Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

Kalumbesa

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,013
356
Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich kuvunja mwiko huu hasa ukizingatia nina amini watawatoa Real Madrid katika nusu fainali.Endapo Barcelona wataingia fainali basi nao watakuwa wanataka kuvunja mwiko mwingine wa kulitetea kombe hilo,ila naamini Bayern Munich ndio watakaoibuka kidedea..kwangu kikwazo cha Munich kuchukua klabu bingwa ulaya ni Madrid..Naelewa uwezo wa timu nyingine mbili Chelsea na Barca ila nawapa Bayern nafasi zaidi

Mwaka fainali Bingwa
2012 Munich ?
2011 Wembley Barcelona
2010 Madrid Inter Milan
2009 Rome Barcelona
2008 Moscow Man Utd
2007 Athens AC Milan
2006 France Barcelona
2005 Instabul Liverpool
..........................................

Hatimaye siku imewadia,nabashiri Bayern Munich 3 Chelsea 1
 
Duuh ni ngumu kutabiri!!!wajerumani siku zote hufika fainali au nusu fainali kumalizia ndiyo huwa tabu.wanaweweseka dakika za mwisho
 
Kila nkimfikira Frank Ribery, Sjneider na Mario Gomes napata mchecheto. Real Madrid nao ni moto. Hii itakuwa nusu fainali ya historia
 
Bahati mbaya iliyopo miaka ya hivi karibuni marefa wa ulaya wamekuwa mabundi hawajui chochote,ukiondoa tu kizazi cha dr wa marefa duniani ambaye amestaafu kuchezesha .!CORINA!huyu mzee alinifanya nipende kuangalia mpira,kwa mfano mechi ya jana tungeshuhudia penati mbili kila upande ili kubalance mchezo,au mzee corina asingeruhusu hata penati moja,vijana mnaotaka kuwa waamuzi fuatilieni video za huyu mwamuzi mstaafu,utafurahi kuangalia soka,jana wana jf nimemkumbuka sana babu corina,duuuu.
 
Pierluigi Collina was exceptional referee,Howard Webb kwa sasa anajitahidi kama fainali ya kombe la dunia alichezesha vema sana,tatizo kubwa la Webb ni pale mojawapo ya timu zinazocheza inapokuwa Man U
 
wale mashabiki wa England itabidi waishangilie chelsea,lakini mimi timu yangu itaanza kucheza msimu ujao naomba mnipe sapoti timu yenyewe ni JUVENTUS.
 
Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich kuvunja mwiko huu hasa ukizingatia nina amini watawatoa Real Madrid katika nusu fainali.Endapo Barcelona wataingia fainali basi nao watakuwa wanataka kuvunja mwiko mwingine wa kulitetea kombe hilo,ila naamini Bayern Munich ndio watakaoibuka kidedea..kwangu kikwazo cha Munich kuchukua klabu bingwa ulaya ni Madrid..Naelewa uwezo wa timu nyingine mbili Chelsea na Barca ila nawapa Bayern nafasi zaidi

Mwaka fainali Bingwa
2012 Munich ?
2011 Wembley Barcelona
2010 Madrid Inter Milan
2009 Rome Barcelona
2008 Moscow Man Utd
2007 Athens AC Milan
2006 France Barcelona
2005 Instabul Liverpool
..........................................
..........................................

Mbona sioni ARSENAL wala CHELSEA hapo? Ina maana ARSENAL ni weupee UEFA Champions league?
 
Bahati mbaya iliyopo miaka ya hivi karibuni marefa wa ulaya wamekuwa mabundi hawajui chochote,ukiondoa tu kizazi cha dr wa marefa duniani ambaye amestaafu kuchezesha .!CORINA!huyu mzee alinifanya nipende kuangalia mpira,kwa mfano mechi ya jana tungeshuhudia penati mbili kila upande ili kubalance mchezo,au mzee corina asingeruhusu hata penati moja,vijana mnaotaka kuwa waamuzi fuatilieni video za huyu mwamuzi mstaafu,utafurahi kuangalia soka,jana wana jf nimemkumbuka sana babu corina,duuuu.

mtu akikusoma katikati ya mistari unasomeka kama baca wamebebwa, huko sahihi, abrossini alicheza rafu, wakati kona imepigwa, siyo wakati kona inapigwa, hakuna njia ambayo peluigi colina angeweza kubalance mchezo kwa kutoa penalt pasipo sababu, yaani awape tu milan penalt! hawakuchezewa rafu inayostahili kupewa penalt. ilikuwa sahihi milan kufungwa, mechi ya kwanza wali-pack container wakapata sare, kwenye mechi ya marudiano iliwalazimu kupata angalu goli moja ili washinde moja bila, ama sare ya 1-1 kuwawezesha kisonga mbele, kwenye jitihada ya kulitafuta hilo goli moja ndio wakaruhusu mpira kuchezwa (wali unpack container) ikawaruhusu kina pique, messi, iniesta kuwapumulia shingoni na kwa kiwewe wakaanza kuvunja kanuni za uchezaji, adhabu ya penalti haingeepukika. LONG LIVE PELUIGI COLINA.
 
itapita chelsea kwa barca kama marefa watakuwa ni waingereza tena wanaoipenda uingereza zaidi ya hapo kama ac watolewa kwa penati za magumashi chelsea lazima mpewe red wachezaji kama wa 2 ili mtoke mapema..
 
Bingwa ni mh mh bar.....oh...nooo.real,chelsea....oor soree bay....no nimesahau ni barcelona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom