06567521** (cheki PM)Habarini Wana jamii forum, namtafuta battery ya laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu. Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara.... Picha ya laptop na battery imeambatanishwa hapo chini.