemuua ili ipatikane fursa ya kuwaua na kuhakikisha waislam hawapati tena fursa ya kuendelea kudai yale ambayo wakristo hawayapendi. Jiandaeni

shame on you!
 
uongozi mbovu wa kikwete, ndio unao sababisha yote hayo, ipo siku mungu atamlipizia yeye afanyae hivo,.
 
Hakuna mtu anayekataa hoja hii kujadiliwa, utata unakuja pale kuna matukio nyuma yaliyotokea ambayo pia yamedhuru Watanzania au wengine kuuliwa(Dr.Ulimboka na Mwangosi) lakini serikali hadi leo imekaa kimya lakini ili la Padri inawaingiza FBI,CIA kuja kuchunguza. hapa tunapata shida kidogo na hapa tunaendelea kuongeza tabaka la udini inawezekana kabisa mauaji haya yakaratibiwa na waumini au muumini wa dhehebu lingine tofauti na waislam lakini hao tunaowaita FBI,CIA kwa sababu wao siku zote wapo katika kuupinga Uislam wataingiza ya kwao juu ya Uislam kwa hiyo tunatakiwa tuwe makini sana tunapoleta watu kuja kutufanyia uchunguzi kwa mambo yanayotuhusu sisi wenyewe. na pia tujiulize Mwangosi aliuliwa je Ubalozi wa Marekeni ulilaani tukio lile? kama sio inakuwaje leo walaani tukio hili la Padri kwa sababu yote ni matukio mabaya sana waliyofanyiwa Binadamu.

Inaonekana roho yako imefarijika sasa kwa kuwawa kwa huyu padri!

Sasa unataka nani achunguze haya mauaji?ulitaka sheikh Ilunga,Sheikh Mukudam Swalehe,Sheikh Ponda Issa Ponda ndiyo wafanye uchunguzi?
 
Mimi sioni kama hapa tatizo ni uwezo wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuchunguza. Uwezo wanao na wanaoua na kutenda vurugu hapa nchini wanafahamika na vyombo vyetu vya ulinzi. Tatizo ni Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama hajaamua kutimiza jukumu lake la uamiri Jeshi. Mwinyi alifanyeje walipovunja mabucha ya nguruwe???? Mkapa alifanyeje Pemba wakati uleeeee???? Na jirani yake rais Mwaikibaki aliposikia watu wanasema Pwani si Kenya na kuanza kupoteza roho za watu??????????????? Katika mifano hiyo kuna yaliyojirudia???? KIKWETE NAYE AFANYE KAZI asituletee longolong. SULTAN MWENYEWE KAWAACHA MAPADRI PALE, LEO HII KUNA ANAYEUJUA UISLAM Kumdhidi aliyeuleta. KIKWETE FANYA KAZI Sanaa zako hazisaidii zaidi ya kukuchora na kukuweka na wewe mashakani.
 
Tanzania ya Nyerere ndio haikuwa na dini, lakini hii ya Kikwete ina dini nayo ni uislam hili lipo wazi na tusidanganyane, haiwezekani mambo yanajirudia tena kwa staili ile ile lakini wanashindwa kudhibiti hii hali tena nasikia walishatoa na onyo kwamba lazima Pasaka itakuwa mbaya kwa makafiri mwaka huu, nakweli tumeona (padri kauwawa).
Zanzibar kuna viongozi wa dini lengwa wachache sana je baada ya yule Padri wa kwanza kuponea chupuchupu Serikali ilishindwa hata kufanya utaratibu juu ya usalama wa hawa viongozi wa dini?

Ukiwatazama machoni ni kama vile wapo nasisi katika haya majonzi lakini ukweli upo wazi ndani ya mioyo yao wanasema wacha wafe, wakristo inukeni, pazeni sauti zenu kwa Mungu kukataa hii hali, ombeeni Serikali hii inayodhani itaweza kuondoa ukristo ktk Nchi hii, MUNGU wa Wakristo anajibu maombi, Kardinal Pengo, Dr Malasusa na wengine wengi muko wapi? tunataka kuwasikia sasa mukimuonya KIKWETE........inatosha.
 
haa hapo huwa nakmbuka movie ya 24hours kuna mtu anitwa jack beaur na it guy nannii vile lazima ngoma inoge hata kama rais anahusika atahojiwa tu
tunachezewa tu hapa

watakuja na majibu sahihi, atasimama kwenye mkutano na wazee wa dar kisha atasema "hao wazungu wa yao hao"

then kila kitu kitaishia hapo

he is just crewing us deep
 
Waislam tanzania kiama chenu kimefika, wanaokuja ni wale wanaowauwa waislam kila siku dunian kwa kisingizio cha ugaidi lakin hata siku moja hawajaonyesha gaidi ni nani na anafanya nn kutimiza huo ugaidi, waislam wengi wameuwawa na lkn hatujasikia unafanywa uchunguzi kutoka hata kwa jeshi la polisi tu. Lkn leo kauwawa binadam wanaambiwa majasusi waingie nchin kumtafuta gaidi, nani alishawahi kusikia mkristo anaitwa gaidi? Waislam sasa yale ya afghanstan,libya,somalia na nchi zingine silizosimamisha uislam yanakuja tanzania tena kwa ruhusa maalum, hii inaweza kuwa ya ule msemo wa usimoige mtoto usiku, yaan waislam wako katika jitihada za kutaka haki zao wanakuja watu wanamuua padri halafu wanasema waislam wamemuua ili ipatikane fursa ya kuwaua na kuhakikisha waislam hawapati tena fursa ya kuendelea kudai yale ambayo wakristo hawayapendi. Jiandaeni
GAIDI!!!!ni GAIDI TUU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom