Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

Chelsea watacheza jihad kwasababu ni fainali na wana nafasi finyu ya kushiriki UEFA mwakani ila mpaka kipyenga cha mwisho kikipulizwa watabaki wameshika viuno wasiamini kitachotokea!bayern bingwa tena kilaini kuliko inavyofikiriwa
 
Final results: Chelsea winners on penalties.. I got it wrong, I feel let down by Bayern for not taking the chances.Congratulations to all Chelsea fans!!
 
umeumbuka! thread umeweka maneno kibao...!!! sasa hivi unatamani ijidelete isionekane. hahahahaaaaa
Niumbuke kwa kutabiri? unafikiri wakati naandika sikujua mpira una matokeo matatu draw,kushinda au kufungwa? ina maana wote waliotabiri na haikuwa sahihi mpaka walio bet wameumbuka? unajua maana ya kutabiri? Jipange wewe
 
Football is a game of chance, the one who manages to put more balls behind the net turns to be a victor....this is what i have just witnessed in Munchen, despite all the clear chances they managed to have less were converted into their advantage.
the Bavarians were simply outclassed
 
Mtabiri Juha wewe !!!!!!!!!!!!!!
siku ilipowadia ulitakiwa usubiri matokeo
Ati 3-1

Ila sishangahi kna Juha mwezako mwezako aliweka dau kwenye special Olympic ile olympic ya vijana wenye special need(matahira)..sijuhi alikuwa ana guarantee gani
 
Me I say 'huureeeeeey' for Buyern Munich, Chelsea mmh mmh mmh.......though hawahitaji hata kunishawishi kwakweli!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom