BAVICHA Igunga: Hali iko vipi?

Wewe endelea kujenga hoja usianze kulazimisha hoja, tunazungumzia mada yako ya historia ya wasukuma na wanyamwezi ambayo naona huijui, na kama unafikiri mwamko wa wasukuma ni mdogo rejea uchaguzi uliopita ndio utajua msukuma ni mtu wa aina gani ni mkimya lakini akisema NO ni NO kweli kweli hata wewe umekiri CCM walivyoshindwa kumtoa Cheyo.

Hivi unawasikia CCM haswa wanapokuwa kwenye ngome zao haswa usukumani.Hivi unajua ni kwanini Kikwete kawaambia CCM wamtafute Rostam yote hiyo ni moja ya uzoefu wa CCM juu ya Mikoa hiyo.

Ndio maana nikasema Kama watamtumia Msukuma Mwenzao Rostam Aziz CCM watachomoka mia kwa mia,lakin akigoma watacheza wenyewe turufu yao.Lakini huo huyo huyo Rostam na kama atakataa kushiriki kuwarudishia CCM Mbunge kwa tiketi ya CCM atatafuta pa kuishi kwa kuwaingiza CCM kwenye utata.Hao ndio CCM ukiwabeep wanakupigia,siokuwa CCM ni undefeated cha msingi ni mbinu sahihi na mikakati sahihi ya kisayansi ndio silaha pekee ya kupambana na CCM.

CDM nasubili kuona picha hiyo na CCM igunga,manake ni matumaini yetu kuona kuwa jamaa hawa wawili CCM v/s CDM wanacheza soka la kulipwa.
 
Ndio maana nikasema Kama watamtumia Msukuma Mwenzao Rostam Aziz CCM watachomoka mia kwa mia,lakin akigoma watacheza wenyewe turufu yao.
Ndugu DSN

kwenye red kama tokea mwanzo ningejua akili yako ndivyo ilivyo basi nisingepata shida ku-judge malengo yako kwa kutumia kipimo cha thinking capacity.
 
mwongo wahed wewe... acha uzushi! jamaa yupo imara na hakuna wa kumwingilia katika majukumu yake anayoyapanga na sekretariat yake. kwa taarifa yako anakubalika ile mabaya. wewe utAkuwa gamba ndo maana unataka kuzusha hapa.. umechelewa , coz tushawang'amua wote huku ndani ya JF

Lakini Jamaa ana data za kutosha na inawezekana ni mtu wake wa karibu,lete na wewe zako na si kuongozwa kwa hisia ama ukamanda.
 
Ndugu DSN

kwenye red kama tokea mwanzo ningejua akili yako ndivyo ilivyo basi nisingepata shida ku-judge malengo yako kwa kutumia kipimo cha thinking capacity.

Kumbe unafikili kwa kutumia uwezo gani?
 
Mimi ni mwanaCDM ila bila kutafuna maneno Tabora ni pagumu sana,tuingie Igunga siyo kwa ajiri ya kushinda bali kukijenga chama kwanza alafu ushindi baadae

Nayasema haya si kwa unafiki wala kwa kubahatisha,mfano1 ni pale Dr.Slaa alipokuja Tbr mwezi wa 4 akiwa na akina Mpendazoe,tuliona kama wameelewa somo lakini wiki1 baadae mpaka leo navyoongea si rahisi kuiona bendera ya CDM kama zinavyoonekana za CCM na CUF,si soko kuu,si bus stand,si mtaani,si kokote pale ni vigumu sana

kwahiyo kwa sasa tukubali kwanza kufanya yafuatayo:tuwape dozi ya kutosha ya elimu ya uraia na pili,tuwafanye wawe na ujasiri wa kujisimamia kwa maana Wanyamwezi ni waoga mno mno mno,wanawaogopa watawala kuliko bomu la nyuklia
 
  • Thanks
Reactions: DSN

Aksante Mkuu, Feedback amepata ujumbe I hope hahaha!!!!!!!!!!habari ndiyo hiyo bwana feedback,manake naona ulikuwa na ajenda ya siri dhidi ya CDM,ona wanachama wenye uelewa wanajua nini ambacho chama chao kinabidi kwenda kufanya.

Mimi nategemea CDM kuwa ni chama cha watu wenye kufikilia sana,ndio maana hata Mwalimu Baba wa Taifa aliliona hilo kuwa uenda chama cha CDM kikawa ni chama makini.Umakini huo usiwe ni kupigania viti vya bungeni bali kuwaibua wananchi toka mafichoni waliko kwa misingi wawaibue wananchi kwenye kupata uelewa wa maisha yao na maendeleo ya Taifa lao.

Mikoani Baadhi ya Wananchi wanaiogopa Serikali vibaya sana.Nategemea na nilitegemea kuwa kazi ya Chadema pia ni kuwafanya Wananchi wasiiogope Serikali yao bali waiheshimu Serikali yao.Wananch wengi huko Mikoani wanaiogopa Serikali kwa maana watendaji wa Serikali.

Wachovu wa kufiklia kazi kwenu wenye akili zao CDM changanueni kuwa huko mnaenda kwenye ngome ya CCM.Na kama ni Mbwa kakutwa nyumbani kwao utata wake unajulikana.Ni tofauti na ukimkuta kitaani.
 
Kama vyama vyote vya siasa vitasimamisha mgombea jimbo la Igunga, kura zitagawanyika sana! Na Magamba wanaweza kupata pakupenyea!
 
Back
Top Bottom