Barua ya wazi kwa malkia wa Uingereza, lolote na liwe

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Barua ya wazi kwa Malkia wa uingereza, MNIRUHUSU niongee nae japo kwa maandishi na najua wale wenzetu kule westminister mtafikisha ujumbe wangu.

Wale wenzetu wanaokimbilia umoja wa mataifa kupeleka matatizo yao nadhani kwetu sio mahala pema ni kwa huyu kiongozi wa dola ya England,

wakati mmoja niliwahi kuwaza sana, kwamba kwa nini tumepata nafasi na hatuitumii? Na kwa nini tuliwaambia wale watu watuachie tuwe huru wakatuachia/ na kwanini tuliwaambia mnatunyanyasa na bado tunanyanyasika/ na vipi tulishangilia uhuru na hatuuoni uhuru wenyewe?

Kwa kifupi sana nielezee kwa nini nataka turejeshwe kwa dola ya malkia wa uingereza kama walivyokuwa wametushilia ili tujue moja kwamba tuko chini yake kuliko kuwa chini ya walaghai waliowalaghai wazungu watuachie kumbe tunaangukia mikononi mwao?

Kabla sijaenda mbali nitoe nafasi kwa wana JF mnipe mwongozo, mawazo yenu, au niache kwa nini tusirudi kwenye ukoloni tuliozoea?

kama mtakumbuka kisiwa cha mayote kilishawahi omba kirudishwe mikononi mwa wafaransa, sitaki kujua kama wamerudi au laa, mimi niko Tanzania na nadhani nitetee nchi na watu wetu..karibuni wana JF
 
KAMA KWELI MAWAZO YENU YAMEFIKA MWISHO MMEJISHINDWA HADI MNATAMANI KURUDI KWENYE UKOLONI ILI MUTAWALIWE NA WAZUNGU BASI MIMI Sina la kuchangia nimeona nikusaidie ku edit tu ndio mchango wangu

Linaweza kuwa jambo bora ila waje watushape maana tumepoteza dira, utamaduni endelevu kwa taifa, akili, maadili, uwajibikaji na uzalendo nk, hata ktk pitapita zangu vijijini nilikuta wazee wakiongea kwanini wakoloni wasirudi tena? maana haya maisha ya uhuru ni magumu kuliko ya ukoloni,
 
KAMA KWELI MAWAZO YENU YAMEFIKA MWISHO MMEJISHINDWA HADI MNATAMANI KURUDI KWENYE UKOLONI ILI MUTAWALIWE NA WAZUNGU BASI MIMI Sina la kuchangia nimeona nikusaidie ku edit tu ndio mchango wangu

Asante mkuu Saint Ivunga. Ile ya kwake nilishinwa kabisa kuisoma.
 
Barua ya wazi kwa Malkia wa uingeleza, MNIRUHUSU niongee nae japo kwa maandishi na najua wale wenzetu kule westmister mtafikisha ujumbe wangu, wale wenzetu wanaokilmbilia umoja wa mataifa kupeleka matatizo yao nadhani kwetu sie mahala pema ni kwa huyu kiongozi wa dola ya ingland, wakati mmoja niliwahi waza sana, kwamba kwa nini tumepata nafasi na hatuitumii? Na kwa nini tuliwaambia wale watu watuachie tuwe huru wakatuachia/ na kwanini tuliwaambia mnatunyanyasa na bado tunanyanyasika/ na vipi tulishangilia uhuru na hatuuoni uhuru wenyewe?

Kwa kifupi sana nielezee kwa nini nataka turejeshwe kwa dola ya malkia wa uingleza kama walivyokuwa wametushilia ili tujue moja kwamba tuko chini yake kuliko kuwa chini ya walaghai waliowalaghai wazungu watuachie kumbe tunaangukia mikononi mwao? Kabka sijaenda mbali nitoe nafasi kwa wana jf mnipe mwongozo, mawazo yenu, au niache kwa nini tusirudi kwenye ukoloni tuliozoea? , kama mtakumbuka kisiwa cha mayote kilishawahi omba kirudishwe mikononi mwa wafaransa, sitaki kujua kama wamerudi au laa, mimi niko Tanzania na nadhani nitetee nchi na watu wetu..karibuni wana jf

Unahitaji upevuke kifikra. Kama hujitambui kuwa uko katika nchi huru, ni dhahiri u-mtumwa wa fikira na anayekutawala ni huyo anayekulisha sumu ya maneno kwamba unaishi utumwani. Hebu jiulize, kama huyo anayekulisha sumu hiyo kama naye ana mawazo kama ya kwako ya kuendelea kutawaliwa na wakoloni. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Duh!! Hii kali. MiAfrika ndivyo tulivyo.
Mkuu tatizo siyo huyo anayetamani kutawaliwa na wakoloni, tatizo ni wale walikosa uzalendo na kuwalisha sumu ya maneno watanzania wasiojua kupembua pumba na mchele. Hawa wanahitaji kuelimishwa kuwa hao wanaowalisha hizo sumu hawana nia njema na nchi yetu.
 
Barua ya wazi kwa Malkia wa uingeleza, MNIRUHUSU niongee nae japo kwa maandishi na najua wale wenzetu kule westmister mtafikisha ujumbe wangu, wale wenzetu wanaokilmbilia umoja wa mataifa kupeleka matatizo yao nadhani kwetu sie mahala pema ni kwa huyu kiongozi wa dola ya Ingland, wakati mmoja niliwahi waza sana, kwamba kwa nini tumepata nafasi na hatuitumii?

Na kwa nini tuliwaambia wale watu watuachie tuwe huru wakatuachia? Na kwanini tuliwaambia mnatunyanyasa na bado tunanyanyasika/ na vipi tulishangilia uhuru na hatuuoni uhuru wenyewe?

Kwa kifupi sana nielezee kwa nini nataka turejeshwe kwa dola ya malkia wa uingleza kama walivyokuwa wametushilia ili tujue moja kwamba tuko chini yake kuliko kuwa chini ya walaghai waliowalaghai wazungu watuachie kumbe tunaangukia mikononi mwao?

Kabla sijaenda mbali nitoe nafasi kwa wana jf mnipe mwongozo, mawazo yenu, au niache kwa nini tusirudi kwenye ukoloni tuliozoea? , kama mtakumbuka kisiwa cha mayote kilishawahi omba kirudishwe mikononi mwa wafaransa, sitaki kujua kama wamerudi au laa, mimi niko Tanzania na nadhani nitetee nchi na watu wetu..karibuni wana JF

Kosa lako ni kutoona nafasi yako na kuicheza inavyostahili. Unavyodhani wewd ukoloni huu tulionao kuna watu maalumu wa kuuondoa, ni KOSA KUBWA. Je, bado unathamin uhai wako na kupuuza wa watoto wako? Tulishazikwa hai, tusiache watoto wetu wakutwe na haya. Hakuna tofauti kubwa ya malkia kuwepo ama laa, kote ni unyonge mkubwa kila kona. UMEFANYA NINI KAMA RAIA MWEMA KATIKA KUONDOA UNYONGE HUU? Mimi na wewe tunaweza. Nguvu yetu ni UMOJA na KUTHUBUTU.
(inferiority complex ni mbaya sana)
Mungu wetu anaita.
 
ongopa sana kuwa mtumwa kwa kutokujua nchi nyingi za kiafrika ukatae, ukubali zimo ndani ya utumwa ikiwemo Tanzania kutokana na viongozi wetu kuwa watumwa wa kutumikishwa kimawazo, kifikra hata kiraslimali ni aibu sana. hata kama utasema hutaki wazungu waje kututawala viongozi wetu walisharuhusu utumwa. mafano mdogo tu kwa nini wazawa hawapewi kipaumbele kumiliki ardhi lakini wageni wanapewa maeneo ya makubwa ya kutisha kwa mfano lile la mpanda 300,000ha amepewa mwekezaji kwa miaka 200 je, hapo utasema hatujatawaliwa? wanyama wetu waliotoka kupitia KIA je, kweli walitoka bila serikali kujua? leo hii tunaamua kununua au kubadilishana faru kutoka ungereza kweli????? nchi iliyo na raslimali za kila aina inakuwa maskini wa kutupya. tufikirieni kwa undani haswa kupitia viongozi tulio wapa dhamana ya kutututmikia wanafanya nini na kwa faida ya nani?
 
Haya tunayoyapitia ukitrace historia ata Ulaya waliyapitia!
So with time tutaondokana nayo kijana usijari!
Come 2015 kila kitu kitakuwa okey but if and only if chama cha upinzani kikichukua nchi ili CCM wakae benchi for a while waonje joto ya jiwe ili wajipange upya!Maana wamejisahau as if wana hati miliki na Tz
 
Unahitaji upevuke kifikra. Kama hujitambui kuwa uko katika nchi huru, ni dhahiri u-mtumwa wa fikira na anayekutawala ni huyo anayekulisha sumu ya maneno kwamba unaishi utumwani. Hebu jiulize, kama huyo anayekulisha sumu hiyo kama naye ana mawazo kama ya kwako ya kuendelea kutawaliwa na wakoloni. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Ndio Tanganyika Huru.
 
Hii ni hoja ya msingi pia, naunga mkono hoja, turudi kwenye Milki ya Uingereza.
 
Mswahili hawezi kujitawala.

Mswahili hawezi kusimamia uchumi.

Naunga mkono hoja mia kwa mia.

Yes for re-colonization of Tanzania. Karibu Malkia Elizabeti.
 
mmmh yaani mtu unatamani ukoloni katika karne hii yale maisha ya kikoloni utayaweza kweli wewe mtoto wa ugali wa sembe au unaongea kufurahisha ulimi wako,hata wanao wakiiona hii post watakudharau na kukushushia heshima kabisa,bora uwaze ni jinsi gani ya kutatua matatizo ya nchi yako kuliko unavyoviwaza ubongoni mwako naamini hujui uliwazalo lina madhara yapi waulize babu zako watakupa majibu mazuri ya mawazo yako..
 
Back
Top Bottom