Baruani Abdallah Mhuza... RFA mpaka TBC... RFA

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna huyu mtangazaji wa radio na TV Baruani Mhuza ambaye awali alikuwa akifanya kazi Radio Free Afrika baadaye akachomokea TBC, jana alisikika tena RFA na mwenyewe akasherehesha kipindi alichokuwa akiendesha kuwa baada ya kutokuwep RFA kwa miaka miwili amerudi tena na ari, kasi na nguvu mpya....Yawezekana marisho ya kijani yaliyomvutia hadi kukimbilia TBC yameshanyauka???....
 
Nyumbani ni nyumbani tu.........Karudi nyumbani huyu..Kuna mwingine naye anaitwa Basil Mbakile aliondoka Sahara Communications akaenda IPP Media kisha akarudi Sahara,kwa anayejua habari zake hivi bado yupo Sahara Comm?
 
Kweli Balantanda, lakini huwa najiuliza kama media industry hapa bongo ina maslahi kweli au jamaa zetu wako katika kusukuma siku ziende tu.. Huwa nawaangalia baadhi ya watangazaji ambao walivuma na wanaendelea kuvuma kiukweli wanachoka kadri siku zinavyokwenda. ukiacha wale wachache waliopata nafasi angalau hata kufanya kazi kidogo kama BBC, Deustch Welle au VOA. waandishi wa magazeti ndio kabisa...
 
Kuna huyu mtangazaji wa radio na TV Baruani Mhuza ambaye awali alikuwa akifanya kazi Radio Free Afrika baadaye akachomokea TBC, jana alisikika tena RFA na mwenyewe akasherehesha kipindi alichokuwa akiendesha kuwa baada ya kutokuwep RFA kwa miaka miwili amerudi tena na ari, kasi na nguvu mpya....Yawezekana marisho ya kijani yaliyomvutia hadi kukimbilia TBC yameshanyauka???....

Au kaogopa yasimfike ya Jerry Muro?
 
Wana-JF tulizoe mfumo wa ajira za kudumu lakini katika sekta binafsi; na hata baadhi ya ofisi za umma mambo yamebadilika.

Mfumo wa ajira siku hizi ni mikataba ya muda maalumu (Fixed Term Contracts) na makubaliano ni kwamba mkataba ukiisha ni hiari ya ya kila mmoja kuendelea au kotoendelea na kazi.
 
Ni ishara kuwa kama amerudi RFA na wamempokea jua kuwa alikuwa ni mchapakazi na hakuondoka kwa vurugu. Na pengine kutokana na uchapakazi wake RFA walimtaka arudi kwa dau la kuvutia!!! Siku hizi employers pia wanapita kutafuta vichwa vya kazi (head hunting/search) maana kutokana na ushindani ni lazima kuboresha bidhaa au huduma!!
 
Nyumbani ni nyumbani tu.........Karudi nyumbani huyu..Kuna mwingine naye anaitwa Basil Mbakile aliondoka Sahara Communications akaenda IPP Media kisha akarudi Sahara,kwa anayejua habari zake hivi bado yupo Sahara Comm?

Mkuu Balantanda: Huyu kijana unayemuita Basil Mbakile kwa sasa hayuko Sahara Communication yupo katika mgodi wa Barrick kule Kakola Kahama ujulikanao kama Bulyankuru, kwani baada ya kurudi hapo mambo hayakwenda sawa aliacha kazi kwa kutokana na kutoelewana na baadhi ya wafanyakazi wenzake akiwemo mtangazaji mmoja Fred Fidelis ambaye wakati (Mbakile) anarudi hapo alikuta ndiye Program Maneger.

Mbakile akiwa Radio One alihusika kumfanyia Interviews Fredwaa kama ajulikanavyo wakati wakitokea Times Fm kwa Marehemu Nyaulawa na kumgomea kibarua kwa Mengi kuwa hakuwa na sifa, lakini akamkuta RFA ndiye bosi hivyo hazikuiva. Basil akiamini kuwa yeye anayo elimu kuliko Fredwaa naye Fredwaa akiamini kuwa yeye ndiye bosi, basi kwa mvutano huo akaacha kazi.

Sasa ni mtumishi mwema katika Mgodi wa Dhahabu wa Bulyankuru
 
Wana-JF tulizoe mfumo wa ajira za kudumu lakini katika sekta binafsi; na hata baadhi ya ofisi za umma mambo yamebadilika.

Mfumo wa ajira siku hizi ni mikataba ya muda maalumu (Fixed Term Contracts) na makubaliano ni kwamba mkataba ukiisha ni hiari ya ya kila mmoja kuendelea au kotoendelea na kazi.

Hapa hakuna cha mfumo wa ajira wala nini; Baruani aliacha kazi kwa kukimbilia ABC Tv ya fisadi EL kufika huko akaanza kuambiwa ampigie magoti na awe alamba miguu yake akasema siwezi akarudi mbio kwa Tido kuomba arudi TBC hoyo mzee mzima akamjibu umekosea kutoka kwani hata mimi nitarudi huko nilikutanguliza wewe ili tukafanye kazi wote huko na mkataba wangu unaisha TBC naachia ngazi. basi akawa hana jinsi ikambidi ajisalimeshe nyumbani RFA huko akapokelewa kwa mikoni sita.
 
Hii sasa kali, sasa wewe umeamua kutuletea udaku
 
Huyo ni Baruani Muhuza jamani na yule Janeth Mwenda Talawa hasikiki, yu wapi?

Lbada itakusaidia kujua ya J. M. Talawa ukianzia hapa, japo muda mrefu!.

Janeth Mwenda Talawa
September 15, 2008

2.JPG

Former ITV- Presenter. Nilikutana nae leo kwa kikombe cha chai na kuzungumza masuala ya Maendeleo ya Iringa. Ana progressive ideas, na anaongea Kihehe cha 'mugati' ( ndani). Ilibidi nimwombe a switch kwenye Kiswahili chetu cha Dar Es Salaam!

comments

Date: Thu Sep 18, 09:02:00 AM EAT,
anon16-rounded.gif
Anonymous

Janet Mwenda Talawa, tunakubali wewe ni mwanamke wa kuigwa kwani unajiamini katika kazi yako na unafanya mambo ya maana mfano tunaona kwenye filamu yako ya kwanza inayoitwa SEGITO vipi tusubiri nyingine au! hongera unamiliki kampuni yako inaitwa Jado kama sijakosea, hakika wewe ni mwanamama wa kuigwa tunakuhitaji sana katika kuelimisha wanawake,

http://mjengwa.blogspot.com/2008/09/janeth-mwenda-talawa.html
 
Nyumbani ni nyumbani tu.........Karudi nyumbani huyu..Kuna mwingine naye anaitwa Basil Mbakile aliondoka Sahara Communications akaenda IPP Media kisha akarudi Sahara,kwa anayejua habari zake hivi bado yupo Sahara Comm?

Yuko barrick..Bulyanhulu this days.
 
Siku hizi wengi wanafanya kazi kwa mkataba maalum. Inawezekana alienda TBC1 kwa muda na kinyume chake inawezekana. Lakini si mnawasikia wengi wakienda BBC, VOA, CHINA RADIO na Ujerumani na badae wanarudi? Sina hakikanila lolote kati ya haya lawezekana!
 
Siku hizi namsikia masudi kipanya kule 100.5 times fm a.k.a times radio.
Nimesikia jana na leo.
Haya mambo bwana!!!!
Kuna watu wengi sana wamehama katika kipindi fulani hivi
kwa mfano :
1)Taji Liundi alitoka times mpaka TBC International 90.0fm
2)Masoud Masoud muda mrefu sana alikuwa Uhuru fm ila sasa yupo TBC International 90.0fm
3)Baby Kabaye toka E.A Radio hadi Choice fm.
4)Sebo aliyekuwa E.A Radio na TV sasa yupo Magic fm
5) Jimmy K aliyekuwa Magic fm sasa yupo E.A Radio na TV.
6)......

Halafu kuna jamaa alikuwa anaitwa Bobby alikuwa anatangaza radio fulani,
hivi siku hizi yuko wapi?
Amosi Bondo( aka amo blazy) naye yuko wapi? Zamani alikuwa EA Radio baadaye Choice fm na sasa naye sijui yuko wapi?
By the way katika pita pita zangu kwenye mtandao nikaziona hizi link japo za zamani ila najua wengine mtazifurahia kama mimi.
Mfano nimefurahi sana kumuona dada Fina Mango(aka 1st Lady wa power Breakfast)
http://bongocelebrity.com/category/djs/
http://bongocelebrity.com/category/watangazaji/page/2/

Poleni kama nimewaboa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom