Baraza kuu UVCCM wailaani CHADEMA kwa siasa za fujo na mauaji; Je, ni sawa?

Kumbe askari nao ni Chadema nilikuwa sijajua hilo

Polisi kazi yao ni kuzuia uhalifu, na uhalifu ni kitendo chochote kilichozuiliwa kisheria kutendwa. Kazi ya cdm na wafuasi wake ni kujitungia sheria zao na kutoa hukumu wao wenyewe.

Polisi wanapokuja kuzuia mikutano ya aina hiyo, waathirika ni wasiojua sheria, maamuma cdm.
 
CCM hawajickii vibaya hata kusema wanakikao na kuanza kujadili m4c??? Nafkiri hawana kazi kila kukicha wanakuna Vichwa kuhusu cdm maana ni kiboko yao, mauwaji yanafanywa na uongozi wao na sio chadema,siku zote cdm ikiwa na mikutano yake polisi wasipokuwepo hakuna kinachoharibika NI AMANI FULL, lakini serikali iliyomadarakani wanatuma FFU wafanye vitu vyao ili wajekusingizia chama, mtajikuna sana hadi mvi lakini hatutalala hadi kieleweke, PIPOOOOOOOOOOOZ P:yawn:WER
 
Yaani huyu Shigella na wenzie sijui akili zao bado ziko usingizini
sitaki hata kumsikia
 
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wamemaliza kikao cha baraza la umoja huo ambapo wamejadili ajenda mbalimbali za msingi kuhusu Uchaguzi na pia wamejadili juu ya hali ya siasa nchini na mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa amani na mauaji, ambapo wamekinyooshea kidole Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwa vinara wa matukio ya mauaji, kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ya Katibu Mkuu, jengo la Mikutano (whitehouse) katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma.

Alisema kuwa, kumekuwa na matukio ya mauaji kwenye mikutano ya chama hicho katika mikoa ya Singida, Igunga, Tabora, Morogoro na Iringa hali ambayo imekuwa ikitishia Usalama na Amani ya Nchi.
“Tunalaani Chadema kuwa vinara wa vurugu zinazosababisha mauaji na kila tukio linapotokea viongozi wa Chadema wanakuwepo, hali inayoonyesha kuwa siasa wanazoendesha si za kistaarabu” alisema.
Alisema kuwa Chadema wanachojenga ni hatari kwa Taifa na pia hatari kwa Umoja wa Vijana pia na kama wana mapenzi ya kweli na watanzania waache siasa zinazasababisha mauaji mara kwa mara.

source hakingowiblog

Nina wasiwasi kama Umri wa Shigela unamruhusu kuwaongoza vijana,kila binadamu kuna sehemu huwa inaanza kuzeeka huyu jamaa ubongo ndo umeanza kuzeeka.Polisi na Serikali yake ni ndiyo wahusika wakuu katika vifo vyote vilivyo kwisha kutokea ila sababu mali kwa mali anaamua kuwatupia mpira cdm.Mbona hamjawafungulia mashtaka Cdm kwa kusababisha vifo?
 
Nawashangaa sana Watanzania mnaoishi ughaibuni ninaposikia mnafungua matawi ya CCM,chama ambacho tayari kimekufa! Hili ni tamko toka ktk jumuiya nyeti ya chama,jumuiya inayopaswa kuandaa vijana kuwa viongozi!!!
 
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wamemaliza kikao cha baraza la umoja huo ambapo wamejadili ajenda mbalimbali za msingi kuhusu Uchaguzi na pia wamejadili juu ya hali ya siasa nchini na mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa amani na mauaji, ambapo wamekinyooshea kidole Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwa vinara wa matukio ya mauaji, kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ya Katibu Mkuu, jengo la Mikutano (whitehouse) katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma.

