BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

Status
Not open for further replies.
acha waje wazee wa kazi cia. fbi.mosab,m16.kgb.uone mambo huwa hawana cha rushwa wala kujuana
 
Huyu sheikh Ilunga anafikiri atabaki salama wakati kila mtu atakapoamua kunyanya silaha yake juu!

anchoamini yeye ni kuwa hata kama mkishika silaha na kumuua iyo itakuwa ni tiketi yake ya peponi.....hii inadhiirisha ni waislamu wachache sana wenye IMANI na AKILI kwani wengi wao wana IMANI lakini wamekosa AKILI kuitumikia vyema imani yao.
 
Huyo ndio kiongozi anae heshim misingi ya democrat. Nakumbuka 1998 baada serkali kuuwa waislam pale mwembe chai, Rais wa kipindi hicho ( jina limeni toka ) alikataa kusifanyike uchunguzi tena kwa jibu jepesi kabisa "kilicho tokea hakuna asiye kijua kwahiyo hakuna haja ya uchunguzi". Hata alipo jitokeza muislam m-moja kuandika kitabu ( kuusu mauaji hayo ) serkali ilipiga marfuku kitabu hicho. Hapa kunamaana kua Mcristo m-moja anathamani zaidi ya makumi ya waislam.
 
anchoamini yeye ni kuwa hata kama mkishika silaha na kumuua iyo itakuwa ni tiketi yake ya peponi.....hii inadhiirisha ni waislamu wachache sana wenye IMANI na AKILI kwani wengi wao wana IMANI lakini wamekosa AKILI kuitumikia vyema imani yao.

Hapa hakuna dini,kuna kikundi kikubwa cha kigaidi kilicho chini ya mwamvuli wa dini!
 
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo.

Concern
Hapa najua wanataka kuwatupia watu wa nje lawama nahakika wanajua nani anaendesha mauwaji lakini unafiki wa kukamatana ndo unawasumbua hawa serikali. Uchunguzi ukitoka utawasikis "kulingana na uchunguzi wa kijasusi toka nje umebaini.........." Ili wao waonekane sio walio watia hatiani watuhumiwa.[/QUOTE

Upumbavu mtupu.....!
Anasuburi hadi jambo litokee!!
Then raisi jambo kubwa kama hili anaogopa hata kuliongelea anamtuma Salva!
 
Wewe nini maoni yako kuhusu mauaji yanayoendelea nchini? Je ni kweli kuna umuhimu wowote wa kuwa na dini zilizokuja kwa ndege na meli?

Wewe unanihoji kama nani nenda kwenye uzi husika utakuta michango yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom