Bashiru Ally: Rebirth of Chachage?

Mkuu hivi let's just imagine wakulima wafanye mgomo nchi nzima! Sipati picha...nakumbuka nilikua maeneo ya Machame in 2008, mkulima mmoja akasema kwamba serikali daima imekua ikiwatupa na akasema anatamani siku moja wakulima wote TZ wagome (ila walime tu kwajili ya familia zao) ili serikali ishike adabu!! Nikasema duh! I can't even imagine that happening!!
Aisee.

Ni kweli wakulima hawatahiminiwi toka siku nyingi, sasa kwa huu utawala wa Jiwe ndio majanga kabisa
 
Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.

Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
Vichwa km hivi sijui vilipotelea wapi hapa jamii forum
 
Naona haitawezekana kumfananisha Bashiru Ally na Sethy Chachage. kwa hii minong'ono kwamba Dr. Bashiru Ally anaweza kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM baada ya Kinana.

Hivi Watu huwa mnaoteshwa au nyie ndio Usalama wa Chama! Kongole utabiri wako umetimia siku ya jana , 29/05/2018.
 
Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.

Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
JF idumu mwaka 2011 huyu MTU watu walishamtilia mashaka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom