mpiganiahaki
Senior Member
- Apr 28, 2011
- 170
- 67
Leo ni siku ya nane toka kuanza harakati za bavicha zikiongozwa na John Heche jimbo la Igunga. Ila toka kuanza kwa harakati hizi hakuna taarifa zozote tulizopewa hadi sasa juu ya hali ya kisiasa jimboni humo, je ni mapokezi ya aina gani makamanda wetu wamepata na wanaendelea kupata vile vile ni mafanikio gani hadi sasa wameyapata kutokana na harakati zao?
Jamani mlioko huko Igunga naomba mtujuze hapa hapa jamvini, Heche na wenzako tunahitaji kusikia kutoka kwenu
Jamani mlioko huko Igunga naomba mtujuze hapa hapa jamvini, Heche na wenzako tunahitaji kusikia kutoka kwenu