NDESSA
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 1,946
- 1,791
Nuru ya jk itaendelea kusonga mbele kwanza wale wote wanamatatizo ni wakabila,na udikteta kwa kagame na museveni.
Sasa hayo yametoka wapi mkuu ishu ni kwamba Marais 3 wamekutana ktk kikao cha faragha sasa kinachozungumziwa kama hakihusu Tz Jk aende kufanya nini.