Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Wizara nyeti ni :

1. Wizara ya Fedha
2. Wizara ya Ulinzi
3. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi
4. Ofisi ya Raisi Utumishi.

Hizi mnaona zimekaaje?
 
acha ujinga weweeeeeeeeee, kama huna cha kuandika nyamaza usianze kupandikiza udini kwa watanzania mpuuzi wewe!
 
Wewe unaonaje???? Mwenye cheti cha ualimu anafaa kuwa waziri au hafai??????????????????
 
Mhhh japo ni mapema saana kufanya analysis ya ndani, lakini kwa haraka haraka tu ukiangalia baraza hili unaona kuwa Bado halikidhi haja ya Watanzania kivileee zaidi ya kuzidi kuwapa vyama vya upinzani points zaidi juu ya yale yalokuwa yakilalamikiwa siku za nyuma. Kwa mtazamo wangu Sioni kwa nini JK amewarudisha tena katika nafasi zao zile zile watu kama NGELEJA na MALIMA??, na EZEKIEL MAIGE??? Nishati na Madini pamoja na Maliasili kwa miaka mitano ilopita zimekuwa na matatizo kibao ya mikataba mibovu ya madini, nishati pamoja na ubadhirifu wa pesa za wahisani( issue ya pesa za wanorway) bila kusahau skendal za magogo na vitalu vya uwindaji. Kimsingi walitakiwa kutoswa kabisa.

Kuna wizara kama ya masuala ya EAC ya nini kuwanayo kama sio kichaka cha kuwahifadhi wapenzi wao wasikose pa kwenda?? Inamaana wizara ya mambo ya nje inashindwa kufanya kazi za wizara ya EAC??? Mi nilitegemea wizara hizi mbili zingeunganishwa na kuwa moja na sana sana ukaweka directorate itakayodeal na EAC ONLY kama unafikiri ni muhimu saana kuwa nayo lakini sio wizara.

Wizara ya Mambo ya ndani sidhani kama ni muafaka kumpa Vuai Nahodha, angalau angempatia Kagasheki ambaye tayari eshakuwa hapo kuliko kumpa mtu mgeni aje ajifunze hapa naona kachemsha stifff.

Sehemu nyingine aliyochemsha ni wizara ya Kilimo, sidhani Maghembe atapaweza pale. Tumeona alichofanya wizara ya Elimu migogoro kila mara, sasa matatizo yanahamia kilimo sijui hicho kilimo kwanza kama kitaenda kweli.

Baraza hili nimeguswa na uteuzi wa wizara mbili tu yaani Ardhi na makazi alopewa Mama Tibaijuka naamini ataondoa ukiritimba uliopo wizara ya Ardhi, natumai slums za Dar sasa zitaisha (foolish wish). Wizara nyingine ni Ujenzi (Magufuli na Mwakyembe) hapa pia amepata wapambanaji, tunatarajia matatizo mengi katika wizara hii yataisha, ikiwemo wakandarasi wengi feki kuondolewa.
 
Mimi Nimekubaliana na kikwete kwa hawa


Mathayo David Msuya : Mifugo na Uvuvi
see his CV David Mathayo David - Wikipedia, the free encyclopedia hapa taaluma itamsaidia kuinua hali ya wafugaji




Membe :

Profesa Mnyaa
he is a technocrat in perspective of that post

Wizara ya ardhi, Nyumba na Makazi :
Prof Tibaijuka, this will bring her experiece from UN on the same

Ngereja
He did good job last term

Magufu + Makyembe
hakuna mikataba ya ovyo any more na hakuna uzembe wa makandarasi any more , Hapa safi saaaana

Maghembe
Anaenda kutumia taaluma yake sasa kule kilimo

Maji
Mwandosys did a good job last term


mimi hao tu ndio nimekubali

Hao sina shaka nao..ila wengine duuu! Hasa wizara ya elimu!
 
Mawaziri ni 29,
Manaibu Waziri 21.
Jumla ni 50!
Duh!

And life goes on for the rest of us...another 5 years of imprisonment

24-women-wood-on-head.jpg
 
Hivi tunahitaji mawaziri 50 wote hawa especially manaibu wa nini. These are political figures na hazina tija yoyote kwenye wizara, kama wizara ikiwa na waziri mmoja mchapakazi na wakurungezi wazuri na makatibu kunahaja ya kuwa na akina Malima, Umi,Makongoro,kagageshi n.k wa nini Jamani? Au ndo mambo ya kugawa uwaziri kimaeneo pasipo kujali mahitaji na uwezo wa mtu! Mimi hii approach sijaipenda kabisa maana pia inajenga dhana ya watu kuanza kufikiria ukabilkabila tu hapa kama linavyo kuzwa swala la udini ambao kwa watanzania wa kawaida hawalijui wala hawjawahi kufikiri hivyo!
 
Huyu simba mie sijui mkwere anampendea nini?

Ndiye aliyemtoa bush Nachingwea via Kitwana Kondo all the way to MWINYI.....how could he forget that.
FYI baada ya kuachia uwaziri wa mambo ya ndani,Mzee Mwinyi alijihifadhi kwa KK hivyo alipokuwa Rais naye akajibu fadhila...KK nae akimega Sofia akaletewa JK amuunganishe kwa Mwinyi....JK nae sasa anamkumbuka Sofia....the cycle goes on and on...Malisa nae akija kuukwaa baadae atabeba Ridhwani
 
JK apiga goli la kisigino kwa kumrudisha Dr. Magufuli Ujenzi........damn
 
kidogo Jk kakonga nyoyo za watu kwa upande wa magufuli na kuchagua vijana na kuachana na wazee. nampongeza kawaondoa watu kama Msola ambao hawana jipya zaidi ya kuendekeza kusujudiwa. Naamini kuna mtu amemtonya JK kuhusu mwenendo wa Msola.
 
Back
Top Bottom