Basena out Simba SC

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo kwa mda usiojulikana
 
Upuuzi mtupu? Kwahiyo kipimo cha ubora wa kocha ni kufungwa au kufunga Yanga?
 
MWAGA SOURCE MKUU,Mana mimi ni mdau wa Mnyama na hakika siku ile ilituumiza sana ma fans wa Mnyama jamaa alikua anakosa magoli ya wazi
 
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo kwa mda usiojulikana

Huyo atakae kuja akifungwa na Coastal Union je?
 
kama hii habari ni kweli basi ushahidi unazidi kuongezeka kuonyesha kuwa "maswahili ni mswahili tu"!
 
Source ni uongozi na wachezaji, na leo jioni timu itafanya mazoezi chini ya kocha wa muda Selemani Matola.....
 
Siku mkijua kinachosababisha Simba kufungwa na Yanga, timu ya Taifa itafanikiwa kushiriki kombe la Mataifa Huru Afrika na fainali za Kombe la Dunia. Kwa hali hii mtaendelea kufungwa mpaka mkome ubishi.
 
Tatizo Rage anachanganya siasa na mpira, Basena ana makosa gani katika mechi ya jumamosi? Ikiwa wachezaji wenyewe ndio walikosa magoli ya wazi na mabeki wakatoa boko kwa Mwape akawafunga....
Mwenyekiti wao Rage ndo anavyo pima wakiifunga Yanga kocha hajachuja
 
Tatizo Rage anachanganya siasa na mpira, Basena ana makosa gani katika mechi ya jumamosi? Ikiwa wachezaji wenyewe ndio walikosa magoli ya wazi na mabeki wakatoa boko kwa Mwape akawafunga....

Hata akija Morin-ho ni yale yale
Viongozi wa timu ili waendelee kuwepo madarakani shurti waifunge Simba/Yanga
 
Basena amejiharibia mwenyewe. Alipanga timu mbovu na fomesheni mbovu. Iwapo angepanga timu vizuri Yeboyebo wangelala mapema sana. Huyo Okwi nasikia ni rafiki sana wa Ridhiwani na amekuwa akimpa pesa nyingi ili anapocheza na Yanga asifunge magoli. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atumwagie.
 
If so, Uongozi wa Simba ni wapuuzi, washenzi, wehu na wanaharibu timu....shame, shame, shameeeeeeeee.............Rage tutolee kijani na njano zako peleka kwa magamba wenzako mwehuuuuu

N.B: Peleka hii upuuzi kule sport forum
 
Hata mimi hapo ndio naposhangaa sana, kocha kaiongoza timu katika mechi 12 kafungwa 1 tu zingine kashinda na kutoa sare, sasa kweli hii ni haki kumfukuza kocha aliyeiongoza timu na kuongoza ligi kwa kipindi chote?
Mbona Man6 hawakumfuta SAF walipozabwa na Manshite?
 
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo kwa mda usiojulikana

mipira ya kibongo bana,hivi ingefungwa 6 kama man u,singeibomowa timu nzima

vizingizio kibao kwani kocha ndio anayecheza ndani ya uwanja? kila siku mnataka kushinda,mkifungwa nongwa basi tafuteni ligi mtakayo kuwa mnashinda kila mechi

hii inanikumbusha chamangwana akiwa yanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom