Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kuja uone London bwana, kama huna fare nenda ukaulizie President Samia akupigie story😂😂🤣😂. Incase haijakutosha unaezatafuta Nyerere pia. He always said that Nairobi was like London, instead of going to London just cross the border and go to Nairobi 😂😂🤣😂
Kumbe bado unaishi enzi za vijiji vya ujamaa? Ha ha ha, ndio maana bado una mawazo mgando😁
 
Wewe andaa paspoti ukuje uone London 😂😂🤣
Hivi binadamu nawenyewe wanaingia hit period au wanyama tu?
anyways ukweli ni kwamba. Nairobi ilitamba sana miaka ya 1960s mpaka 1980s. Kasasa huko Nairobi yamebaki maghofu ya wakoloni aka slums
But
Hii hapa ni Dar 👇 👇 👇

1706464264499.png


1706464419457.png
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Hii dar inayokatiwa umeme kama banda la kuku ndio unalinganisha na miji yenye akili?
 
Back
Top Bottom