Batuli Actress aka Cleopatra Nabisha Hodi

Salaam sana wana Jamiiforum

Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.

Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.

Asanteni sana.
Batuli aka Cleopatra,

Karibu sana humu JF..
Humu utapata kujifunza na uwe tayari kukubali kokosolewa na maoni yeyote uyachukulie kama Changamoto kwako ili uzidi kusonga mbele kwenye kazi zako za sanaa..
Hebu tuwekee Picha yako ili tuweze kukufahamu na ikiwezekana majina ya Muvi ulizowahi kuigiza pia ili tukufahamu zaidi, huenda tukawa mashabiki wako huko mbeleni.

Mapendo,
TANMO
 
Last edited by a moderator:
Karibu Jf Were we dare to talk Freely.....

ila sijakufaham vizuri may be ni ufuatiliaji wangu mdogo wa Bongo Movies

Asante Heaven on earth, utanifahamu tu. Nimeshafanya kazi na Marehemu Kanumba: Fake Smile. Nyingine ni: Waves of Sorrow na Ray; The Glory of Ramadhani. Nyingine: Fungate na Clouds. Pia kuna Bad Luck nk.
 
Last edited by a moderator:
Batuli aka Cleopatra,

Karibu sana humu JF..
Humu utapata kujifunza na uwe tayari kukubali kokosolewa na maoni yeyote uyachukulie kama Changamoto kwako ili uzidi kusonga mbele kwenye kazi zako za sanaa..
Hebu tuwekee Picha yako ili tuweze kukufahamu na ikiwezekana majina ya Muvi ulizowahi kuigiza pia ili tukufahamu zaidi, huenda tukawa mashabiki wako huko mbeleni.

Mapendo,
TANMO

Bila shaka na asante. Baadhi ya kazi zangu nimeshaziweka.
 
Salaam sana wana Jamiiforum

Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.

Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.

Asanteni sana.

Huku ndio penyewe. Viongozi,wachambuzi,wasomi, mashehe,wachungaji,madaktari,wanafalsafa,bongo movie bongo lala wote wako humu. Bila kumsahau Le Mutuz.
 
Hoyo mtoto Lisa!.....Umesahau filamu ya MKASA toka pale kwa Uncle naniliu pale!

Karibu sana, tutafahamiana kidogo kidogo!

Copy: Cloud112
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom