Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

Kweli kabisa ukweli na kukiri kutamuweka huru!!amsaidie yule kijana alieiba jina lake sababu labda ya uwezo!!!!!!
Mhs Mbunge tafadhari saana kuwa muungwana saidia kijana wa watu kama wengi walivyosema. Kama kweli una huruma na utu mwema, saidi kijana hata kwa kupitia njia zingine mambo yawe shwari, vinginevyo Bashe huyo saizi yako tuko nyuma kusaidia!!!!!!!!!!!!
 
Wanajamii sikilizeni kwa makini, haya yamekuja baada ya Hamis kuuliza swali la umeme ambalo Rostam, Bashe na Lowassa ndio Prime member................

Haya yote CCM waliyajua hata kabla ya uchaguzi, alas they didnt realise kwamba Hamis was fighting from within.

Hii yote ni ile vita ya mafisadi na ccm safi

Mtasikia mengi sana, ila kama mnaipenda Tanzania mtanielewa

Hamis amegusa mslahi ya wakubwa wa mafisadi and Bashe is their korokoroni
Nadhani itakuwa vizuri kujadili hili lililowekwa mezani.
 
kuna siri kubwa sana nyuma ya Kingwangalah, hapa patakuwa patamu yeye mwenyewe akija kujibu hizi tuuuma na ndipo tutapata upande wa kuegemea

yeye ni member humu atakuja kuelezea tu
 
ndo nimerudi home nikataka nisome fasta nikaoge lakini nimejikuta naisoma hadi naimaliza.

Mosi, Bashe ni zaidi ya kichwa. Ametumia approach nzuri sana kumwaibisha Saidi/Hamis.

Pili, nasikitika sana hadi leo Hamis angali bungeni.

Tatu, naumia juu ya Hamis orijino anayebeba mizigo wakati alifaulu. Saidi alaaniwe tu
 
Jamani mbona wanamalizana hivyo,hebu pata picha kama EL naye akiamua kummaliza namaanisha kumwaga ugali kuhusu Mkuu wa Kaya?
 
Bashe kaweka record straight sana. Simshabikii kwa vile yeye ni sehemu ya GAMBA, ila amenifurahisha kwa uwezo wake mkubwa wa kuweka mambo bayana, na sina shaka ndiyo maana alikuwa na ushindi wa tsunami katika CCM primaries.
 
Wanajamii sikilizeni kwa makini, haya yamekuja baada ya Hamis kuuliza swali la umeme ambalo Rostam, Bashe na Lowassa ndio Prime member................

Haya yote CCM waliyajua hata kabla ya uchaguzi, alas they didnt realise kwamba Hamis was fighting from within.

Hii yote ni ile vita ya mafisadi na ccm safi

Mtasikia mengi sana, ila kama mnaipenda Tanzania mtanielewa

Hamis amegusa mslahi ya wakubwa wa mafisadi and Bashe is their korokoroni
Hapa tuongelee Hoja husika,Majibu mepesi kama haya hayawezi kuhalalisha hii dhuluma aliyofanyiwa yule kijana nakuaribiwa maisha yake kwa ujumla unless kuwe na upotoshaji kwenye hii Issue ila kama ni ukweli yule kijana ndo alipaswa kuwa Dk.fulani na si huyu Jamaa...!Hili swala ni Zito tusilichukulie kiwepesi ivyo Je iv anaweza kweli kulipa fidia?

Halafu huyu Bashe naye akili yake haiko sawa wala hafai kuwa kiongozi huwezi kuwa unajua 'ishu' kama hii afu ukakaa kimya tu angetakiwa awe ameiripoti siku nyingi kwa maana hiyo wasingehitilafiana angepiga kimya tu.
 
hahaha... nakumbuka kuna mdau alisema members wengi wa JF ambao ni wavivu kusoma hawawezi mada za kutoka wanabidii ... kule hoja hujibiwa na hoja ..
mie nimekumbuka vitabu vyetu vya fasihi kuna kimoja kilikuwa chaitwa barua ndefu kama hii na ndio maana nikaifananisha na hii.
bottom line,maelezo ya Bashe yamejitosheleza.
 
Kigwa uko wapi, njoo ueleze upande wako ili tukuhukumu kwa haki.
 
Wanajamii sikilizeni kwa makini, haya yamekuja baada ya Hamis kuuliza swali la umeme ambalo Rostam, Bashe na Lowassa ndio Prime member................

Haya yote CCM waliyajua hata kabla ya uchaguzi, alas they didnt realise kwamba Hamis was fighting from within.

Hii yote ni ile vita ya mafisadi na ccm safi

Mtasikia mengi sana, ila kama mnaipenda Tanzania mtanielewa

Hamis amegusa mslahi ya wakubwa wa mafisadi and Bashe is their korokoroni

Whether huu 'ufunuo' umekuja baada ya Kingwangala kuuliza swali la umeme si hoja kubwa sana hapa cha muhimu je huyu bwana amefanya hayo yaliyoandikwa? Amemkosesha kijana Hamis nafasi yake ya kusoma na sasa Hamis anaishi kwa kubangaiza? Imagine maisha ya kijijini mtu akuchukue haki ya kusoma - there is no life baada ya hapo!

Well ukizowea kula nyama ya mtu utandelea siku zote, hutoacha. Kingwangala amezowea kuishi kwa mgongo wa wengine, kuanzia elimu na sasa ubunge.
 
Let's wait for reaction from Kigwa...

Otherwise kama ni kujadili hoja mezani, upande wa Bashe umeeleweka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom