Barazani Kwa Ahmed Rajab: Muungano wa Mkataba utaleta Umoja wa Afrika

Jamani kwa nini tuangaike na mikata ba si tuuvunje tu huu muungano .tuitishe kura ya maoni .either serikari moja au kuvunja muungano
 
Barubaru,

..hujajibu maswali niliyokuuliza.

..wakati wenzako kama Maalim Seif,Ismail Jussa,na Ahmed Rajab, wakipigia upatu muungano wa mkataba, wewe umekuja hapa na kudai kwamba muungano huu tulionao tayari ni muungano wa mkataba, siyo wa kikatiba!!

..ni kutokana na hoja kama hizo ndipo wachangiaji kama Nguruvi3, na FJM, wanaona kama wa-ZNZ ni watu wanaotapatapa, wasiojitambua, na wasiokuwa na clue of what they want.

..umeuliza kwanini wa-Tanganyika hawapingi muungano. jibu ni kwamba muungano siyo priority kwa Mtanganyika wa kawaida. Mtanganyika wa kawaida anataka bei nzuri ya mazao yake, miundombinu ya uhakika, pamoja na huduma za elimu, afya, na maji, karibu na makazi yake.

..Mtanganyika wa kawaida anaamini kwamba chanzo cha hali mbaya ya uchumi, na ukosefu wa huduma mbalimbali za kijamii ni utawala mbovu wa CCM.

..Hii ni tofauti na upande wa Zanzibar ambapo wanasiasa walaghai wameweza kuwaaminisha wananchi kwamba hali mbaya ya uchumi ya Zanzibar, uhaba wa nafasi za ajira, pamoja na ukosefu wa huduma za kijamii, zimesababishwa na muungano.

..Jambo lingine wa-Tanganyika hatuna roho ya kibaguzi na chuki-chuki. Tembelea forums za wa-Zanzibar kama Mzalendo.net, uone chuki walizonazo wa-Zanzibar wenzako. Ninaamini kwa dhati kwamba ustaarabu wa Watanganyika ndiyo uliowezesha muungano huu kudumu kwa miaka 48 sasa.

Joka kuu.

Ni mara ya kwanza kabisa kuona mtu anajisifia mwenyewe wakti waswahili husema Nyani haoni ...bali anaona la wenzake. . sasa nastahajabu wwe kuweza kuona la kwako pasi. Nakupa hongera kwa hilo.

Lakin kwa upande wa Pili nilikwisha bainisha kimifumo kabisa utaona Znz na Tanganyika zisingepaswa kuungana. Hiyo ni kutokana na makovu yaliyoachwa na kurithishwa na wakoloni.

Tanganyika kwa sasa kuna mambo haya.
1. UDINI mkubwa umesambaa
2. Watu wake kukosa uzalendo na hivyo malizenu zinaliwa na wachache.
3. Ufisadi ambao umezaliwa kutokana na roho mbaya ya kuiba mali za umma.

Vitu hivyo Znz kama vipo basi ni kwa asilimia chahe sana kama hakuna kabisa.

Kwa mantiki hizo ndio mana waZnz wanakuwa wawazi sana bila kuona haya wala aibu wala kuogopa wanazungumza kila wanachoamini kuwa ni maonevu kwa nchi yao.

ndio maana nikasema kama Bunge la Muungano ambalo lina wabunge zaidi ya 80% kutoka tanganyika na wana Tanganyika kwa wingi wenu mkiamua haHATIMA YA MUUNGANO BASO INAKUWA NA WALA HAIITAJI KINGINE CHOCHOTE KAMA VILE MIKA YA NYUMA BUNGE LILIPODAI SERIKALI YA TANGANYIKA NA ILITAKA KUWEPO KAMA SI NYERERE.

Acheni uoga na unafiki semeni kweli na simamieni hilo kwalo.
 
Batu baru Mzanzibar roho mbaya hana cha ujirani wala undugu.
Umimi, ubora, ubinafsi,fitna, majungu, uzuzshi, uelewa, ubwana ndiyo hulka yao.
Waliposikia kuna dalili za mafuta wote wakakimbilia kusema tunavunja muungano, wakakimbilia kusema mafuta si ya muungano. Wakati wakisema hayo wanachukua 7%, mishahara ya bure, umeme wa bure n.k.

Wao wanasema si wabantu ni waarabu, sasa hapo unaona! unaweza kuwa na jirani asiyejitambua.
Kama si utegemezi kwa Tanganyika, Mzanzibar angeshampiga marufu Mtanganyika kukanyaga zanzibar.
Hivi unaweza kuwa na jirani unayemchoma moto!

Zanzibar haihitaji ujirani, inaiihitaji Tanganyika. Ujirani wanaosema ni watu laki 4 kuishi na kuhemea kwa jirani.
Ujirani ndio wanaita mkataba hata kama mkataba upo tayari.

Mzanzibar hakupendi mpaka aelewe anafaidika nini na wewe!
.

Kuna dhambi kubwa katika Taifa lolote kuliko
1. Kufisidi mali ya Umma wa Taifa lako na kuitumia kibinafsi
2. Kukosa uzalendo wa nchi yako.
3. kuwa na Ubaguzi sio tu wa kikabila balihata wa Kidini na kuuonyesha wazi wazi
4. Kuuwa binadamu wenzenu kwa ajiri yya ushirikina. Mfano kuuwa maalbino.

Hizo ndizo swafa walizojitwika WaTanganyika . na kama unaona sisemi kweli naomba unipinge kwalo.

Pole sana
 
It is obvious hujasoma katiba ya Jamhuri ya Muungano vinginevyo usingeandika hayo maneno kwenye red. Na pia inawezekana mijadala ya muungano hujafuatilia kwa makini huko nyuma hasa pale wanasheria walipoanza kutaja ikiukwaji wa katiba mama (katiba ya muungano).

Lets do the basics, Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ndiyo zanzibar ina mamlaka kwa mambo ambayo si ya muungano ile afya, kilimo etc, na pia yapo mengi ambayo ni ya muungano. Katiba hizi mbili (Zanzibar na Muungano) hazitakiwi zikinzane, na inapotekea hivyo, sheria mama inasimama (yaani katiba ya muungano).

Nafikiri ahali yangu ungesoma katiba zote mbili usinge pingana na mimi.

Katiba ya Znz inasema wazi sharia zote za Znz zinatungwwa au kurithiwa na Baraza la wawakilishi. Sasa Kumbuka sharia ya Muungano wenu mpaka leo bado kufikishwa barazani.

Je huo muungano wenu unakuwa halali kwa upande wa Znz?

Lakin vile vile Sharia hiyo Muungano ilipitishwa na Bunge la Muungano hivyo kila wakti nasema wenye mamlaka kisharia kuvunja/ kuujadili kisharia ni Bunge la Muungano ambalo lina waTanganyika zaidi ya 80%/. kwani kama wabunge wenu wana mawazo kama yako kwanini wasiamue kuuvunja huko kama vile walivyotaka kuundwa kwa Serukali ya Tanganyika.

Je uthubutu huo uko wapi.

ndio maana nasema kama Watanganyika wataacha uoga na Unafiki nawefikia pazuri sana
 
Hata kama wabunge toka zanzibar kwenye bunge la muungano wako 2, ni lini mmojawapo alileta muswada ya kuvunjwa muungano akakataliwa? Anayelalamika kunyonywa ni Zanzibar,but bizarrely, Zanzibar huyo huyo anataka mkataba na mnyonyaji! Nirudie, Zanziabar inaweza kuwa nchi pekee duniani inayotaka kuwa na mkataba na 'koloni' lake!

Kwenye katiba, yes unaweza kusoma katiba mbili kwa pamoja (Zanzibar na Muungano) na inapotokea kuna mgongano katiba ya muungano ndiyo inasimama. Hutaki unaacha! LET ZANZIBAR GO!!!
 
.

Kuna dhambi kubwa katika Taifa lolote kuliko
1. Kufisidi mali ya Umma wa Taifa lako na kuitumia kibinafsi
2. Kukosa uzalendo wa nchi yako.
3. kuwa na Ubaguzi sio tu wa kikabila balihata wa Kidini na kuuonyesha wazi wazi
4. Kuuwa binadamu wenzenu kwa ajiri yya ushirikina. Mfano kuuwa maalbino.

Hizo ndizo swafa walizojitwika WaTanganyika . na kama unaona sisemi kweli naomba unipinge kwalo.
Pole sana
Haya yanahusiana vipi na mada?
Matatizo ya Tanganyika ni ya Tanganyika, hatuwahitaji wazanzibar kusaidia kwasababu hawana msaada.

Baru baru jibu hoja za muungano:
Mkataba wa nini?
Mkataba uhusu nini?
Je, si kweli ZNZ inaihitaji Tanganyika tena ina haha?
ZNZ inasadiaje muungano uliopo na kuondoka kwake kuna athiri vipi Tanganyika?

Niliwahi kukuambia kuw huna majibu na huwa una kimbia.

Nillikuuliza katika mambo 32 ya muungano lipi linainufaisha Tanganyika, hujawahi kuthubutu kutaja hata moja kama ambavyo Ahmem, Jusa, Maalim hawajibu.
Ninyi watu wenye vinasaba vya uarabu mnawadanganya sana wenzenu.

Nimerudia swali hilo kwasababu hata mzee Moyo amewaumbua wazanibar. Amesema WZNZ ndani ya muungano hawadhaliliki akificha ukweli wanabembea katika mbeleko.
Amesema tuna mkataba waliobaki wapuuzi akina Jusa wanataka mkataba kabla ya kuvunja mkataba.
Amesema muungano uliridhiwa na BLW.

Jibu hoja Ahal wangu kama hakuna kukaa kimya ni busara, unachoandika kinazidi kutuondoa shaka kuhusu ZNZ na WZN

Sisi hatuhitaji ZNZ ninyi mnalazimisha mkataba, EU, Senegambia kwanini? Huu ni upuuzi hatuhitaji kwasababu hautusaidii.

Nduguyo Jusa na Ahmed wanasema mkataba utavutia wengine. Hawa sijui wanaishi dunia gani.
ZNZ haina tatizo la kuvutia watu, ina matatizo ya umasikini. Soma taarifa ya omba omba vikongwe na watoto. Tunahitaji kusaidia mataifa yetu yakiwa huru kupambana na umasikini, maradhi na ujinga.
Hawa washirazi wanasema tuvutie watu, upuuzi wa hali ya juu ndiyo maana tunasema ZNZ ni zigo la samadi.

Ukiwa na akina Ahmed na Jusa saba tu, una tatizo

Fungeni virago muend kwenye nchi ya mito na asali. Hamna faida yoyote zaidi ya kuhemea Tanganyika
 
Joka kuu.

Ni mara ya kwanza kabisa kuona mtu anajisifia mwenyewe wakti waswahili husema Nyani haoni ...bali anaona la wenzake. . sasa nastahajabu wwe kuweza kuona la kwako pasi. Nakupa hongera kwa hilo.

Lakin kwa upande wa Pili nilikwisha bainisha kimifumo kabisa utaona Znz na Tanganyika zisingepaswa kuungana. Hiyo ni kutokana na makovu yaliyoachwa na kurithishwa na wakoloni.

Tanganyika kwa sasa kuna mambo haya.
1. UDINI mkubwa umesambaa
2. Watu wake kukosa uzalendo na hivyo malizenu zinaliwa na wachache.
3. Ufisadi ambao umezaliwa kutokana na roho mbaya ya kuiba mali za umma.

Vitu hivyo Znz kama vipo basi ni kwa asilimia chahe sana kama hakuna kabisa.

Kwa mantiki hizo ndio mana waZnz wanakuwa wawazi sana bila kuona haya wala aibu wala kuogopa wanazungumza kila wanachoamini kuwa ni maonevu kwa nchi yao.

ndio maana nikasema kama Bunge la Muungano ambalo lina wabunge zaidi ya 80% kutoka tanganyika na wana Tanganyika kwa wingi wenu mkiamua haHATIMA YA MUUNGANO BASO INAKUWA NA WALA HAIITAJI KINGINE CHOCHOTE KAMA VILE MIKA YA NYUMA BUNGE LILIPODAI SERIKALI YA TANGANYIKA NA ILITAKA KUWEPO KAMA SI NYERERE.

Acheni uoga na unafiki semeni kweli na simamieni hilo kwalo.
Barubaru,

..nimekueleza hoja ya muungano haina "mshiko" huku Tanganyika kama ilivyo kwa wenzetu wa Zanzibar.

..huku Tanganyika mbunge ha-score political points kwa kuzungumzia muungano.

..Wapiga kura wa Tanganyika wanaridhika ikiwa mbunge wao atapigania upatikanaji wa huduma za kijamii jimboni mwake, na siyo masuala ya muungano.

..kama kweli hawa wakina Jussa wako serious na kutaka muungano urekebishwe, au uvunjwe, basi wanapaswa kuzungumza ktk vikao vya BUNGE LA MUUNGANO, au BARAZA LA WAWAKILISHI.

..kwa upande mwingine, nadhani wa-Zanzibari mmeridhika jinsi tunavyowapakata, ndiyo maana mnazungumza masuala haya ktk vikao visivyo rasmi.
 
Last edited by a moderator:
A big lie about our Union Send to a friend
Thursday, 27 September 2012 21:15

Mobhare Matinyi
WITH AN EAGLE'S EYE
matinyi@hotmail.com
As Judge Joseph Warioba's Constitutional Review Commission continues gathering people's views on the new constitution of the United Republic of Tanzania, some anti-unionists have found a forum to air their outright lie regarding the meaning and the future of our 48-year union.

As known, sometime in 1925 Adolph Hitler said in his famous book, Mein Kampf, which literally means, ‘My Struggle' that, "If you repeat a lie many times, people are bound to start believing it."
Surely, a section of Tanzanians in Zanzibar have bought a lie into their minds without fully understanding its intent, meaning, and implications because of the heavily pumped detestation of the union perpetrated by anti-unionists for decades.

The newly circulated argument that ours is a constitutional union and that some Zanzibaris want a union under a treaty is one of the biggest lies ever told by a Tanzanian to fellow Tanzanians.

Sensibly, whether looking from a legal or political perspective, there is neither a constitutional union nor a union under a treaty.In international law, a treaty, agreement, protocol, or a convention is what makes a union while a constitution is simply the highest law of the land.

The truth is, the proponents of this deceptive rhetoric are simply secessionists who seek pleasing language to terminate the Union while at the same time looking for a safe haven for the fragile sovereign state of Zanzibar in the event the Union falls apart in its entirety because partly the union is already gone. That's it!
What is a constitution? It is the most fundamental law that guides a community, which in our case is the United Republic of Tanzania.
Pragmatically, a constitution is consent between rulers and the ruled on how a country should be run, which means a nation-state precedes its constitution.

Now, how can we have a constitutional union while in its actuality a constitution is the instrument that simply runs a nation?
But what is a union? How many types of unions do we have in the world? A union is a complete unification of two or more sovereign states to form a single sovereign state, which entails the cessation of the former sovereignties although their executives, legislatures and judiciaries may continue to function under the newly formed sovereign state.

In reality, a union may have one government under a unitary system like the Germans adopted under the Unification Treaty in 1990, or may choose to have a federation, which requires the continuation of the previous governments and establishment of a new federal government as is the case in the United States of America and the United Arab Emirates.

Tanzania is neither a unitary state nor a federation because our founding fathers, for what appeared to be good reasons back then, chose to have a two-government system with the union government managing the Mainland, and not vice versa, a reason why currently Zanzibaris work in the government that rules Mainland Tanzania in all levels from vice president to police constables.
Candidly, Zanzibar, which enjoys enormous autonomy, is the main beneficiary of the union in every aspect despite a few problems. The Tanzanian system is not unique as some misinformed people claim.

The United Kingdom is a union of four countries with four governments since the union government rules England while Scotland, Wales and Northern Ireland have their own.

Clearly, all unions have two things in common, i.e. a treaty and a constitution. Hence, arguing that there is another union under a treaty is meaningless; nevertheless in 1964 our leaders signed a treaty called the Articles of Union, the legal instrument that created this union.

Now, what is the logic of this talk about a new type of union, which is neither a unitary nor a federation, not even a confederacy based on their demands?
An argument that the European Union is an example of this strange thing is a big laugh. The EU has no single sovereignty, was formed by the Maastricht Treaty in 1993, and has its constitution.

Likewise, the Sirte Declaration of 1999 created the African Union with its Constitutive Act. Both, the EU and the AU have treaties and constitutions.

So, are we going to have a bogus union as demanded by the secessionists inside another imaginary African union? What about the dream of the East African Federation?
What anti-unionists in Zanzibar want is simply the break-up of the union, but keeps some parasitic relationship with Mainland Tanzania for the survival of Zanzibar.

Our comrades want to eat their cake and have it, that is, the marriage is bad but the romantic relationship for the survival of the weaker side is acceptable!
Yes, we have the right to discuss the future of our Union, but deceptive rhetoric won't help. The truth is sacred, and honestly, that type of a union does not exist.

Mr Matinyi is a consultant based in Washington, DC

Hata kama wabunge toka zanzibar kwenye bunge la muungano wako 2, ni lini mmojawapo alileta muswada ya kuvunjwa muungano akakataliwa? Anayelalamika kunyonywa ni Zanzibar,but bizarrely, Zanzibar huyo huyo anataka mkataba na mnyonyaji! Nirudie, Zanziabar inaweza kuwa nchi pekee duniani inayotaka kuwa na mkataba na 'koloni' lake!