Alisema kuwa, kumekuwa na matukio ya mauaji kwenye mikutano ya chama hicho katika mikoa ya Singida, Igunga, Tabora, Morogoro na Iringa hali ambayo imekuwa ikitishia Usalama na Amani ya Nchi.
“Tunalaani Chadema kuwa vinara wa vurugu zinazosababisha mauaji na kila tukio linapotokea viongozi wa Chadema wanakuwepo, hali inayoonyesha kuwa siasa wanazoendesha si za kistaarabu” alisema.
Alisema kuwa Chadema wanachojenga ni hatari kwa Taifa na pia hatari kwa Umoja wa Vijana pia na kama wana mapenzi ya kweli na watanzania waache siasa zinazasababisha mauaji mara kwa mara.

source hakingowiblog

Je shigela ana miaka mingapi??
Je aliyepelekwa mahakamani ni kiongozi wa chadema au polisi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tehe tehe UVCCM .Shigela amedhihilisha leo kuwa Chama tawala kimejaa mazuzu.Huyu jamaa hajui au anajua ila anafikiri watz badi wamelala.Saa ya Ukombozi ni sasa .Ole wenu polisi mnaotumwa kuuwa raia wasio na hatia kwani damu yao itawalilia milele ndani ya vizazi vyenu vyote.Sasa Tanzania imekuwa kama cinema ya Andha Kanoon.Polisi ndio wenye haki ya kuua raia nasio kulinda usalama wao.
 
Ukishaamua kuwa mwanaCCM ujue umeamua kuwa zezeta.

Hivi Shigella naye ni kijana?

Swali kuu la kuuliza ni UVCCM kwa sasa inamchango gani kwa chama?
 
Vijana wa ccm wanawehuka ukimwangalia martine shigela anachoongea unaweza sema hajawahi pita darasani na anaishi kwenye kisiwa!!!!!!!!!!!!!!
 
****! UVCCM wanakiri kwa kutumia Masaburi. Muuaji ni POLICCM na wala si CDM.
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wamemaliza kikao cha baraza la umoja huo ambapo wamejadili ajenda mbalimbali za msingi kuhusu Uchaguzi na pia wamejadili juu ya hali ya siasa nchini na mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa amani na mauaji, ambapo wamekinyooshea kidole Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwa vinara wa matukio ya mauaji, kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ya Katibu Mkuu, jengo la Mikutano (whitehouse) katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma.

Alisema kuwa, kumekuwa na matukio ya mauaji kwenye mikutano ya chama hicho katika mikoa ya Singida, Igunga, Tabora, Morogoro na Iringa hali ambayo imekuwa ikitishia Usalama na Amani ya Nchi.
“Tunalaani Chadema kuwa vinara wa vurugu zinazosababisha mauaji na kila tukio linapotokea viongozi wa Chadema wanakuwepo, hali inayoonyesha kuwa siasa wanazoendesha si za kistaarabu” alisema.
Alisema kuwa Chadema wanachojenga ni hatari kwa Taifa na pia hatari kwa Umoja wa Vijana pia na kama wana mapenzi ya kweli na watanzania waache siasa zinazasababisha mauaji mara kwa mara.

source hakingowiblog
 
uvccm=mazuzu ambayo hata chembe moja ya fikra hayana. kuna mazuzu mengine yana afadhali japo kachembe ka fikra. uvccm fikra ni zero kabisa. ajabu shigela ndo cream ya viongozi wajao wa mabwepande party!!!!
 
Daaaaaaah kumbe cdm ndio wameua? Kama ni mwenye kiti wa hivi hajui kutafakari basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Duh...! CCM kweli vilaza. Mbona hakuna kiongozi wa chadema aliyeshtakiwa kwa mauaji na badala yake ameshtakiwa askari Polisi... au Polisi ni chama cha siasa kinachoitwa Chadema? Kweli sasa hawa jamaa wanafikiri kwa kutumia makalio!
 
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wamemaliza kikao cha baraza la umoja huo ambapo wamejadili ajenda mbalimbali za msingi kuhusu Uchaguzi na pia wamejadili juu ya hali ya siasa nchini na mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa amani na mauaji, ambapo wamekinyooshea kidole Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwa vinara wa matukio ya mauaji, kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ya Katibu Mkuu, jengo la Mikutano (whitehouse) katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma.

