vyombo vya habari vyote vya Tanzania havina maana, njaa inavimaliza, vimekuwa vinaendesha tu propaganda kuhusu huu mgomo. Hii serikali naishangaa sana, pesa za kuhonga vyombo vyote vya habari wanazo lakini kutengeneza mazingira bora ya kufanyia kazi hawana. Huu ni ujuha wa dhaifu na serikali yake.tell us whom u trust mdau....apelejwe wapi sasa????ambako kuna usalama wake....
gazeti la nipashe lasema AFYA YA DR ULIMBOKA YAZIDI KUIMARIKA
SASA HUO UCHUNGUZI AU TUME ILIYOUNDWA NA POLISI UHALALI WAKE HUKO WAPI MAANA WAO NI WATUHUMIWA. KATIKA NCHI YETU HAPAJAWAHI TOKEA POLISI WAKACHUNGUZI SWALA LOLOTE LINALOWAGUSA NA MATOKEO YAKAWA FAIR. BASI TUMWOMBE MUNGU NDG YETU APATE KUPONA MAANAKE IKITOKEA IKAWA VINGINEVYO KUNASITOFAHAMU KWA WAPENZI, NDUGU , MARAFIKI NA WAPENA HAKI. MATAMUSHI YA WATAWALA YANAONYESHA ''Ni kweli kwamba yeye si mtumishi wa Serikali, hivyohakustahili kuwa sehemu ya majadiliano haya. Kulikuwa na rai ya kutaka asiwepo,lakini nilisema wamuache maadam Madaktari wanamuamini kuwa anaweza kuwasemeavizuri zaidi kuliko wao wenyewewalioajiriwa na Serikali.'
at least utanifanya ninywe chai! natamani kusikia jk ndiyo anapumulia mashine, nitashinda nikinywa calabash!Doctor anaendelea vzr,sema hatuwataki hawa BBC waende kumuona@ km kuna mtu hataki Dr ulimboka kupona bora ajinyonge make Doctor kashaanza kuimarika
Natamani kumowna akishuka kwenye ndege alitembea mwenyewe na kuzungumza na waandishi wa habari pale jk nyerere airport, ee mungu tunkuomba utimize ndoto yetu waja wako iwe kweli!