Kwenye katiba, yes unaweza kusoma katiba mbili kwa pamoja (Zanzibar na Muungano) na inapotokea kuna mgongano katiba ya muungano ndiyo inasimama. Hutaki unaacha! LET ZANZIBAR GO!!!

FJM, Nguruvi na joka kuu.

Moja ya tatizo ninalopata katika Mada hii ni kuwa muna uelewa mdogo sana wa Sharia za nchi yenu hususan SUALA HILI LA MUUNGANO. Kwa lei L'jumaa napenda niwape japo kwa Ufupi Kuhusu Muungano wenu na nitajikita zaidi katika Sharia zenu na za Kimataifa kuhusu muungano wa nchi mbili huru.

Kumbukeni muungano wenu ulikuwa ni wa kauli za watu wawili tu yaani Nyerere na Karume.

Na ili kuwe na muungano wa Kisharia wa nchi mbili huru ni lazima tararibu za kisharia na kaanun za kuhalalisha tendo hilo ni lazima kufuatwa kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa.

Utaona article of Union zenu zimekosa swifa za Kisharia kuitwa CONTRACT kutokana na tatizo la kisharia liitwalo PRIVITY OF CONTRACT. japo vilikuwa na sifa za kuitwa INTERNATIONAL TREATY (IT).

Na ili International Treaty kupata uhalali na nguvu za kisharia ni lazima TREATY hiyo iwe RETIFIED na Mabunge ya nchi husika.

Retification is a proces ambayo inafanywa kwa procedure maalum na kuwekwa katika Maandishi (writings).

Utaona kwa upande wa Tanzania walifuata kwenye bunge la Tanzania na kufuata taratibu zote na kaanun hizo kwa maandishi.

Kwa upande wa Znz ambao kwa wakati huo Balaza na mapinduzi ndilo lilikuwa kila kitu, halikupewa nafasi ya kuridhia au kufanya taratibu hizo mpaka leo. Na ukitaka ushahidi pitia ansard zote za BLM hakuna kitu wala kumbukumbu kama hiyo.

NDIO MAANA NASEMA MUUNGANO NI HASRAMU KWA UPNDE WA ZNZ.

Lakin vile vile kama utasoma Article of Union kati ya tanganyika na Znz kifungu v. kimebainisha wazi kuhusu sharia hiyo.

sasa ndipo nikasimama na kusema wenye mamlaka ya Kuujadili na hata Kuuvunja muungano wenu ni Bunge la Muungano lenye watanganyika zaidi ya 80%.

Lakin vile vile naomba niwaulize JE MNAWEZA TUFAHAMISHA KWANINI NYERERE alipinga kwa nguvu zote kuanzishwa kwa SERIKALI YA TANGANYIKA pale wabunge 57 kutoka tanganyika walipotoa hoja na kudai hilo?

Haya yanahusiana vipi na mada?
Matatizo ya Tanganyika ni ya Tanganyika, hatuwahitaji wazanzibar kusaidia kwasababu hawana msaada.

Baru baru jibu hoja za muungano:
Mkataba wa nini?
Mkataba uhusu nini?
Je, si kweli ZNZ inaihitaji Tanganyika tena ina haha?
ZNZ inasadiaje muungano uliopo na kuondoka kwake kuna athiri vipi Tanganyika?

Niliwahi kukuambia kuw huna majibu na huwa una kimbia.

Nillikuuliza katika mambo 32 ya muungano lipi linainufaisha Tanganyika, hujawahi kuthubutu kutaja hata moja kama ambavyo Ahmem, Jusa, Maalim hawajibu.
Ninyi watu wenye vinasaba vya uarabu mnawadanganya sana wenzenu.

Nimerudia swali hilo kwasababu hata mzee Moyo amewaumbua wazanibar. Amesema WZNZ ndani ya muungano hawadhaliliki akificha ukweli wanabembea katika mbeleko.
Amesema tuna mkataba waliobaki wapuuzi akina Jusa wanataka mkataba kabla ya kuvunja mkataba.
Amesema muungano uliridhiwa na BLW.

Jibu hoja Ahal wangu kama hakuna kukaa kimya ni busara, unachoandika kinazidi kutuondoa shaka kuhusu ZNZ na WZN

Sisi hatuhitaji ZNZ ninyi mnalazimisha mkataba, EU, Senegambia kwanini? Huu ni upuuzi hatuhitaji kwasababu hautusaidii.

Nduguyo Jusa na Ahmed wanasema mkataba utavutia wengine. Hawa sijui wanaishi dunia gani.
ZNZ haina tatizo la kuvutia watu, ina matatizo ya umasikini. Soma taarifa ya omba omba vikongwe na watoto. Tunahitaji kusaidia mataifa yetu yakiwa huru kupambana na umasikini, maradhi na ujinga.
Hawa washirazi wanasema tuvutie watu, upuuzi wa hali ya juu ndiyo maana tunasema ZNZ ni zigo la samadi.

Ukiwa na akina Ahmed na Jusa saba tu, una tatizo

Fungeni virago muend kwenye nchi ya mito na asali. Hamna faida yoyote zaidi ya kuhemea Tanganyika

Nguruvi3.

tatizo lako kila siku ni kutaka kufurahisha barza tu .huna hoja za msingi bali ni uoga tu ulokujaa.

nafikiri nimepembua kwa kina sana hapo juu kukuonyesha mzizi wa hoja zangu na KUSEMA KWA KINYWA KIPANA KABISA KUWA WATANGANYIKA NDIO WENYE MAMLAKA MAKUBWA YA KUVUJNA / KUUHUWISHA MUUNGANO. KWANI HATIMA YAKE IPO BUNGENI.

kinachowaponza ni uoga na unafiki na kukimbilia kuzungumza mambi nje ya ukumbi ili kujionyesha.

