Hilo la "Batuli" ni aka tayari sasa kaongeza na "Cleopatra" baada ya new pedeshee kukolea na kumbatiza upya!sisi hatunaga aka's humu chagua jina lako moja utakalolitumia
Heaven on earth na heaven on desertKaribu Jf Were we dare to talk Freely.....
ila sijakufaham vizuri may be ni ufuatiliaji wangu mdogo wa Bongo Movies
Yupi hapa ni wa Diamond?
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Naona mnaendana. Itapendeza sana mkiishi pamoja. Thumb up!
Hilo la "Batuli" ni aka tayari sasa kaongeza na "Cleopatra" baada ya new pedeshee kukolea na kumbatiza upya!