Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,123
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination.
Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini wameshiriki kwenye hili? Wameshiriki kwa lengo la kuandaa wakina nani?
Je, chuo cha SAUT kitadahili mwanafunzi wa Divinity kwenye kozi gani? Baada ya kuhitimu chuo huyu anakwenda kupata fursa gani ya ajira kwa ujuzi wake?
Nijuavyo mimi mapadre na masista wapo wa kutosha, data zipi zimetuambia tuna tatizo la divinity kidato cha tano na sita?
Pia soma