Acheni hizo nafikiri kama utanisoma hapo juu vzr basi utakuwa huna hoja yoyote ile kwani nimekupembulia kisharia zaidi ili kujua muungano wenu. Pole sana na l/jumaa njema

Baru baru, Mjumbe wa baraza la mapinduzi, wziri wa SMZ na Muungano, muasisi wa ASP Bw Hassan Nasor Moyo aliwaambia wajumbe wa BLW akiwemo nahodha na Jusa kuwa ' Wenye dhima ya kuamua hatima ya muungano ni BLW'. Nadhani umeona video.

Maswali usiojibu ni kuwa kwanini Jusa, Maalim, Ahmed na Washirazi wanataka mkataba?
Je mkataba uhusu nini?
Je huu tulio nao siyo mkataba?
Kwanini tusivunje kwanza huu?
Je, hoja ya serikali 3 ni ya nini?
Wazo la kuvunja muungano limeishia wapi? hasa baada ya kupata mafuta kwa wingi?
Je, wazo la kuachna na ukoloni mumelitosa wapi na kwanini.
Nitajie MZN mmoja tu aliyebaki na hoja ya kuvunja muungano

Kuhusu unafiki, WZNZ na siyo mimi ndio wanfiki wakubwa. Wanaitaka Tanganyika ili wajibanze kusitiri shida zao. Wakati huo huo wana midomo juu kuhusu muungano. Wanafiki wakubwa!

Tklieni mpakatwe. Mkitaka mkataba, serikali 3 lazima mpakatwe. Muda wa kulea umekwisha sasa kila mmoja atembee.
Huwezi kuwa na ushirika ukichangia 0, halafu unadai 50%.

Kelele za kuvunja muungano zimekwisha, ukweli upo wazi. Si Maalim Seif, Jusa, Ahmed Rajab na awaye mwenye uthubutu wa kutamka vunja muungano, wote wamebaki kuleta hoja za kitoto zisizo na mashiko ili ZNZ ibembee mgongoni,that time is over.

ZNZ inaiihitaji Tanganyika, Tanganyika haiihitaji ZNZ kwa lolote na chochote hata kama watafunga mabegi jioni hii
 
FJM, Nguruvi na joka kuu.

Moja ya tatizo ninalopata katika Mada hii ni kuwa muna uelewa mdogo sana wa Sharia za nchi yenu hususan SUALA HILI LA MUUNGANO. Kwa lei L'jumaa napenda niwape japo kwa Ufupi Kuhusu Muungano wenu na nitajikita zaidi katika Sharia zenu na za Kimataifa kuhusu muungano wa nchi mbili huru.

Kumbukeni muungano wenu ulikuwa ni wa kauli za watu wawili tu yaani Nyerere na Karume.

Na ili kuwe na muungano wa Kisharia wa nchi mbili huru ni lazima tararibu za kisharia na kaanun za kuhalalisha tendo hilo ni lazima kufuatwa kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa.

Utaona article of Union zenu zimekosa swifa za Kisharia kuitwa CONTRACT kutokana na tatizo la kisharia liitwalo PRIVITY OF CONTRACT. japo vilikuwa na sifa za kuitwa INTERNATIONAL TREATY (IT).

Na ili International Treaty kupata uhalali na nguvu za kisharia ni lazima TREATY hiyo iwe RETIFIED na Mabunge ya nchi husika.

Retification is a proces ambayo inafanywa kwa procedure maalum na kuwekwa katika Maandishi (writings).

Utaona kwa upande wa Tanzania walifuata kwenye bunge la Tanzania na kufuata taratibu zote na kaanun hizo kwa maandishi.

Kwa upande wa Znz ambao kwa wakati huo Balaza na mapinduzi ndilo lilikuwa kila kitu, halikupewa nafasi ya kuridhia au kufanya taratibu hizo mpaka leo. Na ukitaka ushahidi pitia ansard zote za BLM hakuna kitu wala kumbukumbu kama hiyo.

NDIO MAANA NASEMA MUUNGANO NI HASRAMU KWA UPNDE WA ZNZ.

Lakin vile vile kama utasoma Article of Union kati ya tanganyika na Znz kifungu v. kimebainisha wazi kuhusu sharia hiyo.

sasa ndipo nikasimama na kusema wenye mamlaka ya Kuujadili na hata Kuuvunja muungano wenu ni Bunge la Muungano lenye watanganyika zaidi ya 80%.

Lakin vile vile naomba niwaulize JE MNAWEZA TUFAHAMISHA KWANINI NYERERE alipinga kwa nguvu zote kuanzishwa kwa SERIKALI YA TANGANYIKA pale wabunge 57 kutoka tanganyika walipotoa hoja na kudai hilo?

Barubaru,

..waZanzibari mnalo Baraza la Mapinduzi, hili lilikuwepo tangu wakati wa Karume, na sasa hivi mna bunge lenu au Baraza la Wawakilishi.

..kama muungano ni haramu kwa upande wa Zanzibar kama ulivyobainisha hapo juu, basi vyombo hivyo viwili yaani baraza la mapinduzi, kwa kushirikiana na baraza la wawakilishi, vina wajibu wa kutangaza mgogoro wa muungano.

..kuhusu BUNGE LA MUUNGANO: kwa uelewa wangu, masuala yote yanayohusu muungano hayapitishwi bila kupata ridhaa ya 2/3 ya wabunge wa Zanzibar ndani ya chombo hicho. Hoja kwamba 80% ya wabunge wa muungano ni kutoka Tanzania haina msingi wowote ule iwapo suala linalojadiliwa linahusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

..Wazanzibari hawapaswi kuogopa kuwasilisha hoja zao za kujitenga mbele ya bunge la muungano. Sheria za muungano zinatambua uwepo wa wabunge toka Zanzibar. Sheria pia inaelekeza kwamba ktk mijadala ya muungano, hoja itapitishwa ikiwa itapata ridhaa ya 2/3 ya wabunge toka Zanzibar.

