bb curve 2 inauzwa

john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
78
simu ipo katika hali nzuri,imetumika kidogo tu,ipo dar es salaam kwa bei ya 220 000 kwa bahati mbaya simu haina charger na bei ni fixed.nitumie sms 0763 309632 au 0658 309632
 
Asente sana clement. Nimepata ujumbe, lakini huku kwetu hakuna sijui hizo pesa za kwenye mtandao, na mimi niko moshi labda nimtume rafiki yangu aje aione aipige picha anitumie nikirizika nayo, nakutumia pesa kupita crdb sim banking, fasta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom