BAVICHA kuzunguka nchi mzima kufanya mikutano ya ndani

Utasikia PoLi CCM baada uchaguzi wa magamba watawakataza hata hizo za ndani ambazo leo wameruhusu maalum sababu ya Magamba!! Subiri
 
Kwakweli nawapongeza Bavicha naona ukombozi unakaribia
NB: kama una akili ya mende huwezi kuelewa namaanisha nini
 
Ni kweli kabisa BAVICHA tumeshajiandaa kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara tutatoa ratiba mikoa yote ambayo tutaanzia muda mfupi ujao hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele daima

Nilifikiri BAVICHA watazunguka nchi nzima kuanzisha miradi kwa ajili ya vijana wao wasiokuwa na kazi kumbe ni kuzunguka kufanya mikutano BULLSHIT !!!
 
jaman waoneeni huruma polisi wetu ...wataandamana nchi nzima kwa ajili yenu
 
Huu utoto unazidi kufanya umma uzidi kuwaona wasanii tu. Siasa zinawashinda badala yake mnataka kutumia vijana ili mbaki kwenye headlines. Akili zenu zimeishia hapo? Mkishindwa uchaguzi 2020 mtazira tena matokeo na kuanza kuzuga eti "patachimbika". Badala ya mikakati ya tume huru, katiba mpya iliyopingwa na EL n.k mnacheza rede na CCM while yenyewe ina dola!

Hongera Dada kwa kuropoka! , hebu fafanua wapinzani wafanye mikakati ipi ya tume huru na katiba mpya wakati wanabanwa kila kona ? kwa akili yako fupi hata bunge la katiba likiitishwa kesho hao ccm wenye wabunge wengi watakubari kuibadilisha hiyo katiba kukidhi matakwa ya wapinzani au jamii ya sasa huku katiba hiyo ikiwa mwiba kwao?

Mabadiliko hayo yatakuja ccm wenyewe wakiamua na huyo mwenyekiti wao mtarajiwa na Rais , otherwise tunajidanganya tu maana tukiandamana tunapigwa , tunabambiwa kesi , polisi wanailinda dola kwa nguvu zote....

Wasaidie hao wapinzani mkakati wa hicho unachoamini wewe wameshindwa , labda wanaweza kijifunza kwako
 
Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.

kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.

Stay tune..

Hii taarifa ni ya uongo 100%
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo na ile ingine ya kusema wanafanya mkutano mkuu wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema ni vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofis.Taarifa zote za kiofisi zina wasemaji wake nyie ambao mko frustrated kaeni mbali na frustration zenu msikilishe CHADEMA maneno ambayo hayapo na kuyaleta Jamiiforums
 
Bavicha kazen buti msirud nyuma maana kamanda mkuu kaambia na mgeni aacha uharanaharkati nae kamsikiliza kapo tuli kampooza na katibu wake, Anasahau kua asilimia kubwa ya makamanda wake ni vijana. Na hao vijana uliwajenga ktk uhanaharakati leo ghafla kaja mgen anawaambia iyo cyo njia!! La mwisho ni kua hakuna kipindi kinachoitaji siasa za uhanaharakati kama sasa. Iki ndo kipindi kigumu mno.mkipoa mtapoozwa
 
Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.

kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.

Stay tune..
Tu stay tunatune nini?
 
Hii taarifa ni ya uongo 100%
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo na ile ingine ya kusema wanafanya mkutano mkuu wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema ni vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofis.Taarifa zote za kiofisi zina wasemaji wake nyie ambao mko frustrated kaeni mbali na frustration zenu msikilishe CHADEMA maneno ambayo hayapo na kuyaleta Jamiiforums
Madili ya Kazi yangu hayaniruhusu kusema wongo na kama wewe unasema ni wongo subiri utaona... je nilipi nilishawai leta hapa la wongo je ujaona hata magazeti yameandika
 
Back
Top Bottom