Bata na starehe ya maana Tabora

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,694
2,295
Juzi tu nimetoka tabora

Ni baada ya kitambo kirefu Nimekuta tabora imebadilika

Katika sehemu zote nyingi za starehe Terrace lounge imekaa uzuri sana

Pale ni pazuri na pana hadhi nzuri

Kuna kila aina ya burudani unayotaka

Na vibe la maana mimi nilijikuta naondoka kwenye lodge kuchukua mizigo tu nakuanza safari sikujua saa 11 imefika vipi nikiwa mle pamoja na kwamba nilienda saa nne

Hamna wazee wazee ni vijana tu kitu ambacho kinafanya kuwe kumechangamka na warembo ni wengi na ambao wanaonekana wako kwenye 20s hivi

WATURUKI:
Waturuki wa yepi Merkez wanaojenga Reli (SGR)

Hawa jamaa wanawatumia watoto wa kike pale terrace sio kawaida aisee na dada zetu na wao wakishawaona waturuki wanaanza kuchezesha vitako vyao kuwapelekea waturuki ili wapate bia mbili na kutoa uroda na kufanya vijana weusi kuachwa na mademu wao kwa sababu inasadikika waturuki wanahonga sana pesa nyingi na ndio maana madem wa kibongo wana data na waturuki

Mwisho tabora at least imeendelea lami na taa kila kona
Toronto ya bongo
 
UTI imejaa sana hapa Terrace
 
Terrace ipo safi sema vitoto vya chuo vinajifunza kunywa visavanna ni visumbufu kweli kweli, ila nashukuru kwa ukarimu wao

Uliruka na mmoja
Halafu wanachuo wachache hapo wengi ni wadangaji tu wametoka mikoa mingine mchana wako saluni wanasuka au wanauza vi nguonguo usiku wanaingia terrace kusaka madili waturuki ndio target kwao
 
Back
Top Bottom