Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Kuna huyu mtangazaji wa radio na TV Baruani Mhuza ambaye awali alikuwa akifanya kazi Radio Free Afrika baadaye akachomokea TBC, jana alisikika tena RFA na mwenyewe akasherehesha kipindi alichokuwa akiendesha kuwa baada ya kutokuwep RFA kwa miaka miwili amerudi tena na ari, kasi na nguvu mpya....Yawezekana marisho ya kijani yaliyomvutia hadi kukimbilia TBC yameshanyauka???....