kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
kwa jinsi mlivyo na chuki na dar es salaam,inafika wakati mnawachukia hata wale wakenya wanaoipenda dar kiroho safi....punguza chuki "msee".wachana na huyo mshamba...tumewapee
kwa jinsi mlivyo na chuki na dar es salaam,inafika wakati mnawachukia hata wale wakenya wanaoipenda dar kiroho safi....punguza chuki "msee".wachana na huyo mshamba...tumewapee
hamna point kuhusu hiphop tz ni baba wa africa na kidunia ni wapilichokoraa unazunguka tu mkuyu. .......pole
i was born in 80s and raised in 90s that's why i go for the old school guys of hip hop generation in EA and US as well.heshma! if you know ukoo flani...respect...
ila watanzania wako nairobi wamejaa beggars wakiomba omba... wamekimbia nchi yenye mvua tele na madini...Ila sijawah kuona umaskini mkali kama wakenya serious yani munanjaa ya ajabu
we si mshamba ndiyo maana umeijulia hapa......yaani we ni local sana..........wasaniii wenu wakenya wanaujua mziki wa bongo sembuse wewe chokoraa usiyejulikanauna weza kuwa unasema ukweli ila ni kwa sababu wakenya sio watu wa kuangalia nchi zilizo nyuma yao...niulize kuhusu Misri ama Afrika Kusini...hapo nitakujibu kila kitu kwa ufasaha ila Tanzania nimeijua hapa hapa JF...ila kwa sasa nimeanza kupenda kujua...ni vizuri kujua mambo yanayoendelea kwa majirani hata kama mpo mbele yao kimandeleo...
yaani tunawapee wale rejects...huyo jamaa hata hakuna anayemsikiza...ni jamaa bure kabisa..lol!kwa jinsi mlivyo na chuki na dar es salaam,inafika wakati mnawachukia hata wale wakenya wanaoipenda dar kiroho safi....punguza chuki "msee".
sasa umekasirika? chokora yupi ama wewe hapo? usijali utatoka katika maisha ya uchokora siku moja...we si mshamba ndiyo maana umeijulia hapa......yaani we ni local sana..........wasaniii wenu wakenya wanaujua mziki wa bongo sembuse wewe chokoraa usiyejulikana
An intellectual would compare the GDP's of the two cities, not the size, The funny thing is that the 696sq km city beats the 1590sq km city (3 times the size) in terms of the economy.Alaa 696 vs 1590 km sq hilo ndio jibu lako
ila watanzania wako nairobi wamejaa beggars wakiomba omba... wamekimbia nchi yenye mvua tele na madini...
http://www.mediamaxnetwork.co.ke/pe...fake-disability-to-reap-from-nairobi-streets/
my point was to show how he appreciates dar es salaam.
kadoda11 unakuwanga unacatch feelings sana lol it's never that serious, don't be too personal mankwa jinsi mlivyo na chuki na dar es salaam,inafika wakati mnawachukia hata wale wakenya wanaoipenda dar kiroho safi....punguza chuki "msee".
chuki binafsi.yaani tunawapee wale rejects...huyo jamaa hata hakuna anayemsikiza.
sawa mzeechuki binafsi.
So unataka kuniambia kenya ina km fupi kwenda nchi gani???? Hebu nieleze vzr nikuelewenimekuuliza swali?
alafu ndio ujue akili yako ina matatizo, kati ya kilomita fupi na kilomita refu ni gani itakua cheap kusafirisha mizigo?? nchi landlocked zitakimbilia reli fupi ili kusave hela..tafta lingine nikujibu sasa hvi..
Nonsensesio kwamba nawacheka hawa ila kuna mtz amesema kuwa hajawahi kuona umaskini kama ule wa Kenya..@ichoboy01 uchiboy njoo
A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money.
Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs of the severely handicapped were also apprehended on Wednesday night.
Embu West OCPD Francis Sang' said the nine admitted hailing from Tanzania but added that the organiser of the ploy had their identification documents.
He said the arrests followed a tip-off from members of the public, who informed them the group stayed at a hotel in the town.
wachanga kujifanya zuzu...reli ya kenya kwenda kampala ni fupi kuliko ya tz kwnda kampala...kushukanisha vitu jamaa huwa uko slow sana...nilikwambia nashuku elimu yakoSo unataka kuniambia kenya ina km fupi kwenda nchi gani???? Hebu nieleze vzr nikuelewe
So unajua mm nimekutajia nchi ngapi mbona unakua kama mtoto mdogo, nimekutajia rwanda burundi congo zambia malawi comoro na northern mozambique na usifkiri kwa akili yako uganda hawapitishi bandari ya dar wanapitisha sana tuwachanga kujifanya zuzu...reli ya kenya kwenda kampala ni fupi kuliko ya tz kwnda kampala...kushukanisha vitu jamaa huwa uko slow sana...nilikwambia nashuku elimu yako