Baraza la Wazee CHADEMA lamtaka Rais Magufuli aongoze kwa busara na hekima ya mtu mzima, ladai kauli zitawapeleka ICC

Wametoa ushauri na mapendekezo kwa mhe. Rais... Siyo wewe
Useme wametoa mapendekezo kwa vyombo vya habari Raisi ana ofisi hapo walipo sio ofisini.Magazeti mkiandika andikeni wazee wa Chadema wawaambia waandishi wa habari sio wamwambia Raisi.Itendeeni haki taaluma yenu kwa kuonyesha weledi wa kiuandishi
 
CHADEMA PLC. Hawa jamaa ni just a bunch of business people doing business for the sake of their Families na matumbo yao. Endeleeni kuongea ili kumaintain Ruzuku yenu
 
s i k u z o t e ma k a l i y a P a n g a h a y a j a r i b i w i Sh i n g o n i . P i g a Ka z i Ra i s wa n g u D r . Ma g u f u l i n a t u p o n y uma y a k o 2 4 / 7 . N i mema l i z a
 
Wana nini cha maana umeona wazee wako hao.
unaijua ICC wewe.
Nadhani nyie ndo mko karibu maybe na Sizonje! Haya maneno mnayomwambia ndo yanazidi kumpotosha zaidi na zaidi. Yangu macho mkuu.

Mwenzako Bashite yeye uzee wa Warioba na heshima yake kwa Taifa hili, aliupuuza kabisa na kumchapa kibao! Mna akili za kisengerema sana aisee!
 
Hawa nao, yaani kampeni za jukwaa la siasa wanalibeba zimazima, ,wamekumbuka kyai kya rangi ikulu
 
Wamechelewa sana na watulie hivyo hivyo kama walivyo ' Mwanamume ' Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli aongoze nchi kama ambavyo Sisi wenye ' akili ' zilizotukuka tuliamua kumpigania na kuhakikisha anakuwa si tu Rais bali pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania.

Rais wangu Mpendwa na Kipenzi changu na Mwenyekiti wangu Taifa wa Chama cha Mapinduzi tafadhali kamwe usipoteze muda wako kuwasikiliza hawa ' Wazee ' ambao ukiipima tu mioyo yao wote utakuta imejaa tu ' Unafiki ' na ndiyo hawa hawa wengine tukiwa tunakaa nao maskani na vijiweni huwa wanakupiga sana ' Majungu ' na ' Kukusanifu ' tu.

Hivi kwa akili ndogo wala hata haiitaji Elimu kubwa hivi Rais atawezaji Kukusikiliza Wewe Mzee wa Chama fulani kwa maoni yako huku Wewe Wewe Mzee Vijana wako kuanzia CHADEMA Kuu na ile ya Vijana ( BAVICHA ) kila uchao tu ni kumtusi, kumdhihaki na kumnanga Rais Dr. Magufuli? Rais wangu Mimi GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza kukuzuia kupokea haya maoni yao na hakuna hata kupoteza muda wako kuonana nao. Twende hivi hivi hadi tutafika na sijaona bado wa Kukutisha wala kuleta ' machafuko ' hapa Tanzania kwa sasa na kama yupo basi akae tu akijua kwamba siku zote makali ya Panga hayajaribiwi Shingoni.

Piga Kazi Rais wangu Dr. Magufuli na tupo nyuma yako 24/7.

Nimemaliza.
No ajira mpya mabank yanafungwa watu wanapunguzwa makazini Sasa tuna Unga mkono nini ujinga mtupu
Hao ni wazee au wahuni tu kwanza huyo rutembeka ni muhuni wa kilokole
 
kimpango,

Kumbe hiki chama kina baraza la wazee! hawa walioandika upuuzi huu ni wazee?kweli?mbona hawana tofauti na vijana wao? Inamaana vituko vyote hivi vya kitoto vinavyofanywa na vijana wao hawavioni?
 
Back
Top Bottom