BARAZA la Kikwete Vs BARAZA la Mawaziri Kivuli, dhana ya ukubwa wa serikali na matumizi makubwa

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,071


ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI BARAZA LA KIKWETE


MAWAZIRI

1. OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,


2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


3. OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,


4. WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,


Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,


5. NAIBU MAWAZIRI


OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI


6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,


7. OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,



8. WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,


Ukiangalia Baraza Kivuli Jipya hapa chini unaweza kuona tofauti kubwa iliyopo katika structure, hasa katika idadi ya wizara na mawaziri. Baraza Kivuli lina mawaziri 22 tu Vs 50+ wa serikali ya CCM. Wizara 18 Vs Wizara 30 za serikali ya CCM.

Sambamba na kupunguzwa kwa idadi ya wizara na ukubwa wa baraza, Mawaziri wa Baraza Kivuli wamepunguzwa kutoka 32. Watu 10 wamepunguzwa katika baraza badala ya kuongezwa kama afanyavyo Rais Jakaya Kikwete. Huu nao unaweza kuwa udhaifu kwa rais wetu. Kukosa uwezo wa kuchagua watu wachache makini wenye ufanisi badala ya kuwa na lundo kubwa la wabadhirifu wanaonuka tuhuma za ufisadi everywhere.

Pia udhaifu mwingine unaweza kuonekana kwa kukosa uwezo wa kuunda wizara chache zenye ufanisi kuokoa gharama na matumizi ya kawaida ya uendeshaji serikali ambayo yana athari kubwa sana kwa maendeleo ya walipa kodi. Kisa kuridhisha kila mpiga kampeni, kada mahiri
wa CCM, marafiki, ndugu, jamaa, marafiki wa mwana na kuridhisha kila kanda na kila mkoa na hatimaye kila wilaya kutoa waziri.


BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI NA MABADILIKO YA WIZARA KIVULI

No. WIZARA KIVULI WIZARA YA SERIKALI KAMATI HUSIKA YA BUNGE WAZIRI KIVULI NAIBU WAZIRI
1. OFISI YA WAZIRI MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU -SHERIA NA KATIBA,
-FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO
KUB- FREEMAN A.MBOWE
2.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU

1.SERA,URATIBU NA BUNGE
2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
3. TAMISEMI-
ELIMU
-TAWALA ZA MIKOA
-do-
DAVID ERNEST SILINDE

-
3. MIUNDOMBINU UJENZI NA UCHUKUZI MIUNDOMBINU SAID ARFI PAULINE GEKUL
4
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS
OFISI YA RAIS
1-UTAWALA BORA
2-MAHUSIANO NA URATIBU
3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA
-SHERIA NA KATIBA.
-FEDHA NA UCHUMI
PROF. KULIKOYELA KAHIGI

-
5. FEDHA UCHUMI NA MIPANGO WIZARA YA FEDHA FEDHA NA UCHUMI ZITTO KABWE CHRISTINA MUGHWAI
6. KATIBA SHERIA NA MUUNGANO KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO SHERIA NA KATIBA TUNDU A.LISSU
-
7. MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA MALIASILI NA MAZINGIRA MCH.PETER MSIGWA
-
8. MAMBO YA NDANI YA NCHI MAMBO YA NDANI MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA VICENT NYERERE
-
9. MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA EZEKIAH D.WENJE RAYA IBRAHIM KHAMIS
10. ULINZI NA JKT ULINZI NA JKT MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
MCH.ISRAEL NATSE
-
11. MAJI,MIFUGO NA UVUVI MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI KILIMO ARDHI NA MAJI SYLVESTER M.KASULUMBAYI
SABREENA HAMZA

SUNGURA
12. KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA MAENDELEO YA JAMII JOSEPH O.MBILINYI CECILIA PARESSO
13. NISHATI NA MADINI NISHATI NA MADINI NISHATI NA MADINI JOHN MNYIKA
-






14. VIWANDA NA BIASHARA VIWANDA NA BIASHARA VIWANDA NA BIASHARA HIGHNESS KIWIA
-
15. AFYA, JINSIA NA JAMII AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO -HUDUMA ZA JAMII
-MAENDELEO YA JAMII
DR. GERVAS MBASSA CONCHESTA RWAMLAZA
16. ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO -HUDUMA ZA JAMII
-MIUNDOMBINU
SUZAN A.LYIMO JOSHUA NASSARI
17. KILIMO NA USHIRIKA
KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
ROSE SUKUM KAMILI
-
18. ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA
HALIMA MDEE
-




Unaweza kuona dhahiri hapa namna ambavyo Kambi Rasmi ya Upinzani wanavyoonesha kwa vitendo dhana ya kupunguza matumizi makubwa ya anasa, yanayosababisha mzigo mkubwa kwa walipa kodi, wananchi maskini na maendeleo yao!

Mfano wa matumizi makubwa yanayosababishwa na ukubwa wa serikali, hasa katika eneo la ukubwa Baraza la Mawaziri; katika bajeti hii ya mwaka 2012/2013 inayopigiwa kelele na kupingwa kwa hoja sadifu kwenye hii 'another silly season', Baraza la Mawaziri pekee, yaani matumizi ya wizara mbalimbali katika zile fedha za matumizi ya kawaida, limechukua takriban trilioni 3, wakati serikali za mitaa ambako ndiko wananchi waliko zimepewa Bilioni 700 pekee.

This is a disaster to CCM na its govt and nobody else. Asanteni. Tujadili wakubwa;

 
hv ukitafuta zaid ya hao chadema wapo?


Kamanda simple logic tu....kama walikuwa zaidi na hao na wengine hawakuteuliwa katika lile baraza la awali, bado hoja yako ina mantiki mpaka hapo. Natumaini umenielewa mkuu. Karibu.
 
Hao jamaa wanatunyanyasa kwa kweli, trilion 3 na bilion 700 wapi kwa wapi..!kama MUNGU angejaribu kuwaonjesha maisha anayoishi mtu maskini wala wacngejipangia kiasi chote cha pesa..! Ila watanzania wenzangu tujitume wao waache wale kupitia jasho la mnyonge..! Kila lenye mwanzo lina mwisho.
 
Hakuna cdm wegine kweli hatari Kama ni genius hawezekani uwe na vyeo Kama alivyorundikiwa mbowe kwa tz yeti , hhawezi hawezi, huko ni kuwadanganYa watz , cdm mbona mnashindwa kufikiri. Kwanza wabunge wote wa cdm ni mwaziri, uliona wapi. Huu ni mchezo wa kuigiza wacheni watz waamue Chama cha ukanda namna hii mi karibia nakihama nimeshachoka na ubabe wa viongozi.
 
Kazi nzuri kwa mbowe,sema kiuhalisia kila wizara inatakiwa kuwa na naibu,ikitokea anaumwa siku ya bunge nani atasimama badala yeke?
 
Kuna mtu anajuwa tuna Halmashauri ngapi ili tuweze kufanya estimates za watu walio kwenye Halmashauri?
Tsh 3 trillion kuhudumia office zinazokaliwa na watu 55 vs. Tshs 700 billion Halmashauri ......?
 
Kazi nzuri kwa mbowe,sema kiuhalisia kila wizara inatakiwa kuwa na naibu,ikitokea anaumwa siku ya bunge nani atasimama badala yeke?

kazi kwelikweli, ndio maana kuna baraza la mawaziri (kwa pamoja linafanyakazi kwa pamoja) ministrial responsibilities, upo mkuu, hapa hakuna mambo ya kusutana kama cabinet ya magamba
 
Hakuna cdm wegine kweli hatari Kama ni genius hawezekani uwe na vyeo Kama alivyorundikiwa mbowe kwa tz yeti , hhawezi hawezi, huko ni kuwadanganYa watz , cdm mbona mnashindwa kufikiri. Kwanza wabunge wote wa cdm ni mwaziri, uliona wapi. Huu ni mchezo wa kuigiza wacheni watz waamue Chama cha ukanda namna hii mi karibia nakihama nimeshachoka na ubabe wa viongozi.

Kamanda usiwadanganye watu kuwa wewe ni mwana-CHADEMA kwa hoja zako hizi mfu. Endelea kuvaa gamba mpaka ubakie wewe na akina Nape na EL mgawane mbao vizuri siku zijazo kabla ya 2015 au wakati huo. Unaimba nyimbo za akina Nape na Mkama kisha unasema wewe ni pipoooo, acha hizo.
 
kazi kwelikweli, ndio maana kuna baraza la mawaziri (kwa pamoja linafanyakazi kwa pamoja) ministrial responsibilities, upo mkuu, hapa hakuna mambo ya kusutana kama cabinet ya magamba
mambo ya wizara sio mepesi hivyo ndugu yanahitaji commitment ,mtu adedicate muda sio mambo ya kutoa taarifa tu vingine vitakushinda. itawezekana vipi waziri wa afya asiwasilishe bajeti ya ujenzi ikiwa wa ujenzi mmoja anaumwa?angeongeza walau hao manaibu sita ndugu yangu,wote tuko pamoja cdm lakini hapo mbowe kazidi,hatuendi hivyo.
 
mambo ya wizara sio mepesi hivyo ndugu yanahitaji commitment ,mtu adedicate muda sio mambo ya kutoa taarifa tu vingine vitakushinda. itawezekana vipi waziri wa afya asiwasilishe bajeti ya ujenzi ikiwa wa ujenzi mmoja anaumwa?angeongeza walau hao manaibu sita ndugu yangu,wote tuko pamoja cdm lakini hapo mbowe kazidi,hatuendi hivyo.

Hata cjui Mbowe kazidi nini hapo
 
this shows chadema can deliver at lower cost compared to what ccm is doing,remember that there are no technical officials to shadow cabinet but their output during presentation of this very silly season is of high credit compared to silly cabinet of silly party(ccm),ccm members hereby ur very narrow in thinking thus to compete with CDM(M4C) You have to attend three years trainin from prof.kabud,mkandala,mgaya,maboko and dr BANA YOU FELLOW gambas
 
Back
Top Bottom