Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

Bila mama haiwezekani, naomba mjitokeze mnawezaa na kuendelea kushika magamba yanayokwanyuka moja baada ya jingine mnapotea hakutakuwa na wanamama? ukombozi umeanza kuonekana mbona Mama Salif aliweza kudai uhuru akapewa? Chonde chonde karibu na muoneshe uhai.
 
Pengo la Regia linaonekana dhahiri though hakuwa BAWACHA angelisemea hili.

ndo utofauti wa ujasiri unapoonekana. Kuna wabunge viti maalumu zaidi ya 20 lakini nashangaa wapo kimya kabisa huku wakiona wamama wenzao wanavyopata shida mahospitali,maji hakuna! Toeni elimu bawacha! Wamama wengi vijijini wanahitaji ukombozi,wanahitaji kushirikishwa. Msiishie kula posho tu!
 
jamani wanaitaji msaada wa kimawazo si unaelewa wakinamama zetu hawa.....
 
Nawasiwasi na uöngozi Wa Bawacha, haiwezekani mambo makubwa yakawa yanaendelea bila wao kutoa tamko , hata pongezi jamani loh!
 
Wanasubiri kuwezeshwa kama uwt, wanawake wakiwezeshwa wanaweza.
 
Hakuna sababu ya kuwa na Baraza la Wanawake Chadema; hata Baraza la Vijana liwe kimya hivyo lisichukue madaraka maka la ccm haya ni mambo ya Ucommunist na CCM ni Capitalist

Tuachane na Upuuzi huo Chama ni Chama hakina Umoja wa Vijana wala Baraza la Wanawake kwa Ucommunist huo ulikuwa ni kunyamazisha baadhi na pia ulaji
 
Back
Top Bottom