Barua ya Papii Kocha kwa JK

"wenye mamlaka wakatuona wenye hatia"
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu wewe pekee ndiwe mwenye mamlaka juu yetu kila mwanadamu...Sikia kilio cha wanao magerezani!!
 
Hii barua mmeipatia wapi?Yote na yote inauma sana kama kitendo ni chakusingiziwa Mh Rais wetu kipenzi embu iangalie hii familia kwa jicho la huruma
 
Whatever goes around, comes around. Kama si yeye basi kizazi chake kitakutana na hayo anayowanyia wenzake.
Mungu ibariki tanzania
 
Huo ndo uchungu wa mke wa mtu ingekua mimi ningeua kabisa me cpendi sana watu wanaomendea wake za watu ila JK amuonee huruma huyo kijana maana hausiki kwa upande mwingine. Mtizamo tu jemeni
 
Rais hayuko juu ya sheria. Kama wameona wameonewa wajenge hoja ktk mfumo uliopo wa kisheria ili haki itendeke. Wakiona wameshindwa huko basi watuone tuwaunganishe na wataalam wa popobawa ili mhusika wa maonevu nae apewe dozi/
 
"wenye mamlaka"?! Sasa si bora uwataje ili hata huyo mheshimiwa Rais ajue ukweli kuwa hao wenye mamlaka wamewaonea
 
Usiipende dunia na mambo yaliyomo kwani ukiipenda dunia kumpenda BABA hakumo ndani yako. Inaumiza kwa kweli.
 
Rais hayuko juu ya sheria. Kama wameona wameonewa wajenge hoja ktk mfumo uliopo wa kisheria ili haki itendeke. Wakiona wameshindwa huko basi watuone tuwaunganishe na wataalam wa popobawa ili mhusika wa maonevu nae apewe dozi/
Katiba inamruhusu RAIS wa nchi kumpunguzia au kumfutia MTU yoyote adhabu aliyopwea na mahakama......
 
Sub'hanallah!
It pains alot. Enyi wanaadam wadhalimu na mlio kwenye mamlaka, hebu waoneeni huruma wale mliowakandamiza kwa dhulma kuu huku mkidhani mtaishi duniani milele na mamlaka yetu kudumu mpaka siku ya Qiyamah. Hakika siku yenu roho utokapo hamtopata ahueni ya machungu abadan!
 
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa so sad 2nyakati7:14 ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakiziacha njia zao mbaya na kuomba na kunitafuta uso wangu nitasikia toka juu nakusamehe dhambi zao na kuiponya nchi yao,dhamana ipo mikononi mwitu watanzania
 
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa so sad 2nyakati7:14 ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba nakuziacha njia zao mbaya na kunitafuta uso wangu nitasikia toka juu nakusamehe dhambi zao na kuiponya nchi yao,dhamana ipo mikononi mwitu watanzania
 
Mimi bado kabisa kwa huyu kijana

Kwanza angetakiwa KUKIRI AU KUKANUSHA KOSA halafu ndiyo aombe msamaha (Kwetu Wakiristo tunaongozwa kufanywa hivyo)

Pili ameniudhi sana kumpatia binadamu mwezake SIFA YA KI-MUNGU. Eti JK na utu na huruma ya ki-MUNGU!! This is a blatant blasphemy at least kwetu Wakiristo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom