Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,408
- 31,392
- Thread starter
- #61
There is something strange I guess! Unadhulumiwa bado unataka serikali 3, unanyimwa fursa bado unataka mkataba, Kuna 'makafir' bado unapokea hisani zao, unapoteza haki zao bado hujaamua tu kuondoka hadi upewe ruhusa! Is that not strange enough brother TakashiElizabeth,
Kama hiyo picha ni yako kweli ,Mashaallah . Sisi tuanataka ZANZIBAR huru, yenye mamlaka kamili. Kinachotuzuwia ni mfumo mzima wa Muungano. Kwamba Tanganyika (Tanzania) inatudhulumu haki zetu. Nyinyi mnautumia Muungano kwa maslahi yenu (Tanganyika). Lakini Zanzibar inanyimwa fursa nyingi ikiwemo kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Taasisi au Mashirika ya kimataifa.
Zanzibar, imezuwiwa kujiunga na OIC, pamoja na kwamba 99% ni waislamu. Leo hii makafiri kwa kutumia Mfumo Kristo (Muungano) ndio wamekuwa waamuzi wa mustakbali wa Zanzibar.
Hamaki ni muhimu katika kuonesha kuchukia kitu...Hii ni hatua ya mwanzo ya kuonesha kutopendezwa na jambo . Ni tabia ya mwanaadamu, nothing strange here.