Barua kutoka kwa mpenzi wangu...

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Nipo kwenye mahusiano ya miez 10, mwezi wa sita mpenzi wangu alinipromice kwenda kujitambulisha, akaniambia anasubiri kikao cha familia kwasababu mwaka huu wengi kwenye familia yao watapeleka barua. kuna wanao oa na wengine kuolewa kwa hiyo mila zao kuhusu swala la kumpelekea mtu barua hadi familia ijadili, na alinipa taarifa ya kikao kuwa kitafanyika siku ya Arobaini ya mwaka.

Kwasababu mzazi wake mmoja alifariki, hivyo kuna Arobaini ya mwaka, ndipo kikao kitafanyika na Siku hiyo yataongelewa pia mambo ya barua. Sasa jamani hadi Leo hii arobaini haijafanyika, bebi ananirusha rusha tu akidai anasubiri ndugu, hawezi kukurupuka tu ajipeleke mwenyewe ukweni.

Suala hili linafanya tugombane sana, kila nikimkumbusha ananiambia hadi ndugu hawezi fanya peke yake na ndugu zake wako mbali hadi waje siku ya arobaini.

Natamani sana akajitambulishe kwetu lakini ndio hivyo Arobaini haijafanyika hadi leo.
 
🤣🤣🤣harobaini ndo nn?
Wasuku.ma bana mnafosi kuandika kiswahili
Ashabadil mawazo huyo,kaona hata mbususu haina ladha ya kutambulisha kwenye "harobaini"
 
Ushapigwa tayari

Huu udhaifu wenu wa kupenda kuolewa umefanya tuwale sana tukiwadangnya ndoa na kisha tunasepa

Poleni sana. Mpaka mwanamke aolewe katumika sana
Sio kweli nipigwe vipi wakat bado tuna date na ashanitambulisha kwa ndugu zake bado kupeleka barua jf kuna watu flani iv wako ovyo sana,bado wale wa kutafuta nyuzi zilizopita na kuja Ku attach kwenye Uzi mpya sijui hamnaga kazi za kufanya!!!!!
 
Haya basi mrembo tufanye utaolewa
 
Ukapimwe akili mkuu,nikadhani hiyo (harobaini)unasubiria Dili la mamilioni kumbe unasubiria jibu la manzi ambaye amesema kwao lazima mliopeleka majina mjadiliwe na kamati kabla ya kupewa jibu,,!!!?so disappointing
 
Ngoja nikusanue,ukiendelea kuilazimisha sana hiyo ishu utaikosa hiyo ndoa nakwambia tena,kinachokuja kutokea ni hivi ataanza kujiuliza hivi huyu sijamuoa ananipanda hivi kichwani je nikishamuoa je?
Dada relax kama ipo ipo tu,na kama hataki kumlazimisha haibadili chochote

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ushapigwa tayari

Huu udhaifu wenu wa kupenda kuolewa umefanya tuwale sana tukiwadangnya ndoa na kisha tunasepa

Poleni sana. Mpaka mwanamke aolewe katumika sana
Ukweli mchungu,wadada wanakuwa na presha sana na ndoa,mtu unakutana naye mara ya kwanza anaanza kukuuliza una malengo gani naye,sasa nani atasema nataka kukula tu?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom