Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

Mbona sioni ARSENAL wala CHELSEA hapo? Ina maana ARSENAL ni weupee UEFA Champions league?
Kama jana uliangalia mechi ya Chelsea na Benfica, Commentator alikumbusha kwa kusema, no london team has won the UEFA Champions League trophy
 
"Its only about who will play Barca in the Final" - Jose Mourinho
 
Kwangu mimi imekuwa ni timu bora kwa mwaka huu kwenye CL. Tactically, Technically, Physically na Mentally wana nafasi kubwa ya kuwa mabingwa msimu huu wa CL
 
Yaani timu zinabaki mbili ndio mnaanza kutabiri? Haa haa haaa! Wengi mlisema Barcelona, sasa Bayern! Tutasikia utabiri hata baada ya bingwa kupatikana!
 
Walisema Barcelona kisha Bayern nani kakuambia?....walisema Barcelona...ilivyotoka wakahamia Real Madrid...jana na wenyewe walivyofungashwa wamerudi Bayern
 
Kwangu mimi imekuwa ni timu bora kwa mwaka huu kwenye CL. Tactically, Technically, Physically na Mentally wana nafasi kubwa ya kuwa mabingwa msimu huu wa CL
Naomba unionyeshe applicxation ya factor ulizozitoa kwa BM kuwa bingwa, ukizingatia kuwa kila mtu alituambia kuwa tutatolewa na Barca
 
Kama jana uliangalia mechi ya Chelsea na Benfica, Commentator alikumbusha kwa kusema, no london team has won the UEFA Champions League trophy

sawa, lakini nawe si umesema hakuna timu iliyocheza fainali nyumbani na ikachukua kombe, mbona bado umewatabiria bayern kuchukua kombe? kwa mtindo huo huo hakuna timu ya londoni iliyokwisha kuchukua kombe na chelsea ndo watakuwa wa kwanza
 
Naomba unionyeshe applicxation ya factor ulizozitoa kwa BM kuwa bingwa, ukizingatia kuwa kila mtu alituambia kuwa tutatolewa na Barca

Niliwahi kusema mapema sehemu kwamba sikuwa nawapa nafasi Barcelona kutwaa ubingwa mwaka huu coz wanalack determination. Nikasema mmoja kati ya BM au RM nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa na nikasema sitashangaa mechi kati yao ikiamuliwa kwa penalt.

Sasa kiuchezaji kama timu Bayern wako stronger kuliko Chelsea, kwa mchezaji mmoja mmoja Chelsea wanaweza kuwa na edge kuliko BM. Ila BMwana viungo na washambuliaji hatari kuliko chelsea
 
sawa, lakini nawe si umesema hakuna timu iliyocheza fainali nyumbani na ikachukua kombe, mbona bado umewatabiria bayern kuchukua kombe? kwa mtindo huo huo hakuna timu ya londoni iliyokwisha kuchukua kombe na chelsea ndo watakuwa wa kwanza

Umesoma post yangu vizuri lakini?kuanzia heading ? Bayern mabingwa champions league 2012
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom