Barua kwako mpenzi: Najua unaolewa ila bado hujatoka moyoni mwangu

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Mar 4, 2023
130
263
Nimatumaina yangu kuwa uu mzima wa afya, nimatumaina yangu kuwa upo kipindi Cha furaha kuliko Wakati wote nilio kufahamu . Najua zimebaki siku mbili ufunge ndoa na mwanaume umpendaye.

Kwa upande wangu nipo kipindi Cha majonzi ni mwaka wa kumi sasa Toka ulipo niacha bila ya Mimi kujua sababu japo nilikupenda enzi zile tupo chuo jijini Mbeya, lkan ukaamua kuachana na Mimi mwanaume nilie kupenda na kukuthamini kwa uwezo wangu mdogo. Nilijinyima Mimi ili wewe upate japo maisha ya nyumbani kwenu yalikuwa bora kuliko nyumbani kwetu, lakn siku hesabu hayo.

Moyoni naumia sana kwani Toka ulipo niacha sijapata mwanamke nimpendae bado umebaki ndani ya Moyo.
Kesho kutwa unaolewa na moja ya daktari mkubwa apo jijini Mbeya, maskin mm najiandaa kufunga safari Toka kwetu kasulu nije nishuhudie ndoa yako, nije japo nikutazame Kwa mara ya mwisho.

Barua hii nimeiandika mimi mwenyewe mwanaume nilie kupenda lakini bila ya sababu yoyote ukanisaliti ndani ya miezi sita mapenzi yetu yakafa.

Nimeandika barua hii nikiwa ni melala kitandani kwan Hali Yangu ya afya inazidi kuwa mbaya .

Ni Mimi mwalimu daima
 
Kunywa maji mengi sana mkuu, maumivu yataondoka na mafuriko ya maji hayo ....amini
 
Nimatumaina yangu kuwa uu mzima wa afya, nimatumaina yangu kuwa upo kipindi Cha furaha kuliko Wakati wote nilio kufahamu . Najua zimebaki siku mbili utufunge ndoa na mwanaume umpendae.
Kwa upande wangu nipo kipindi Cha majonzi ni mwaka wa kumi sasa Toka ulipo niacha bila ya Mimi kujua sababu japo nilikupenda enzi zile tupo chuo jijini Mbeya, lkan ukaamua kuachana na Mimi mwanaume nilie kupenda na kukuthamini kwa uwezo wangu mdogo. Nilijinyima Mimi ili wewe upate japo maisha ya nyumbani kwenu yalikuwa bora kuliko nyumbani kwetu, lakn siku hesabu hayo.
Moyoni naumia sana kwani Toka ulipo niacha sijapata mwanamke nimpendae bado umebaki ndani ya Moyo.
Kesho kutwa unaolewa na moja ya daktari mkubwa apo jijini Mbeya, maskin mm najiandaa kufunga safari Toka kwetu kasulu nije nishuhudie ndoa yako, nije japo nikutazame Kwa mara ya mwisho.

Barua hii nimeiandika mimi mwenyewe mwanaume nilie kupenda lakini bila ya sababu yoyote ukanisaliti ndani ya miezi sita mapenzi yetu yakafa.
Nimeandika barua hii nikiwa ni melala kitandani kwan Hali Yangu ya afya inazidi kuwa mbaya .

Ni Mimi mwalimu daima

Dah!! Mapenzi yamedumu miezi sita na tangu uachwe ni miaka kumi sasa? Khaa hali yako siyo nzuri upo kitandani? Unataka ukaangalie harusi? Makubwa haya! Nilikua sijui kama kuna wanaume hawana akili kiasi hiki
 
Huyu anatoa wapi muda WA kulialia na mapenz ??? Alaf unakuta uko single room kama mm hapa.... Tafta hela kijana
 
Nyie ndio huwa mkiachwa mnajiua, wanawake walivyo wengi unapata wapi muda wa kulialia?
 
Ndio maana mnapiga Watoto kama Nyoka kumbe mna stress za Mapenzi na Mishahara.... Mwalimu Daima
 
Access Denied Ticha Kaushaga
FB_IMG_16006766695449755-1.jpg
 
"Acha kuwa mnyonge kiasi hicho , kumbuka wewe ni mwanaume halisi.. kisicho ridhiki hakiiliki haijalishi hata Kama ulifanya Nini na Nini kwake. Wanadamu tunabadilika badilika next time usiweke moyo wako kwa wale waangushao wafalme.

NB: Jifunze kuwa na moyo mgumu , utakusaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom