Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,534
- 40,668
Wazembe wapo; ila unapowasilisha mada/tuhuma unatakiwa usifungamane na upande wowote.Watu humu JF ni matahila Sana, yaani mtu akileta Jambo fulani ambalo kwa maslai ya Taifa, mnamuita mfitini,
Yaani mfano Mimi nna Jambo zito kwenye taasisi moja ya Nchi juu ya mtu fulani, lakini kamwe siwezi kulileta humu kwa matahila , yaani humu hata ukileta habari juu ya uzembe wa mtu fulani wa nafasi fulani, mizezeta itakuambia majungu tu hayo!