NB:

..Nyerere alipinga kuanzishwa kwa serikali ya Tanganyika kwasababu alifikiri kitendo hicho kitapelekea muungano kuvunjika.

..Sasa hivi Nyerere hayupo, na nina hakika wapo Watanganyika wa kutosha ambao wamechoka kuwapakata Wazanzibari.
 
Joka Kuu,
Mwenzetu Baru baru ana hoja zinazokinzana na hoja za WZN.
Nasoro Moyo kasema kuwa BLM liliridhia muungano, na hakukuwa na bunge au BLW wakati huo.
Chombo pekee kilichokuwa na mamlaka ya nchi ni BLM ambalo lilikakabidhi shughuli zake BLW.
Akamlizia kwa kusema muungano Uliridhiwa ingawa haukutungwa au kushirikisha BLM katika kutunga.
Sasa hapa anabisha kitu gani wakati hayo ni maneno ya aliyekuwepo?

Namshauri asilikilize video ya Nasor Moyo kwa umakini, vinginevyo mkuu Baru baru hoja zako ni teke teke sana.

Anasema bunge lenye Watanganyika 80% ndilo lina jukumu la kuvunja muungano.
Hapo anakwepa ukweli kuwa ni ZNZ hiyo hiyo ilikiuka katiba ya muungano kwa kuandaa katiba inayokinzana na ya muungano katika baadhi ya vipengele bila idhini ya Muungano. Sasa leo Baru baru anapata wapi uhalali wa kuhoji muungano usiotambuliwa ZNZ?

Halafu anasema Muungano ni haram, sasa kama ni haram muungano huo utajadili vipi halali ZNZ?

Muungano ni haram kwa maneno kwa vitendo wanapokea kila kilicho haram na kudai hata kisicho chao.
Tulieni Mpakatwe
 
Baru baru, Mjumbe wa baraza la mapinduzi, wziri wa SMZ na Muungano, muasisi wa ASP Bw Hassan Nasor Moyo aliwaambia wajumbe wa BLW akiwemo nahodha na Jusa kuwa ' Wenye dhima ya kuamua hatima ya muungano ni BLW'. Nadhani umeona video.

Maswali usiojibu ni kuwa kwanini Jusa, Maalim, Ahmed na Washirazi wanataka mkataba?
Je mkataba uhusu nini?
Je huu tulio nao siyo mkataba?
Kwanini tusivunje kwanza huu?
Je, hoja ya serikali 3 ni ya nini?
Wazo la kuvunja muungano limeishia wapi? hasa baada ya kupata mafuta kwa wingi?
Je, wazo la kuachna na ukoloni mumelitosa wapi na kwanini.
Nitajie MZN mmoja tu aliyebaki na hoja ya kuvunja muungano

Kuhusu unafiki, WZNZ na siyo mimi ndio wanfiki wakubwa. Wanaitaka Tanganyika ili wajibanze kusitiri shida zao. Wakati huo huo wana midomo juu kuhusu muungano. Wanafiki wakubwa!

Tklieni mpakatwe. Mkitaka mkataba, serikali 3 lazima mpakatwe. Muda wa kulea umekwisha sasa kila mmoja atembee.
Huwezi kuwa na ushirika ukichangia 0, halafu unadai 50%.

Kelele za kuvunja muungano zimekwisha, ukweli upo wazi. Si Maalim Seif, Jusa, Ahmed Rajab na awaye mwenye uthubutu wa kutamka vunja muungano, wote wamebaki kuleta hoja za kitoto zisizo na mashiko ili ZNZ ibembee mgongoni,that time is over.

ZNZ inaiihitaji Tanganyika, Tanganyika haiihitaji ZNZ kwa lolote na chochote hata kama watafunga mabegi jioni hii

Nguruvi3.

Nilipo RED. hapa imenikumbusha mbaaali sana ENZI ZA ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM Fikra mbazo sasa wengi wenu mnakinzana nazo.

Lakin kwa kukusaidia ni kuwa kwangu mimi nasimamia facts na sio NYERERE au NASSOR Moyo kasemaje. nafikiri unakubaliana na mimi nakupa facts tupu ambazo zinapelekea kufikia conclusion ya kukuonyesha kuwa MUUNGANO WENU UMEFANYWA NA TANGANYIKA KWA MUJIBU WA SHARIA. Mpaka leo hii si BLM wala BLW waliogfikishiwa sharia hiyo na kuiridhia ili iwe SHARIA HALALI KWA UPANDE WA ZNZ.

sasa naomba kama una hoja naomba iweke hapa si kufikia kusema Mzee Moyo au Jussa kasemaje. Hapa tunashindanisha facts tupu.

Binafsi naweza kusema kabisa TANGANYIKA HAIWEZI KUSIMAMA BILA ZNZ. Hili lipo wazi kabisa kwani nawauliza kwanini wabunge wale 57 waliodai Serikali ya Tanganyika walikubali kunyamazishwa na Nyerere ambaye wakti huo hakuna na cheo chochote ndani ya chama chake.

Nasimama kwa kusema WATANGANYIKA NI WAOGA NA WANAFIKI wakubwa sana hata kwa kutetea maslahi ya nchi yao.

Pole sana
 
Joka Kuu,
Mwenzetu Baru baru ana hoja zinazokinzana na hoja za WZN.
Nasoro Moyo kasema kuwa BLM liliridhia muungano, na hakukuwa na bunge au BLW wakati huo.
Chombo pekee kilichokuwa na mamlaka ya nchi ni BLM ambalo lilikakabidhi shughuli zake BLW.
Akamlizia kwa kusema muungano Uliridhiwa ingawa haukutungwa au kushirikisha BLM katika kutunga.
Sasa hapa anabisha kitu gani wakati hayo ni maneno ya aliyekuwepo?

Namshauri asilikilize video ya Nasor Moyo kwa umakini, vinginevyo mkuu Baru baru hoja zako ni teke teke sana.

