Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

Tumia rangi zinazosomeka. Hayo uliyoandika rangi ya manjano nimeshindwa kusoma hata neno moja.
haya jamani nafikiri mmeona wenyewe jinsi rais alivyojaaliwa khekima tunaomba kura zenu ili ccm iendelee kutawala 2015 ili kuimarisha misingi hiyo aliyoieleza rais kwenye baraza la idd leo mjini dodoma.
mm ninawasiwasi kama tutawapa nchi hii chadema 2015; misingi hii itavunjika na tanzania hapatakuwa tena mahali pazuri pakuishi!! ccm oyee!!!!!!!!

Tafadhali rejea kauli ya rafiki yake aliyoisema pale mjengoni kuwa raisi hana maamuzi magumu!(Nywele Nyeupe) Halafu pia rejea kauli ya Dr. wa ukweli Slaa pale Singida alisema tatizo ni wanaomshauri JK ndio wanaoikwamisha hii nchi kimaendeleo! Kwakumalizia rejea kauli ya aliyekua spika wa bunge lililoisha founder of CCJ (S.6) alishawahi kusema muheshimiwa raisi unatakiwa uwe na sura ya kazi sio unachekacheka tu! Je unataka nikupe nukuu zingine?????....!!!!

Kwa sisi waislam tunaona ametugeuka kwa kutoa majibu tofauti na alivyo tuahidi msikitini kipindi cha uchaguzi!! Kweli wanasiasa vigeugeu kikwete kigeugeu!!!

kipindi cha uchaguzi tume ilikuwa inafanya kazi yake. hata hivyo haikuhitaji usomi kujua kama hiyo kitu haiwezekani kuundwa na serikali jamani. serikali yetu haina dini na haitokuwa nayo.

Anavuta shuka kukiwa kumepambazuka....I listened to part of it...what irks me in his 'hotuba's' ni kuadress watu kama watoto wadogo, trying to be a mr goody goody and Only serious akiongea kwa lugha ya kiingereza...'Tumewakamata wakiwa wanaenda hapo Brazil...tume bla bla... No offence but his speech delivery is always softened and miss that EDGE you wish leaders should have...and what IRKS the most, that style is consistent when he has to address Tanzanians

Nsiande...!!

You made my day ...

I have nothing more to add .. you said it all...Boldly and Clearly!!

Kikwete kanifurahisha sana kwenye hotuba yake.

1) Mahakama ya kadhi ruksa.

2) MOU kama ya makanisa na Serikali ruksa kwa Waislaam na anawaambia mmechelewa toka 1992 mlikuwa wapi? Letenii maombi yenu na nyinyi mpewe MOU yenu.

Kanifurahisha kweli kweli. Sasa Waislaam tushindwe wenyewe tu.

kama hufanyi masihara basi napata wasiwasi na uelewa wako. By the way jk kafanya vyema leo kwa haya machache. Amekata mzizi wa fitina.

Nafuatilia hotuba ya mh raisi kikwete kwenye baraza la iddi kuoitia tbc 1.

Kwa kweli amejitahidi kuainisha ukweli wa mambo hususan katika sekta ya elimu,

japo naona kuna ma ustaadh wanamuangalia kwa roho mbaya kweli

hasa hasa anaposema baba wa taifa hili mwalimu nyerere alitaifisha

shule zote za dini na mashirika ziwe za serikali ili elimu itolewe bila ubaguzi.

Kudos j.k

n.b:

Mimi ni chadema, ila kiongozi wa ccm akisema jambo likanigusa hakika sitaacha kumfagilia.

Siasa sio uadui na kuona maovu ya mwenzako tu bila kuona mazuri wajameni.

shule zao kama zipo warudishiwe ila na wao warudishe chuo cha kidatu ambacho sasa wanakiita ni chuo kikuu................wamebebwa kupita kiasi............

je kajibu Umeme Wanyama Sukari jairo Gamba?

Tunaamini amezaliwa upya na kwa spidi aliyoanza nayo Idd el fitri ninaamini ni mwanzo mpya wa kupambana na zile kero nyingine kwa mkazo uleule alioonyesha ktk kushughulikia mahakama ya kadhi na mali za waislam

@ Ngwendu : For the first time today, i am agreeing with you! What a change of opinion from most JF users!! Today they all support JK, for what? i think you know why!!

Kumbe angetumia karata hii, leo hii CDM isingekuwa maarufu hivi kwa Wagalatia!!

Kwa kweli JK amenifurahisha kwa hotuba yake hasa kuhusu shule za dini na mahakama ya kadhi Nimesikiliza hotuba nzima ila sasa tusubiri utekelezaji wake

Mtoa thread hii nakuomba ukome kuweka conclusion kwamba '...........mtazamo wetu utakuwa positive...." Kama ni mtazamo wako usiandike wetu tafadhali. Tena umeniharibia sana Eid yangu kwa leo.

Huitaji kujua yaliyomo ndani moyo wa mtu hadi uangalie matendo yake. Siku zote JK mlikuwa mnamuona rais legelege leo hii kwavile kawaumiza waislamu yaliyo moyoni mwao unasema ndio rahisi amekamilika kweli wajinga ndio waliwao. Let me see hii movie itaisha wapi kwani wakati wewe unafurahia ujue mwengine anaumia halafu unasema Tanzania kisiwa cha amani . St Augustine aliwahi kusema an unjust law or society is similar to no law or society of lawlessness wait and see.

Mdondoaji kipi kimefanywa kwa upendeleo hapo mbona zote alizoongea ni point ziko wazi. Kwa mfano hivi leo serikali ikiamua kurudisha shule za mashirika na taasisi mbali mbali ili ziongozwe kwa utaratibu wa taasisi hizo we unafikiri dini nyingine zitasomesha wanafunzi wapi kama si shule za kata. Wewe umesikia walionyanganywa shule nyingi ni waksristo na hawajawahi omba warudishiwe ila waliokuwa na shule kiduchu ndo wanasema warudishiwe. Mkuu huoni hapa rais amekuwa na huruma tu na akatumia busara kuwaeleza kuwa madai yao yakitekelezwa itakula kwao.

Sitampa kwa sababu mgombea wa urais hatakuwa yeye au mmeshaanza kuchakachua katiba agombee mihula 3?

Tafsiri rahisi ni kwamba upo tayari kumpa kura mgombea wa CCM ilimradi asiwe Kikwete

Back
Top Bottom