Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,783
7,657
attachment.php

Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza.

Bio Bus,lenye viti 40 na ambalo linatoa huduma ya uchukuzi kati ya Bath na uwanja wa ndege wa Bristol ,linaweza kusafiri hadi maili 186 kwa kutumia tangi moja la gesi.
biobus.jpg

Gesi hiyo hupatikana kupitia kutibu maji taka na uchafu wa chakula usiofaa kwa matumizi ya binaadamu.

Uchafu unaopatikana katika abiria wa basi moja unaweza kutumiwa kutoa kawi ya kulisafarisha basi hilo kutoka Lands End hadi John O'Groats.

Basi hilo ambalo limepewa majina kadhaa ya kutungwa likiwemo lile la Basi la pili linapongezwa kama njia mojawapo ya kuchochea usafiri wa uma huku ukiimarisha ubora wa hewa jijini.

Gasi inayotumiwa kuliendesha gari hilo hutoka katika mradi wa maji taka wa Bristol ambao husimamiwa na GENeco ambyo ni kampuni tanzu ya Wassex Water.

Mohammed saddiq,meneja mkurugenzi wa kampuni ya GENeco ,anaamini chakula na maji taka yanaweza kutoa kawi ya Biomethane inayotoa gesi katika shirika la kitaiafa la gesi inayoweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutumika katika nyumba 8,500 mbali na kuliendesha basi hilo la Bio.
 
Attachments

  • 1416598852990.jpg
    1416598852990.jpg
    15.9 KB · Views: 2,474
hahaha kwanini?
Hujui kuwa hicho "kinyes' " ni najisi ? !! hivyo mle ndani mtakuwa mkisafiri na invisible pippo ( 3audh bilalay mina shwetwni rajiim) pindi mkiteremka mtafuatana nao hadi last destination !! Aaa mie simo....nsidhurike !!
 
[h=1]Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa[/h]
  • 21 Novemba 2014
Mshirikishe mwenzako
Basi linalotumia kinyesi na uchafu wa vyakula laanza kutumika nchini uingereza. Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza.
Bio Bus,lenye viti 40 na ambalo linatoa huduma ya uchukuzi kati ya Bath na uwanja wa ndege wa Bristol ,linaweza kusafiri hadi maili 186 kwa kutumia tangi moja la gesi.
Gesi hiyo hupatikana kupitia kutibu maji taka na uchafu wa chakula usiofaa kwa matumizi ya binaadamu.
Uchafu unaopatikana katika abiria wa basi moja unaweza kutumiwa kutoa kawi ya kulisafarisha basi hilo kutoka Lands End hadi John O'Groats.
Basi hilo ambalo limepewa majina kadhaa ya kutungwa likiwemo lile la Basi la pili linapongezwa kama njia mojawapo ya kuchochea usafiri wa uma huku ukiimarisha ubora wa hewa jijini.
Gasi inayotumiwa kuliendesha gari hilo hutoka katika mradi wa maji taka wa Bristol ambao husimamiwa na GENeco ambyo ni kampuni tanzu ya Wassex Water.
Mohammed saddiq,meneja mkurugenzi wa kampuni ya GENeco ,anaamini chakula na maji taka yanaweza kutoa kawi ya Biomethane inayotoa gesi katika shirika la kitaiafa la gesi inayoweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutumika katika nyumba 8,500 mbali na kuliendesha basi hilo la Bio.

Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa - BBC Swahili
 
Inamaana kinyesi kitakuwa deal soon

In other words unaweza kulipa kinyesi kama nauli au ukalipa hard cash kama huna kinyesi, kinyesi na sarafu vinatumika interchangably

Kasheshe ni pale umetoka kwako umejiandaa kulipa kinyesi kufika nusu ya safari kikagoma watazunguka nawe wiki nzima mpaka nauli itoke
 
DANFORD
A.K.A YOUNG WEEZY OR DJ DANFORD
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza.

Bio Bus,lenye viti 40 na ambalo linatoa huduma ya uchukuzi kati ya Bath na uwanja wa ndege wa Bristol ,linaweza kusafiri hadi maili 186 kwa kutumia tangi moja la gesi.
biobus.jpg

Gesi hiyo hupatikana kupitia kutibu maji taka na uchafu wa chakula usiofaa kwa matumizi ya binaadamu.

Uchafu unaopatikana katika abiria wa basi moja unaweza kutumiwa kutoa kawi ya kulisafarisha basi hilo kutoka Lands End hadi John O'Groats.

Basi hilo ambalo limepewa majina kadhaa ya kutungwa likiwemo lile la Basi la pili linapongezwa kama njia mojawapo ya kuchochea usafiri wa uma huku ukiimarisha ubora wa hewa jijini.

Gasi inayotumiwa kuliendesha gari hilo hutoka katika mradi wa maji taka wa Bristol ambao husimamiw
 
hili gari likija bongo lazma engine ife..maana kuna vinyesi vingine balaa
 
wengi wetu hatujailewa mada. tumezingatia kichwa cha habari tu tukatoa maoni. sio kama abiria wanapanda humo na kutoa kinyesi ambacho kinawezesha gari hiyo kuenda bali hutumia gesi itokanayo na maji taka , yanachujwa na kutengenezwa bio gas. lina mtundi wa gesi. halina vyoo kama lilivyochorwa hapo
 
Huko Sweden yalitoka hayo mabasi zaidi ya miaka 3 iliopita, basi zote za Town buss ndio zinatumia hiyo Biogas
 
Back
Top Bottom