Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,308
- 4,294
Crap!Baada ya bavicha kuanza vikao vya ndani nchi nzima ndio utune
Crap!Baada ya bavicha kuanza vikao vya ndani nchi nzima ndio utune
. je nilipi nilishawai leta hapa la wongo je ujaona hata magazeti yameandika
Umewapa ushauri mzuri sana. Hata ile mikutano ya hadhara wangeweza kuifanya bila kuingiliwa kama hawakukurupuka na matamshi ya ovyo ya kupambana na Magufuli.Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
Pita vileeeeeeeeSasa kama mikutano ya kikatiba imeruhusiwa kuna haja gani ya kutangaza kuwa 'sisi' tutafanya mikutano????!!!! Kwa hakika mimi CHADEMA huwa siwaelewi kabisa, kwanini mnalalalamika lalamika sana?? Yaani siku zote your drive ni kujenga picha kuwa mnaonewa why???
Sitaweza kumzungumzia mtu mwingine mimi najizungumzia mimi na taluma yangu hii habari inaukweli na soon utaona huu ukweli mdaa utatamalakiMagazeti mbona yamekuwa yakiandika uongo wa kutungwa wa humu ndani mara nyingi tu.HIVI KARIBUNI MAGAZETI yaliandika habari iliyokuwa humu ya kusema Raisi kachagua meneja wa hotel kuwa mkurugenzi wa halmashauri!!! Uongo uliokuwa humu Jamiiforums.
Nichungu lakini mezaCrap!
hivi kuna watu ajira yao siasa...hapa ndio wanapo kosea.Hawana kazi nyingine za kufanya...Rai namba moja kaongea kwa-uzuri sana,watu wakafanye kazi!Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.
kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.
Stay tune..
"Dont fight for success Fight to be Significant then Success will come automaticaly"Hivi ukiwa kwenye siasa uruhusiwi kuwa na ajira au kujiajiri? Ni muda gani hawa watu watakuwa wanaandaa future za familia zao?
Hata siasa nayo ni kazihivi kuna watu ajira yao siasa...hapa ndio wanapo kosea.Hawana kazi nyingine za kufanya...Rai namba moja kaongea kwa-uzuri sana,watu wakafanye kazi!
Umemsahsu kitwangaNiombwe msaada na wanywa Viroba kweli!!
Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
Mbona swami hilo hujawahi kuwauliza uvccm, au mkuki kwa nguruwe......Hivi ukiwa kwenye siasa uruhusiwi kuwa na ajira au kujiajiri? Ni muda gani hawa watu watakuwa wanaandaa future za familia zao?
Mkapa amututukana wananchi kuwa wapumbavu na malofa mbona hujasema mchochezi? Haya mwingine amesema watoto wetu ni vilaza mbona hajaitwa mchochezi?Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
Mkapa amututukana wananchi kuwa wapumbavu na malofa mbona hujasema mchochezi? Haya mwingine amesema watoto wetu ni ****** mbona hajaitwa mchochezi?
Kama unafikiri ni utani stay tune Bavicha hawana utani wa UVCCM