Barua kwa rais Magufuli

Jul 8, 2015
78
11
Kichwa jatwa hapo juu, chajieleza wazi.

...Mimi ni kijana wa kitanzania. Mchapakazi, muadilifu na mzalendo kweli kweli.

...Ninaomba kukufikishia kilio changu kwa njia hii. Kwa sababu ya kubanwa na makumu ya kikazi, sikufanikiwa kuhudhuria mikutano yako ya kampeni ulipokuja nyumbani Kasulu, wala kazini kwangu Buhigwe. Ninaishi wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma na kufanya kazi wilayani Buhigwe.

...Kwa umbali wa kilomita 40 kutoka nyumbani Kasulu hadi kazini, nauli ninayolipa ni sh.11,000/=. Umbali huu ni mfupi, ukiulinganisha na ule wa Morogoro-Dar.

...Tar. 25/10/2015 kura yangu utaihesabu. Amini.

...Lakini nina ombi. Hakikisha babara ya Nyakanazi hadi Munanila ipate lami ili kupunguza adha hii ninayolipia nauli kubwa kwa umbali mdogo ndani ya mkoa mmoja.

Asante kwa kunisoma na kutakia utekelezaji mwema wa majukumu yako ya urais wa JMT 2015-2020.
 
Rais amekusikia lakini anakuasa kufanya kazi kwa bidii.

Rais anashukuru kwa kura yako na anakuomba kwa unyenyekevu mkubwa kuhamasisha na wengine wasibweteke na kuacha kwenda kumpigia kura Jembe.

#hapakazitu
 
Magufuli akiwa raisi watanzania tutajuta kuwa watanzania,huyu ni kibaraka wa mkapa na mwinyi na kikwete yupo maalumu kulinda mali zao.inatakiwa atakaye thubutu kurudisha mali za umma.
 
Jaribu kunishawishi kivingine. Hapo sijakuelewa hata "robo".
 
Kichwa jatwa hapo juu, chajieleza wazi.
...Mimi ni kijana wa kitanzania. Mchapakazi, muadilifu na mzalendo kweli kweli.
...Ninaomba kukufikishia kilio changu kwa njia hii. Kwa sababu ya kubanwa na makumu ya kikazi, sikufanikiwa kuhudhuria mikutano yako ya kampeni ulipokuja nyumbani Kasulu, wala kazini kwangu Buhigwe. Ninaishi wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma na kufanya kazi wilayani Buhigwe.
...Kwa umbali wa kilomita 40 kutoka nyumbani Kasulu hadi kazini, nauli ninayolipa ni sh.11,000/=. Umbali huu ni mfupi, ukiulinganisha na ule wa Morogoro-Dar.
...Tar. 25/10/2015 kura yangu utaihesabu. Amini.
...Lakini nina ombi. Hakikisha babara ya Nyakanazi hadi Munanila ipate lami ili kupunguza adha hii ninayolipia nauli kubwa kwa umbali mdogo ndani ya mkoa mmoja.
Asante kwa kunisoma na kutakia utekelezaji mwema wa majukumu yako ya urais wa JMT 2015-2020.

Umeongea vyema mwana mzalendo ..tumwamini mzee wa kazi kwake siasa mpe kingunge
 
Magufuli akiwa raisi watanzania tutajuta kuwa watanzania,huyu ni kibaraka wa mkapa na mwinyi na kikwete yupo maalumu kulinda mali zao.inatakiwa atakaye thubutu kurudisha mali za umma.

Kwa wasiofanya kazi lazima wamchukie tu...
 
Back
Top Bottom