Alisema kuwa, kumekuwa na matukio ya mauaji kwenye mikutano ya chama hicho katika mikoa ya Singida, Igunga, Tabora, Morogoro na Iringa hali ambayo imekuwa ikitishia Usalama na Amani ya Nchi.
“Tunalaani Chadema kuwa vinara wa vurugu zinazosababisha mauaji na kila tukio linapotokea viongozi wa Chadema wanakuwepo, hali inayoonyesha kuwa siasa wanazoendesha si za kistaarabu” alisema.
Alisema kuwa Chadema wanachojenga ni hatari kwa Taifa na pia hatari kwa Umoja wa Vijana pia na kama wana mapenzi ya kweli na watanzania waache siasa zinazasababisha mauaji mara kwa mara.

source hakingowiblog

mavi-ya-shigela
 
Kama CHADEMA ndio waliosababisha vifo, kwa nini Jamhuri imepeeka mahakamani askri wa Jeshi la polisi? Shigella amesoma press release ya waziri wa mambo ya ndani? If this so call kiongozi wa vijana wa CCM cannot understand something as basic as this atawezaje kuongoza huo umoja wa madalali?

Huyu ndie unayetarajia baada aje kushika uongozi katika serikali? Hakuna hat kijana mmoja wa uvccm ambaye unaweza kuweka matumaini kwake kuwa atakuja kuwa kiongozi mzuri. Wote wapo pale kwa kuwekwa tu na wazazi wao waliokuwa makada wa ccm na TANU. Wote hakuna hata wa kuweza kumshauri mwenzake. Fikiri huyu Shigella ana tofauti gani na Nape?
 
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),
“Tunalaani Chadema kuwa vinara wa vurugu zinazosababisha mauaji na kila tukio linapotokea viongozi wa Chadema wanakuwepo, hali inayoonyesha kuwa siasa wanazoendesha si za kistaarabu” alisema.
Alisema kuwa Chadema wanachojenga ni hatari kwa Taifa na pia hatari kwa Umoja wa Vijana pia na kama wana mapenzi ya kweli na watanzania waache siasa zinazasababisha mauaji mara kwa mara.

Mtu yoyote makini alitegemea kusikia pumba hizi,

Hivi Shigela anadhani kuna mwananchi gani asiyejua mauaji kwenye sehemu zote alizotaja kwnye mikutano ya chadema yamefanywa na nani, polisi wametumwa na nani kwa sababu gani!!!!
Ni nani anayekabiliwa na kesi za mauaji kwenye mauaji hayo? Inawezekanaje Chadema wafanye mauaji na mashtaka wafunguliwe polisi na wafuasi wa CCM?

Hivi UVCCM mmeitisha mkutano ili kuongea pumba hizi?

Shigela elewa kuwa kila mwenye akili timamu anakuangalia wewe, unapotoa kauli zako (matamko) uyapime, yanakuvunjia heshima na kuongeza hasira kwa wananchi, usidhani kila wakati ni wakati wa propaganda waliofiwa na ndugu zao wanakusikia na wanaona unavyoshangilia ukidhani kwako ni mtaji wa kisiasa, huo ni uzembe wa kisiasa, wananchi wanajua wanayoyategemea kutoka kwako hivyo ukija na pumba kama hizi wanakushangaa kwa kuwapotezea muda wao wa kukuangalia ama kusikia upuuzi wako huo.
wakati mwingine wape watu nafasi wakupime kwa kuongea mambo ya maana, elewa kwamba kwa kauli zenu hizo, UVCCM wanatoa mchango mkubwa sana wa kifo cha CCM. Chama legelege kinazaa viongozi legelege (Mlm JK Nyerere R.I.P. )
 
Kuna haja sasa ya kutafsiri maana ya UVCCM kama UMOJA WA VICHAA CHAMA CHA MAPINDUZI!

Hii naona itakuwa tafsiri sahihi ya maana ya jumuia hii ya Chama cha Magamba. Inaonekana ni genge la Vichaa ambao hawawezi kufikiri lipi jema au zuri. Tabia ya vichaa ni kuokota makopo,mabaki ya vyakula vilivyooza kwenye majalala na kuvitafuna bila kujali athari za kiafya.Hapo ndipo ilipofikia jumuia hii ya Vichaa au Wendawazimu!!!!
 
Huyo Ni Kijana ambaye Akili Imezeeka!! Duh Hadi Aibu!! Mahakamani aende Mwingine Lawama kwa mwingine
 
Back
Top Bottom