Anasema bunge lenye Watanganyika 80% ndilo lina jukumu la kuvunja muungano.
Hapo anakwepa ukweli kuwa ni ZNZ hiyo hiyo ilikiuka katiba ya muungano kwa kuandaa katiba inayokinzana na ya muungano katika baadhi ya vipengele bila idhini ya Muungano. Sasa leo Baru baru anapata wapi uhalali wa kuhoji muungano usiotambuliwa ZNZ?

Halafu anasema Muungano ni haram, sasa kama ni haram muungano huo utajadili vipi halali ZNZ?

Muungano ni haram kwa maneno kwa vitendo wanapokea kila kilicho haram na kudai hata kisicho chao.
Tulieni Mpakatwe

Nguruvi3,

..Thank u.

..hiyo video ya Mzee Moyo ina mafunzo mengi sana.

..kwa mfano, kuna mahali Mzee Moyo analalamika kwamba suala la MAHUSIANO YA KIMATAIFA liligeuzwa kuwa la muungano wakati wa utawala wa ALLY HASSAN MWINYI bila kuwashirikisha WAZANZIBARI!!!

..sasa mimi nikajiuliza, kama Raisi wa muungano alikuwa anatoka Zanzibar, na akafanya mabadiliko hayo bila kuushirikisha upande wa Zanzibar, then kosa letu waTanganyika ni nini??

..Wazanzibari wanataka kila kitu tuwafanyie, ikiwemo kuwasaidia kujitoa ktk muungano. Kama kweli wanataka kujitoa ktk muungano basi wanapaswa kuongoza harakati hizo ktk bunge la muungano, na baraza la wawakilishi.
 
Barubaru,

..waZanzibari mnalo Baraza la Mapinduzi, hili lilikuwepo tangu wakati wa Karume, na sasa hivi mna bunge lenu au Baraza la Wawakilishi.

..kama muungano ni haramu kwa upande wa Zanzibar kama ulivyobainisha hapo juu, basi vyombo hivyo viwili yaani baraza la mapinduzi, kwa kushirikiana na baraza la wawakilishi, vina wajibu wa kutangaza mgogoro wa muungano.

..kuhusu BUNGE LA MUUNGANO: kwa uelewa wangu, masuala yote yanayohusu muungano hayapitishwi bila kupata ridhaa ya 2/3 ya wabunge wa Zanzibar ndani ya chombo hicho. Hoja kwamba 80% ya wabunge wa muungano ni kutoka Tanzania haina msingi wowote ule iwapo suala linalojadiliwa linahusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

..Wazanzibari hawapaswi kuogopa kuwasilisha hoja zao za kujitenga mbele ya bunge la muungano. Sheria za muungano zinatambua uwepo wa wabunge toka Zanzibar. Sheria pia inaelekeza kwamba ktk mijadala ya muungano, hoja itapitishwa ikiwa itapata ridhaa ya 2/3 ya wabunge toka Zanzibar.

NB:

..Nyerere alipinga kuanzishwa kwa serikali ya Tanganyika kwasababu alifikiri kitendo hicho kitapelekea muungano kuvunjika.

..Sasa hivi Nyerere hayupo, na nina hakika wapo Watanganyika wa kutosha ambao wamechoka kuwapakata Wazanzibari
.

Nilipo RED.

nafikiri sasa ni wakti muafaka kudai upya utaifa wenu na nchi yenu huru. KWANINI MNACHELEA WADANGANYIKA KUDAI UTAIFA NA SERIKALI YENU wakti mnajuwa wazi Muungano utakufa.

Ina maana mnaogopa kuuwa muungano? Mnakhofu nini au amuwezi simama peke yenu bila Znz?

tafakur
 
Barubaru,

..waZanzibari mnalo Baraza la Mapinduzi, hili lilikuwepo tangu wakati wa Karume, na sasa hivi mna bunge lenu au Baraza la Wawakilishi.

..kama muungano ni haramu kwa upande wa Zanzibar kama ulivyobainisha hapo juu, basi vyombo hivyo viwili yaani baraza la mapinduzi, kwa kushirikiana na baraza la wawakilishi, vina wajibu wa kutangaza mgogoro wa muungano.

..kuhusu BUNGE LA MUUNGANO: kwa uelewa wangu, masuala yote yanayohusu muungano hayapitishwi bila kupata ridhaa ya 2/3 ya wabunge wa Zanzibar ndani ya chombo hicho. Hoja kwamba 80% ya wabunge wa muungano ni kutoka Tanzania haina msingi wowote ule iwapo suala linalojadiliwa linahusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

..Wazanzibari hawapaswi kuogopa kuwasilisha hoja zao za kujitenga mbele ya bunge la muungano. Sheria za muungano zinatambua uwepo wa wabunge toka Zanzibar. Sheria pia inaelekeza kwamba ktk mijadala ya muungano, hoja itapitishwa ikiwa itapata ridhaa ya 2/3 ya wabunge toka Zanzibar.

NB:

..Nyerere alipinga kuanzishwa kwa serikali ya Tanganyika kwasababu alifikiri kitendo hicho kitapelekea muungano kuvunjika.

..Sasa hivi Nyerere hayupo, na nina hakika wapo Watanganyika wa kutosha ambao wamechoka kuwapakata Wazanzibari.

Nilipo RED.

kumbuka Nyerere ameshakufa. sasa mnogopa nini kudai utaifa na serikali yenu kama ilivyo kwa Znz?

kama kwa nyie kuwa na Serikali yenu muungano wenu utakufa. Mnakhofia nini? au amuwezi kusimama peke yenu bila Znz?

Acheni woga huo
 
Joka Kuu,
Mwenzetu Baru baru ana hoja zinazokinzana na hoja za WZN.
Nasoro Moyo kasema kuwa BLM liliridhia muungano, na hakukuwa na bunge au BLW wakati huo.
Chombo pekee kilichokuwa na mamlaka ya nchi ni BLM ambalo lilikakabidhi shughuli zake BLW.
Akamlizia kwa kusema muungano Uliridhiwa ingawa haukutungwa au kushirikisha BLM katika kutunga.
Sasa hapa anabisha kitu gani wakati hayo ni maneno ya aliyekuwepo?

