UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 77
Karibu jamvini
Hapa ndo penyewe wala hujapotea njia
Hapa ndo penyewe wala hujapotea njia
Karibu sana. Swali la kizushi. Kwanini movie za bongo mnazipa majina ya kizungu?. mia
wa nigeria wanauza sana online asa kwa kupitia tv na online je amuoni kwamba nanyie mnaweza mkafanya hivo ili kutotegemea tu kuuza kazi zenu through dvd?
Karibu jamvini
Hapa ndo penyewe wala hujapotea njia
karibu karibu karibu kwa great thinkers JF
Karibu,,,,punguzeni scandals let your work identify you amongst others miss batuli,,all in all karibu sana,JF where we dare to speak openly.
We ndo balozi wa dse? Usibebe sembe umesikia batuli!
Mara ya mwsho kumeet na ambwene yesaya ilikua lin? Endelea kua mtu mzuri kwani haupo kwenye list ya shigongo.ur couzin
kwa lengo la kuboresha kazi zako,soma post moja inayoeleza sifa ya filamu za bongo.
Asante sana.
Ningependa nifahamu kitu hiki.
Unajiita/unaitwa Batuli...,
Why a.k.a Cleopatra?
Kumbe, ingia hio link hapo chini ambayo ipo jukwaa la uchumi na Biashara, na ufunguke kuhusu hio EGM ya DSE. Tahadhari tu uwe flexible kujibu hoja, hapa hoja inajibiwa kwa hoja. KaribuYes. Tunahamasisha SME's zenye mipango mathubuti ya Biashara zijiorodheshe DSE ili kupata Mitaji mikubwa na ya muda mrefu. DSE limeanzisha dirisha la Ujasiliamali linaloitwa "Dirisha la Kukuza Ujasiriamali" yaani "Enterprise Growth Market" window "EGM"..
EGM ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati, mapya au yanayoendelea kukua lakini yanahitaji mitaji ya muda mrefu. Mipangp Mikakati mizuri ya Kibiashara ni moja ya sifa kubwa ili ukubaliwe kuorodheshwa.
Kuhusu Sembe. Napiga vita na kuichukia biashara hiyo.
Asante sana, nitajitahidi na mniombee?
Wewe ni AY?