Baraza la madiwani lawafukuza watumishi 12 kwa ufisadi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Baraza la madiwani katika manispaa ya Morogoro limewatimua kazi watumishi wapatao 12 kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha wakianzia na mhasibu na cashier wa manispaa hiyo.

Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na watumishi hewa
 
Hii ndio JF ya kizazi kipya. Mtu anaona fahari kuweka heading tu ili watu wachangie na yeye aongeze idadi ya posts
 
...pombe ambazo hazijathibitishwa na mkemia ni hatari sana, maana wengine zinaingia direct ktk medula zao na matokeo ndo haya ! Who, Where, When, What, How ?????
 
Barua ya sensa

Mimi nilishabainisha humu ndani na Tanzani kwa ujumla wake kwa sasa kiingereza limekuwa janga la kitaifa. imagine mtu anaandika sentensi mbili makosa kibao.read before submitted ndio ana maanisha nini?pole great thinker.
 
Wasiishie kufukuzwa tu bali wapelekwa mahakamani kama wale wa halmashauri ya Rombo japo hatujajua kesi yao itaishia hewani au
 
Back
Top Bottom