Namshauri asilikilize video ya Nasor Moyo kwa umakini, vinginevyo mkuu Baru baru hoja zako ni teke teke sana.

Anasema bunge lenye Watanganyika 80% ndilo lina jukumu la kuvunja muungano.
Hapo anakwepa ukweli kuwa ni ZNZ hiyo hiyo ilikiuka katiba ya muungano kwa kuandaa katiba inayokinzana na ya muungano katika baadhi ya vipengele bila idhini ya Muungano. Sasa leo Baru baru anapata wapi uhalali wa kuhoji muungano usiotambuliwa ZNZ?

Halafu anasema Muungano ni haram, sasa kama ni haram muungano huo utajadili vipi halali ZNZ?

Muungano ni haram kwa maneno kwa vitendo wanapokea kila kilicho haram na kudai hata kisicho chao.
Tulieni Mpakatwe

Ngoja nikusaidie kidogo hapo nilipo underline.

KWA KUWA sHARIA YA MUUNGANO WENU IMERIDHIWA UPANDE MMOJA TU WA mUUNGANO YAANI TANGANYIKA NA UPANDE MWINGINE wa Muungano haujaridhia. sasa kwa maana hiyo sharia ya muungano ni batili kwa upande wa Znz. KWANI SHARIA ZOTE ZA zNZ KWA MUJIBU WA sHARIA ZINATUNGWA NA blw AU KURIDHIWA NA Blw PIA.

kISHARIA zNZ WAPO SAHIHI KABISA KUFANYA LOLOTE KISHARIA BILA KUVUNJA SHARIA ZA MUUNGANO

kAMA WEWE UNAONA WAMEVUNJA SHARIA ZA MUUNGANO. uNAWE kutumia sharia na 15 ibara ya 6 ya mwaka 1784 ya katiba ya Muungano . kifungu cha 26 kinabainisha wazi kuwa '' kila mtu ana haki kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sharia, kuchukua hatua za kisharia kuhakikisha hifadhi ya katiba na sharia za nchi''

NAKUSHAURI NENDA MAHAKAMANI KWA KUTUMIA KIPENGELE HICHO KISHA UTAONA NAMNA UTAKAVYO VULIWA NGUO HADHARANI KWA KUTUMIA FACTS NILIZOBAINISHA HAPO JUU.

Pole sana
 
Nguruvi3,

..Thank u.

..hiyo video ya Mzee Moyo ina mafunzo mengi sana.

..kwa mfano, kuna mahali Mzee Moyo analalamika kwamba suala la MAHUSIANO YA KIMATAIFA liligeuzwa kuwa la muungano wakati wa utawala wa ALLY HASSAN MWINYI bila kuwashirikisha WAZANZIBARI!!!

..sasa mimi nikajiuliza, kama Raisi wa muungano alikuwa anatoka Zanzibar, na akafanya mabadiliko hayo bila kuushirikisha upande wa Zanzibar, then kosa letu waTanganyika ni nini??

..Wazanzibari wanataka kila kitu tuwafanyie, ikiwemo kuwasaidia kujitoa ktk muungano. Kama kweli wanataka kujitoa ktk muungano basi wanapaswa kuongoza harakati hizo ktk bunge la muungano, na baraza la wawakilishi.
Halafu wanasema Nyerere ndiye aliyeongeza kwa kutaka kuimeza ZNZ.
Si unamsoma Baru baru hajibu hoja hata moja anatafuta mahali pa kumtaja Nyerere na kuingiza vifungu 'anachronism'.

Ile video ya N.Moyo amekiri kuwa ZNZ haidhaliliki katika Muungano! WZN wenye akili watajua anasema nini.
Pamoja na yote hakuna mahali Moyo ametamka kuvunja muungano.
Orodha inaongezeka, Ahmed Rajab, Maalim Seif, Nasor Moyo, Jusa, Ali Salehe, Farouk Karim, RazA n.k

Baru baru anadai Tanganyika ilisubiri Waingereza wakaifukuza 'kama koloni" tutasikia mengi mwaka huu
 
Halafu wanasema Nyerere ndiye aliyeongeza kwa kutaka kuimeza ZNZ.
Si unamsoma Baru baru hajibu hoja hata moja anatafuta mahali pa kumtaja Nyerere na kuingiza vifungu 'anachronism'.

Ile video ya N.Moyo amekiri kuwa ZNZ haidhaliliki katika Muungano! WZN wenye akili watajua anasema nini.
Pamoja na yote hakuna mahali Moyo ametamka kuvunja muungano.
Orodha inaongezeka, Ahmed Rajab, Maalim Seif, Nasor Moyo, Jusa, Ali Salehe, Farouk Karim, RazA n.k

Baru baru anadai Tanganyika ilisubiri Waingereza wakaifukuza 'kama koloni" tutasikia mengi mwaka huu

Nilipo RED. hapa imenikumbusha mbaaali sana ENZI ZA ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM Fikra mbazo sasa wengi wenu mnakinzana nazo.

Mimi naona wewe umjui nassor Moyo na weledi wake. kumbuka huyu hajawahi kuwa kiongozi mwandamizi wa SMZ kama kuwa chief minister au Rais wa Znz. kama unataka reference wewe rejea kwa kijitabu cha Mzee Jumbe ambaye alikuwa rais wa pili wa Znz. lakin vile vile jiulize kwanini Nyerere alimng'o urais wa Znz mzee Jumbe? na kwanini Nyerere huyo huyo alizuia kuanzishwa kwa serikali ya tanganyika mara wabunge 57 wa Bunge la muungano walipotoa hoja binafsi.
je alikhofu nini?
 
Back
Top Bottom