First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
ni kuhusu Mahakama ya kadhi ambayo imeegemea zaidi kwenye imani,
Hapo nimemkubali.
Hapo nimemkubali.
wamejuta kumualika.Sura zao zilionekana kama wamekula ndimu hawakuamini masikio yao baada ya kuwaambia ukweli kuhusu mahakama ya kadhi.
mkuu sidhani haya uliyoyaandika ilikuwa ni ajenda ya mahakama ya kadhi. angalia kokote duniani kama mahakama ya kadhi inahusika na jinai. kama kukata mikono na mengine. lakini kubwa kabisa hukumuelewa Jk jinsialivyoaddress haya masuala.J.K amewathibitishia waislam kwamba mahakama ya kadhi ipo mbioni kuundwa.Lakini J.K ameeleza kwamba serikali haitohusika na uendeshaji wa mahakama hizo.Pia Rais kikwete amesema kwamba mahakama hiyo haitahusika na kesi za madai na jinai.Akieleza zaidi amesema kwamba mahakama hii hairuhusiwi kutoa adhabu ya kumvunja mtu mkono wala kumpiga mawe hadi kufa yule aliyefumaniwa.Mipaka ya mahakama hii ni kuhusika na kesi za Ndoa,Talaka na Mirathi tu.
mkuu waislam si mab.wege mpaka waombe kitu ambacho hawanacho. kwani wakiambiwa leo hii chukueni hapo utazijua ni zipi.Naomba tujulishane shule za waislam wanazotaka kurudishiwa ni zipi maana wamelalamika sana !
Hapa kuna mchanganyiko wa vyama mbalimbali ndugu, usiwe na mawazo ya kijinga kwamba JF ni ya CDM!iti is very clear sasa kila mtu atajua watu wa hapa JF na chadema ni watu waaina gani.
ndo maana nilisema na narudia kusema kuwa uongozi wa JK umechukiwa kwa sababu ya hii mahakama ya kadhi, kujiunga na OIC na muafaka wa zenji. Sio hizi sababu zinazotolewa.
kabla ya hapo hamna hata mmoja anayeweza kunithibitishia kinyume chake. ona leo mlivyofurahi. Sitaki kuwa bias, bias kwangu mwiko.
Mwanza kuna shule inaitwa Nyakabungo iko katikati ya jiji
We Ngwendu usitufanye kwamba hatuna macho ya kuona na masikio ya kusikia! Watu hudundwa mawe kila siku na Al Shabaab kwa sababu ya "adultery" ambalo ni suala la ndoa! Kwa ujumla Mahakama ya Kadhi na OIC ni mpango uliopangwa "kuisilimisha nchi" jambo ambalo ni la hatari sana kwa usalama, mshikamano na amani ya nchi yetu! It is far better Waislamu wakafanya mambo yao bila kuingiliwa na Serikali na bila kuvunja Sheria za nchi yetu!mkuu sidhani haya uliyoyaandika ilikuwa ni ajenda ya mahakama ya kadhi. angalia kokote duniani kama mahakama ya kadhi inahusika na jinai. kama kukata mikono na mengine. lakini kubwa kabisa hukumuelewa Jk jinsialivyoaddress haya masuala.
BENEFIT OF THE DOUDT; Jamaa huwa haeleweki kutokana na kutokuwa na hulka ya msimamo, so I reserve...kama kweli hii hotuba/ maneno yataendana sawa na matendo. It would be one of the great speech he ever made, since 2005 in National Assembly. Leo kahutubia kama rais. LAITI ANGEFANYA HIVYO KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI NA MAFISADI NA MFUMO UNAOLITAFUNA TAIFA, TUNGETOKA BROTHERS. Tujadili. Kama kuna mtu haukusikiliza tutaweka hapa dondoo wale tuliosikiliza. Asanteni